🔴KUMEKUCHA: ……AGOSTI 23, 2025 -UMUHIMU WA STADI ZA MAISHA
🔴KUMEKUCHA: ……AGOSTI 23, 2025 -UMUHIMU WA STADI ZA MAISHA
🔴MAGAZETI, AGOSTI 23, 2025 -MBIVU, MBICHI CCM WALIOPENYA, KUACHWA UBUNGE KUJULIKANA
🔴MAGAZETI, AGOSTI 23, 2025 -MBIVU, MBICHI CCM WALIOPENYA, KUACHWA UBUNGE KUJULIKANA
#SWALILAKIPIMAJOTO: Wanaowauzia waraibu dawa tiba zenye kibali maalum kama mbadala wa dawa za kulevya
#SWALILAKIPIMAJOTO: Wanaowauzia waraibu dawa tiba zenye kibali maalum kama mbadala wa dawa za kulevya. Je, waadhibiwe kama wahalifu wengine wa biashara hiyo?
Matangazo ya Mchana: 23.08.2025
23.08.202523 Agosti 2025 Shirika la tathimini ya chakula duniani IPC yatangaza uwepo wa baa la njaa Gaza. Waendesha mashitaka wa Kongo wataka Joseph Kabila ahukumiwe kifo kwa makosa ya uhaini.…
Matangazo ya Jioni: 23.08.2025
23.08.202523 Agosti 2025 Watu 24 wauawa Gaza huku baa la njaa likihofiwa kuutanua zaidi mzozo wa kibinadamu. Rais wa Ukraine Volodymir Zelensky ameyataka mataifa ya Africa, Asia, Latin America, na…
Ufaransa yasema Iran ifikie suluhu ya nyuklia haraka
Taarifa hiyo imekuja baada ya mazungumzo ya simu kati yake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, wakishirikiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David…
Zelensky: Urusi inaukwepa mkutano kati ya yangu na Putin
Zelensky pia ametoa wito kwa washirika wa Ukraine kuiwekea Urusi vikwazo vipya kama haitoonesha dhamira ya kweli ya kusitisha uvamizi wake Ukraine. Rais huyo wa Ukraine aliyekuwa akizungumza katika mkutano…
Ujerumani yasema msaada zaidi unahitajika Ukanda wa Gaza
Hii ni baada ya ripoti ya tathmini ya Usalama wa upatikanaji wa Chakula, IPC, kutangaza baa la njaa katika ukanda huo. Radovan amesema ripoti hiyo inayoungwa mkono na Umoja wa…
Ulaya na Iran kuendeleza mazungumzo ya nyuklia
Wanadiplomasia wa Iran wanatarajiwa kukutana na wenzao wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kwamazungumzo ya mpango wa nyuklia wa Tehran, wakati mataifa hayo yakizingatia kurejesha vikwazo dhidi ya nchi hiyo. Waziri…
Uingereza, Umoja wa Mataifa wailaumu Israel kwa njaa Gaza
Kauli hiyo ya Uingereza ilitolewa siku ya Ijumaa (Agosti 22) na Waziri wa Mambo ya Kigeni, David Lammy, ambaye alilaani kile alichokiita “uovu wa kimaadili na janga la kutengezwa na…