#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Masanja Kadogosa, amechukua fom…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Masanja Kadogosa, amechukua fomu ya kwenye Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bariadi Vijijini…
UN: Mtu 1 kati ya wanne duniani hana maji salama ya kunywa
Umoja wa Mataifa umeonya leo kuwa zaidi ya watu bilioni mbili duniani kote bado wanakabiliwa na ukosefu wa upatikanaji wa maji ya kunywa yaliyo salama. UN imesema mtu mmoja kati…
Uchaguzi Tanzania 2025: Bunge lahitimishwa – Je, ‘No Reforms’ ya Chadema imezikwa rasmi?
Chanzo cha picha, Ikulu Maelezo ya picha, Rais Samia akihutubia kuhitimisha shughuli za bunge la 12, Juni 27, 2025 Maelezo kuhusu taarifa Author, Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutoka BBC Dar…
Spoti, Agosti 25
Natumai u bukheri wa afya hapo ulipo msikilizaji mpenzi. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia. BONYEZA…
Burkina Faso na Mali zakwepa mkutano wa ulinzi Nigeria
Mali, Burkinafaso na Niger, ambazo zote zipo chini ya uongozi wa kijeshi, zilijiondoa katika Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS, mwezi Januari baada ya kuunda muungano wao wa pamojawa…
Ujerumani: Jeshi lina chembe chembe za siasa kali
Jeshi hilo pia limechukua hatua dhidi ya wanajeshi wengine sita walionesha mienendo ya siasa kali. Wizara ya ulinzi Ujerumani ambayo ilikuwa ikijibu maswali kwenye uchunguzi wa kamati ya bunge kutoka…
#HABARI: Miradi ya umeme inaendelea kuleta matokeo chanya nchini ambapo moja ya miradi hiyo ni Kinyerezi Complex, Vituo vya kuza…
#HABARI: Miradi ya umeme inaendelea kuleta matokeo chanya nchini ambapo moja ya miradi hiyo ni Kinyerezi Complex, Vituo vya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia vinavyozalisha hadi Megawati 575…
#HABARI: “Nitoe wito kwa Wakuu wa Mikoa kwamba wanatakiwa kuhakikisha wanakuwa karibu na wananchi, ili kuzifahamu kero zao na ku…
#HABARI: “Nitoe wito kwa Wakuu wa Mikoa kwamba wanatakiwa kuhakikisha wanakuwa karibu na wananchi, ili kuzifahamu kero zao na kuzitafutia ufumbuzi kwa kushirikiana na watendaji.” – Mhe.Samia Suluhu – Rais…
Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini watia nia wengi wanakimbilia CCM?
Chanzo cha picha, MITANDAO Maelezo kuhusu taarifa Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani…
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Bw
#HABARI: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Bw. Kakulu Burchad Kakulu, amechukua fomu katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kwa ajili ya kuomba…