Michael Jackson anavyoendelea kuvuna mabilioni ya fedha
Ni miaka 16 sasa tangu kutokea kifo cha Mfalme wa Pop, Michael Jackson ‘MJ’ aliyefariki dunia...
Barcelona, Rashford bado kuna ugumu
Klabu ya Barcelona inaonekana kuvutiwa na kiwango cha Marcus Rashford kiasi cha kutaka...
FIFA kuja na tuzo mpya ya amani, kutolewa Desemba 5, 2025
Shirikisho la Mpira wa Miguu la kimataifa (FIFA) limetangaza kuanzisha Tuzo ya Amani ya FIFA...
Arsenal yaweka rekodi nne ikitamba Ulaya
Rekodi nne ziliwekwa na Arsenal usiku wa juzi wakati ilipoibuka na ushindi wa mabao 3-0 ugenini...
Pande mbili za mvutano wa mashabiki, wasanii
Vurugu zilizosababishwa na maandamano yaliyotokea Oktoba 29, 2025 hazijaacha maumivu tu kwa...
ACT-Wazalendo kuingia SUK?
Wataingia ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK) au watasusia Hilo ni swali...
Stefon Diggs, Cardi B watarajia mtoto wa kiume
Kwa mujibu wa nyota wa New England Patriots, Stefon Diggs, na mpenziwe rapa wa Marekani, Cardi...
Cameroon: Paul Biya aapishwa kwa muhula wa nane kama rais
Rais wa Camerun Paul Biya, mwenye umri wa miaka 92, ameapishwa mnamo Novemba 6, 2025, kwa muhula wa nane. Imechapishwa: 06/11/2025 – 13:04 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya…
Mkutano wa dunia kuhusu maendeleo ya kijamii wahitimishwa Doha kwa wito wa kutekeleza ahadi kwa vitendo
Mkutano wa Pili wa Dunia kuhusu Maendeleo ya Kijamii umehitimishwa hii leo huko Doha, nchini Qatar, kwa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za haraka kutekeleza…
Kifua Kikuu: Ripoti mpya ya WHO yahimiza hatua thabiti kuhakikisha upatikanaji sawa wa chanjo mpya za TB
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) limezindua ripoti mpya leo pembezoni mwa Mkutano wa Mawaziri wa Afya wa G20 uliofanyika Limpopo, Afrika Kusini, likitoa wito kwa hatua…
Kilimo cha Afyuni nchini Afghanistan chapungua kwa asilimia 20 mwaka 2025 – UNODC
Utafiti mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu UNODC umeonesha kupungua kwa kiasi kikubwa kwa kilimo cha mmea wa afyuni (Opium) nchini…
Kandanda kusongesha Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) nchini Kenya
Mwaka 2015, Umoja wa Mataifa ulizindua Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), malengo 17 yanayolenga kumaliza umaskini, kulinda mazingira, na kuhakikisha ustawi kwa wote ifikapo mwaka 2030. Hata hivyo, kulingana na…
Ukanda wa Gaza: Kampeni ya chanjo kwa watoto yazinduliwa
Mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la kuhudumia watoto UNICEF, afya duniani WHO, linalohudumia wakimbizi wa kipalestina UNRWA na wizara ya afya ya Palestina wamezindua kampeni maalum ya chanjo, lishe…
Mfuko mpya unaongozwa na Brazil wazinduliwa ili kulinda misitu duniani
Wanaohifadhi misitu kupatiwa fedha kulinda tabianchi Jumla ya nchi 74 zina sifa ya kushiriki kwenye mfuko huko Barani Afrika DRC na Ghana zimeshaingia kwani zina misitu ya kitropiki
Johan Borgstam: Hali ya usalama mashariki mwa DRC inaendelea kuwa ya wasiwasi
Johan Borgstam, Mjumbe maalum wa Umoja wa Ulaya kwa kanda ya Maziwa Makuu, ana wasiwasi kuhusu hali ya mashariki mwa DRC. Anahitimisha ziara ya siku nyingi nchini humo, ikiwa ni…
Mzambia wa Yanga apewa shavu jipya
KOCHA wa zamani wa Yanga, Mzambia Noel Mwandila ameteuliwa na Shirikisho la Soka la Zambia (FAZ) kuwa Mkufunzi wa washambuliaji wa timu ya taifa ya nchi hiyo, Chipolopolo kwa ajili…
Mudrik Gonda aanza tambo Fountain Gate
BAADA ya kuchangia mabao mawili ya Ligi Kuu Bara akiwa na kikosi cha Fountain Gate, mshambuliaji wa timu hiyo, Mudrik Abdi Shehe 'Gonda', amesema taratibu anaanza kuzoea mazingira na ushindani,…
Sudan: Serikali yafutilia mbali pendekezo la kusitisha vita la Marekani
Viongozi wa Sudan wametupilia mbali pendekezo la kusitisha vita lililotolewa na Marekani, Waziri wa Ulinzi wa Sudan alitangaza kwenye televisheni siku ya Jumanne, Novemba 4. Tangu Septemba, Massad Boulos, mjumbe…
Waangalizi wa AU wakosoa uchaguzi mkuu wa Tanzania
Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Afrika wamebainisha kwamba uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29.2025 haukuzingatia viwango vya demokrasia.
Qalibaf: Iran na Pakistan zinatoa kipaumbele kwa uhusiano wa kiuchumi na kibiashara
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kupanua uhusiano wa kiuchumi na kuzidisha kiwango cha biashara kati ya Tehran na Islamabad ni vipaumbele vya juu…
Waangalizi wa AU: Uchaguzi wa Tanzania haukukidhi viwango vya kimataifa
Ujumbe wa waangalizi wa Umoja wa Afrika katika uchaguzi mkuu wa wiki iliyopita nchini Tanzania uliogubikwa na ghasia umeeleza kuwa uchaguzi huo haukukidhi viwango vya kimataifa vya kidemokrasia.
Takriban watu 90 wamefariki dunia baada ya kimbunga cha Kalmaegi kuiathiri Ufilipino
Watu wasiopungua 90 wamefariki dunia na wengine 75 hawajulikani walipo hadi sasa kufuatia kimbunga cha Kalmaegi kuathiri maeneo ya kati ya Ufilipino jana Jumatano.
EU yataka kufunguliwa korido ya kibinadamu mashariki mwa Kongo
Afisa wa Umoja wa Ulaya ametoa wito kwa pande husika katika mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufungua koridi ya kibinadamu na kuruhusu kuanza kuingia kwa ndege…
Google yafuta ushahidi wa video za uhalifu wa Israel huko Palestina
Nyaraka zilizopatikana zinaonyesha kwamba kampuni ya Kimarekani ya Google imefuta zaidi ya video 700 zinazoonyesha uhalifu wa kivita wa utawala wa Israel kutoka kwenye mtandao wa intaneti.
Mwili uliorejeshwa na Hamas kutoka Gaza ni wa Mtanzania
Israel imesema mwili uliokabidhiwa na Hamas siku moja iliyopita ni wa mwanafunzi wa Kitanzania Joshua Mollel. Mwili huo ulipelekwa katika Ukanda wa Gaza mara baada ya Mollel kuuawa katika mashambulizi…
Himid Mao mzuka umepanda Azam FC
KIUNGO mkabaji wa Azam FC, Himid Mao amesema kikosi cha timu hiyo ukiondoa ubora iliyonayo, lakini anafurahia kuona kimekomaa kiushindani na ana matarajio makubwa katika michuano ya Ligi Kuu na…
Waliokufa kwa kimbunga nchini Ufilipino wafikia 140
Watu wasiopungua 140 wamefariki dunia baada ya mafuriko makubwa yaliyotokana na kimbunga Kalmaegi nchini Ufilipino. Mamlaka nchini humo zimesema watu wengine 127 hawajulikani walipo.
Cameroon: Paul Biya aapishwa kwa muhula wa nane katikati ya mvutano wa baada ya uchaguzi
Rais Paul Biya anaapishwa leo Alhamisi, Novemba 6, kwa muhula wake wa nane wa urais. Huu ni utaratibu tu kwa mtu aliyeapishwa kwa mara ya kwanza Novemba 6, 1982, miaka…
Ulaya, Marekani kusaidia usambazaji nishati kwa Ukraine
Mawaziri wa nishati wa Marekani na Ulaya wanafanya mazungumzo nchini Ugiriki Alhamisi 06.11.2025 juu ya namna ya kusaidia usambazaji wa nishati kwa Ukraine hasa wakati msimu wa baridi kali ukikaribia.
Makambo Jr ashtukia jambo Coastal Union
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Athuman Masumbuko ‘Makambo Jr’ ameshtukia jambo katika kikosi hicho ikiwa ni msimu wake wa kwanza, huku akisema hana furaha ya kufunga kama mabao yake hayawabebi Wagosi…
Makambo Jr ashtukia jambo Coastal Union
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Athuman Masumbuko ‘Makambo Jr’ ameshtukia jambo katika kikosi hicho ikiwa ni msimu wake wa kwanza, huku akisema hana furaha ya kufunga kama mabao yake hayawabebi Wagosi…
Hizbullah: Mazungumzo na adui hayana maslahi na taifa
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imesitiza kuwa kufanya mazungumzo na adui si kwa maslahi yoyote ya kitaifa, na kubainisha kuwa baadhi walijaribu kukabidhi silaha za muqawama…
Mkutano wa awali kabla ya COP30 wafanyika Brazil
Viongozi wa mataifa mbalimbali duniani wanakutana Alhamisi 06.11.2025 huko Belem, Brazil katika juhudi za kuendelea kutoa kipaumbele kwa janga la athari za mabadiliko ya tabianchi.
Ziara ya Gharibabadi nchini Saudi Arabia inalenga kuimarisha ushirikiano
Naibu Waziri wa Sheria na Masuala ya Kimataifa wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesafiri hadi Saudi Arabia kwa ajenda ya kuimarisha ushirikiano.
AU yabaini dosari kubwa katika uchaguzi wa Tanzania
Ripoti ya waangalizi wa Umoja wa Afrika imesema wazi kwamba uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, haukukidhi viwango vya kidemokrasia vinavyotakiwa na AU na kanuni za kimataifa.
Serikali ya awamu ya sita ilivyosaidia thamani ya chai ya Tanzania kupaa kitaifa na kimataifa
Sasa kuuzwa hadi Dola za Marekani 60 kwa kilo kutegemeana na aina ya chai
Ligi ya Mabingwa Ulaya yafika patamu
Hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imefikia nusu jana Jumatano huku Inter, Manchester...
TEF: Serikali ianzishe maridhiano haraka kuponya majeraha
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeisihi Serikali kuanzisha mchakato wa maridhiano haraka...
Amnesty yakosoa unyanyasaji wa wahamiaji nchini Tunisia
Shirika la kimataifa la kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International kwenye ripoti yake hii leo limeishutumu Tunisia kwa "ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu" dhidi ya wahamiaji, ikiwa ni pamoja…
Mzize hatihati kuikosa AFCON 2025
Kuna uwezekano mkubwa mshambuliaji Clement Mzize akazikosa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON)...
Madrid yatoa uamuzi wa mwisho mustakabali wa Vinícius Jr
Klabu ya Real Madrid imeweka wazi msimamo wake kuhusu hatma ya kiungo mshambuliaji kutoka...
Kenya: Kampuni ya Safaricom yapata faida zaidi
Mapato ya kutoa huduma yalipanda hadi shilingi bilioni 199.9 katika muda wa miezi sita hadi mwisho wa mwezi wa Septemba, kutoka shilingi bilioni 179.9 katika kipindi kama hicho mwaka uliotangulia,…
Je, dunia inapaswa kuwa na wasiwasi juu ya uamuzi wa nyuklia aliotangaza Trump? Nini mtazamo wa Iran?
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mjibizo kwa matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu kuanza tena nchi hiyo kuzifanyia majaribio silaha zake za nyuklia.
Umoja wa Afrika yasema Tanzania ilikiuka misingi ya demokrasia katika Uchaguzi Mkuu
Umoja wa Afrika imesema Tanzania inatakiwa kuyapa kipaumbele masuala ya mageuzi ya uchaguzi na siasa ili kushughulikia chanzo cha changamoto zake za kidemokrasia zilizoibuka katika mchakato wa uchaguzi
Zubeir achaguliwa tena Spika Baraza la Wawakilishi
Zubeir Ali Maulid amechaguliwa tena kuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kwa kipindi...
Tanzania yadaiwa kuitupa kiholela miili ya waandamanaji
Mamlaka za Tanzania zinakabiliwa na shinikizo kubwa kuhusu ripoti za maafisa wa usalama kuwapiga risasi na kuwaua waandamamanji waliojitokeza mitaani kuupinga uchaguzi uliofanyika nchini humo wiki iliyopita.
Gamondi amrejesha Kelvin John Taifa Stars
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars Miguel Gamondi amemrejesha nyota wa Aalborg BK ya Denmark katika kikosi cha timu hiyo kitakachoingia kambini kwa mechi ya kirafiki kalenda…
Benki Kuu ya Sudan yaondoa marufuku ya dhahabu kutouzwa nje ya nchi
Chini ya marufuku iliyowekwa hapo awali Benki kuu ya Sudan iliwajibisha wauzaji dhahabu nje ya nchi kuzingatia udhibiti uliotolewa na Wizara ya Viwanda, Wizara ya Madini, Shirika la Viwango na…