Baghaei: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Wairani ni jinai dhidi ya ubinadamu
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya Wairani ni jinai dhidi ya ubinadamu.
Mfahamu Ousmane Dembele wa PSG
Mchezaji Ousmane Dembele ni mshambuliaji anayeona mbele siku zote. Akikipiga na timu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa (PSG). Pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa.
Maganda ya matunda afya na janga kwa walaji
Pamoja na faida lukuki, swali linaibuka: Je, ni salama kula maganda ya matunda
Madhara tohara isipofanywa kwa njia salama
Kwa muda mrefu, tohara ya wanaume imekuwa ikihusishwa na manufaa ya kiafya, ikiwemo kupunguza...
Watu wazima wanaweza kupata kisukari aina ya 1
Nchini Tanzania, changamoto ya uelewa wa kisukari aina hii bado ipo, hasa vijijini ambako...
Kazakhistan kujiunga na Mikataba ya amani ya Abraham
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba Kazakhistan itajiunga na Mikataba ya Amani ya Abraham katika hatua muhimu ya kuimarisha jitihada za kutafuta amani ya Mashariki ya Kati.
Israel yafikisha mwisho mashambulizi dhidi ya Hezbollah
Jeshi la Israeli limesema kuwa limekamilisha mashambulizi dhidi ya maeneo ya kijeshi ya kundi la wanamgambo wa Hezbollah kusini mwa Lebanon.
Huu hapa uteuzi wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, wamo waliokatwa CCM
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameteua wanane kuwa wajumbe wa Baraza la...
RSF wakubali makubaliano ya amani ya kibinadamu
Wanamgambo wa kikosi cha Rapid Support Forces RSF nchini Sudan wamekubali pendekezo la kusitisha vita katika makubaliano ya kibinadamu yatakayotoa nafasi ya misaada kupelekwa katika maeneo inakohitajika.
Ganda la muwa la jana, mstaafu ategemee kivuno?
Mstaafu anakiri kwamba hakuwa miongoni mwa wananchi kadhaa waliotiki ama kutoka, hakutiki wala...
Mawaziri wa nishati wa Marekani na Ulaya wakutana Ugiriki
Mawaziri wa nishati kutoka Marekani na nchi za Ulaya wamkutana mjini Athens, Ugiriki kujaribu kutafuta njia ya kuisadia Ukraine katika usambazaji wa gesi ili kukabiliana na msimu mkali wa baridi.
Araghchi: Tunaendelea kufungua milango ya masoko ya kimataifa kwa Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wizara yake inaendelea na jitihada zake za kidiplomasia za kufungua milango ya masoko ya kimataifa kwa ajili…
Rwanda yashutumu ujumbe wa Umoja wa Mataifa kwa mafunzo ya jeshi la DRC
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Rwanda, amekosoa ujumbe wa kueneza amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (MONUSCO) kwa kutoa mafunzo kwa wanajeshi 120 wa…
Shambulizi katika pwani ya Somalia laibua hofu ya uharamia
Shambulizi dhidi ya meli katika pwani ya Somalia limeibua hofu ya kurejea tena kwa matukio ya uharamia katika eneo hilo.
Baraza la usalama laumuondolea vikwazo rais wa Syria
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limemuondolea vikwazo rais wa mpitio wa Syria Ahmed al-Sharaa ili kumuwezesha kusafiri kwenda Washington kukutana na rais wa Marekani Donald Trump Niovemba 10.
Ripoti ya kushtusha ya Umoja wa Mataifa; mauaji ya kimbari ya Wapalestina Ghaza yangali yanaendelea
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza yangali yanaendelea.
Ripoti ya kushtusha ya Umoja wa Mataifa; mauaji ya kimbari ya WapalestinaGhaza yangali yanaendelea
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza yangali yanaendelea.
Hizbullah: Hatutaki mazungumzo na Israel, hatutaki makubaliano nao
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeandika barua ya wazi kuhusu mitego iliyowekwa na Wazayuni kupitia kile kinachodaiwa ni mazungumzo ya amani na kusema kuwa, lengo la mazungumzo hayo ni kulitwisha…
Afrika Kusini yachunguza madai ya raia wake kupigana kama mamluki kwenye vita vya Ukraine
Afrika Kusini imesema kuwa, raia wake 17 waliojiunga na makundi ya mamluki katika vita vya Russia na Ukraine wameomba msaada wa kuokolewa kutoka kwenye eneo la Donbas ambako mapigano yanaendelea.
Zaidi ya watu 30 wapoteza maisha katika mafuriko nchini Sudan
Mafuriko makubwa yamelikumba Jimbo la Nile nchini Sudan na kupelekea zaidi ya watu 30 kupoteza maisha na maelfu ya wengine kukwama kutokana na nyumba na maeneo yao kujaa maji ya…
Ijumaa, tarehe 7 Novemba, 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 16 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Novemba 2025.
07.11.2025
Shirika la kutetea haki za binadamu, Independent Medico-Legal Unit (IMLU) limeelezea wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa vifo mikono ya polisi nchini Kenya+++Rais wa Ujerumani Frank -Walter Steinmeier amewahimiza wafanyabiashara wa Ujerumani…
07.11.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Rais wa Marekani Donald Trump atangaza Kazakhistan kujiunga na Mikataba ya amani ya Abraham. Jeshi la Israeli lakamilisha mashambulizi dhidi ya maeneo ya kijeshi ya kundi la Hezbollah kusini mwa…
Papa Leo na Abbas wakutana Vatican kuijadili Gaza
Kiongozi wa Kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Leo XIV amekutana na Kiongozi wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas, ikiwa ni mara ya kwanza kwa viongozi hao kukutana.
Makaburi ya halaiki yagunduliwa El Fasher Sudan
Picha mpya za satelaiti nchini Sudan, zimefichua ushahidi wa mauaji ya nyumba kwa nyumba, makaburi ya halaiki pamoja na maeneo yaliyotapakaa damu na miili inayoonekana kwenye udongo katika mji wa…
Hamas warudisha mwili wa Mtanzania Joshua Loitu Mollel
Mwili wa Mollel ulikuwa ni sehemu ya miili mingine 22 iliyorudishwa kutoka kwa makubaliano ya kusitisha vita vya Gaza, yaliyofikiwa Oktoba 10.
Baraza la wawakilishi lakutana Zanzibar
Baraza la Wawakilishi Zanzibar limekutana kwa mara ya kwanza, baada ya kumalizika uchaguzi mkuu uliokirejesha madarakani chama cha mapinduzi, CCM, chini ya Rais Hussein Mwinyi.
Kina nani wanapaswa kubebeshwa lawama ghasia za Tanzania
Tanzania bado iko kwenye mshtuko kutokana na vurugu zilizoshuhudiwa wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, ambao waangalizi wa kimataifa wanasema haukuzingatia haki na haukuwa huru.
Malawi yapiga marufuku usafirishaji wa mazao kuimarisha usalama wa chakula
Hatua hiyo inafuatia nchi hiyo kukumbukwa na vimbunga vilivyoathiri uzalishaji wa chakula.
Mahakama ya ICC yathibitisha mashitaka dhidi ya Joseph Kony wa Uganda
Siku ya Alhamisi, mahakama hiyo ilimkuta Kony na hatia ya makosa mbalimbali, ikiwemo mauaji, ubakaji na utesaji.
Lamine Yamal afikia thamani ya Sh992 bilioni
Kwa mujibu wa tovuti ya takwimu za soka, CIES imebaini orodha ya wachezaji chipukizi wenye umri...
Mabaki ya mwili wa Mtanzania mwingine aliyetekwa Israel wapatikana
Serikali ya Israel imesema, imepokea mabaki ya mwili wa kijana wa Kitanzania, Joshua Mollel...
Mwalimu wa Kenya auawa kwa risasi katika ghasia Tanzania
Mwalimu mmoja, raia wa Kenya ni miongoni mwa watu waliouawa wakati wa ghasia zilizozuka baada ya uchaguzi wa utata nchini Tanzania. John Okoth Ogutu aliuawa kwa kupigwa risasi na hadi…
Wananchi wakwama kupata huduma Kibamba, Magomeni
Upatikanaji wa huduma kwa wananchi katika ofisi za serikali za mitaa za Tarafa ya Kibamba na...
Israel yafanya mashambulizi Kusini mwa Lebanon
Jeshi la Israel limefanya mfululizo wa mashambulizi ya anga dhidi ya miundombinu ya kundi la Hezbollah katika maeneo kadhaa ya upande wa Kusini mwa Lebanon siku ya Alhamisi 06.11.2025.
RSF wakubali kusitisha vita ili kuruhusu misaada Sudan
Wanamgambo wa kundi la RSF la nchini Sudan wamesema wameuridhia mpango wa usuluhishi ulioratibiwa na Marekani wa kusitisha vita ili kupisha msaada wa kiutu.
K.Kaskazini yaapa kulipa kisasi vikwazo vya Marekani
Korea Kaskazini imeukosoa vikali utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump kwa kuiwekea kile ilichokiita "vikwazo vya kukarahisha" na imeapa kuwa italipa kisasi.
Kimbunga Kalmaghei chahamia Vietnam
Kimbunga Kalmaegi kimeipiga Vietnam Alhamisi 06.11.2025 na kuzilazimu mamlaka kufuta mamia ya safari za ndege. Kimbunga hicho kimetua Vietnam baada ya kusababisha vifo vya watu wasiopungua 140 nchini Ufilipino.
Madaktari wataja hatua 10 za kuondokana na kiwewe
Wakati muda ukitajwa kuwa ni tiba kubwa, wataalamu wengine wa masuala ya afya ya akili na...
Afrika Kusini yapokea malalamiko ya raia wake wanaopigana nchini Ukraine
Serikali ya Afrika Kusini, imesema imepokea simu za malalamiko kutoka kwa raia wake 17 ambao wamejiunga kwenye kikosi cha mamluki wanaopigana kwenye vita kati ya Urusi na Ukraine. Imechapishwa: 06/11/2025…
“Mauaji ya Wakristo”: Kwa nini madai ya Trump kuhusu Nigeria ni yenye upotoshaji na hatari
Madai ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba kuna “mauaji ya halaiki dhidi ya Wakristo” nchini Nigeria yanapotosha uhalisia wa mzozo unaochochewa na migogoro ya rasilimali, yanahatarisha uhusiano na mshirika…
Mwili wa mwalimu aliyeuwawa Tanzania haujapatikana
Vurumai zilishuhudiwa kote nchini Tanzania wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, baada ya uchaguzi huo uliokuwa na utata kusababisha maandamano makubwa yaliyokumbwa na vurugu.
Simba, Yanga kuaga mwaka kwa dabi
WAKATI Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), likisogeza mbele kuanza kwa mechi za msimu mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), wababe wa ligi hiyo Simba na Yanga zenyewe zitauaga mwaka…