Skip to content
  • Mon. Jun 29th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Kinyume na propaganda za adui, sekta ya ulinzi ya Iran inaendelea kupata mafanikio: Naibu Mkuu wa Jeshi Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo Amtangaza Mrithi Kimafumbo? Kauli ya Rais William Ruto Kumhusu Naibu Wake Kindiki Yazua Gumzo President Samia reappoints Dr Lusingu as TICD Board of Directors’ chairman IGP Wambura elevates ACP Lulengelule to Tabora Police Commander
HABARI ZA KIPEKEE

Kinyume na propaganda za adui, sekta ya ulinzi ya Iran inaendelea kupata mafanikio: Naibu Mkuu wa Jeshi

June 29, 2026 mjombazecoder
HABARI ZA KIPEKEE

Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo

June 29, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Amtangaza Mrithi Kimafumbo? Kauli ya Rais William Ruto Kumhusu Naibu Wake Kindiki Yazua Gumzo

June 29, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

President Samia reappoints Dr Lusingu as TICD Board of Directors’ chairman

June 29, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

IGP Wambura elevates ACP Lulengelule to Tabora Police Commander

June 29, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Kinyume na propaganda za adui, sekta ya ulinzi ya Iran inaendelea kupata mafanikio: Naibu Mkuu wa Jeshi
HABARI ZA KIPEKEE
Kinyume na propaganda za adui, sekta ya ulinzi ya Iran inaendelea kupata mafanikio: Naibu Mkuu wa Jeshi
Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo
HABARI ZA KIPEKEE
Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo
Amtangaza Mrithi Kimafumbo? Kauli ya Rais William Ruto Kumhusu Naibu Wake Kindiki Yazua Gumzo
TUKO SWAHILI NEWS
Amtangaza Mrithi Kimafumbo? Kauli ya Rais William Ruto Kumhusu Naibu Wake Kindiki Yazua Gumzo
President Samia reappoints Dr Lusingu as TICD Board of Directors’ chairman
LTV ENGLISH NEWS
President Samia reappoints Dr Lusingu as TICD Board of Directors’ chairman
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
Kinyume na propaganda za adui, sekta ya ulinzi ya Iran inaendelea kupata mafanikio: Naibu Mkuu wa Jeshi
HABARI ZA KIPEKEE
Kinyume na propaganda za adui, sekta ya ulinzi ya Iran inaendelea kupata mafanikio: Naibu Mkuu wa Jeshi
Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo
HABARI ZA KIPEKEE
Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo
Amtangaza Mrithi Kimafumbo? Kauli ya Rais William Ruto Kumhusu Naibu Wake Kindiki Yazua Gumzo
TUKO SWAHILI NEWS
Amtangaza Mrithi Kimafumbo? Kauli ya Rais William Ruto Kumhusu Naibu Wake Kindiki Yazua Gumzo
President Samia reappoints Dr Lusingu as TICD Board of Directors’ chairman
LTV ENGLISH NEWS
President Samia reappoints Dr Lusingu as TICD Board of Directors’ chairman
HABARI ZA KIPEKEE

Mpango wa siri ulioshindwa: Marekani imejaribu kuajiri rubani wa Maduro ili kumkamata kiongozi wa Venezuela

October 30, 2025 mjombazecoder

Ajenti wa Shirikisho la Marekani alijaribu kumsajili rubani binafsi wa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, Jenerali Bitner Villegas, katika mpango wa siri, ili kuipeleka ndege ya rais huyo huko Marekani.…

HABARI ZA KIPEKEE

Alkhamisi tarehe 30 Oktoba 2025

October 30, 2025 mjombazecoder

Leo ni Alkhamisi tarehe 8 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1447 Hijria sawa na 30 Oktoba 2025.

HABARI ZA KIPEKEE

Mkutano wa ECO mjini Tehran; Ishara ya Utulivu, Uaminifu na Fursa Mpya za Uchumi

October 30, 2025 mjombazecoder

Mkutano wa nne wa mawaziri wa nchi wanachama wa Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi (ECO) umefanyika mjini Tehran, ukiwahusisha mawaziri na manaibu mawaziri wa mambo ya ndani wa nchi wanachama.

Makataa ya kutembea usiku yatangazwa Dar es Salaam, Tanzania

October 29, 2025 mjombazecoder

Mkuu wa jeshi la polisi nchini Tanzania, Camilius Wambura, ametangaza makataa ya watu kutotembea usiku katika jiji la kibiashara la nchi hiyo Dar es Salaam, kufuatia maandamano ya vurugu katika…

HABARI ZA KIPEKEE

Uchaguzi Mkuu Tanzania waendelea kwa amani licha ya machafuko ya hapa na pale

October 29, 2025 mjombazecoder

Shughuli za upigaji kura katika Uchaguzi Mkuu wa Tanaznia zimeendelea vizuri na kwa amani kwa kikasi kikubwa licha ya ghasia na machafuko madogo yanayoripotiwa huku na kule.

HABARI ZA KIPEKEE

Israel yafanya mauaji ya kutisha Gaza; Zaidi ya Wapalestina 100, wakiwemo watoto 35, wauawa licha ya makubaliano ya amani

October 29, 2025 mjombazecoder

Mashambulizi yaliyofanywa leo na Israel katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza yameua Wapalestina wasiopungua 100, wakiwemo watoto 35, ukiwa ni ukiukaji wa hivi karibuni wa makubaliano ya kusitisha mapigano…

HABARI ZA KIPEKEE

Wasiwasi wa mamilioni ya Wamarekani kuhusu upatikanaji wa chakula; Je, Marekani kweli ni nchi tajiri?

October 29, 2025 mjombazecoder

Kadri mgogoro wa kifedha unavyoendelea Marekani, watu milioni 42 wa nchi hii wanahofia kuhusu upatikanaji wa chakula chao.

Kwa mara ya 33 Baraza Kuu UN lataka Marekani iiondolee vikwazo Cuba

October 29, 2025 mjombazecoder

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo Jumatano ya Oktoba 2025 kwa mwaka wa 33 mfululizo umeidhinisha azimio linalotaka kukomeshwa kwa vikwazo vya muda mrefu vya Marekani dhidi ya Cuba.

Utafiti mpya waonya kutochukua hatua dhidi ya tabianchi kunagharimu maisha ya mamilioni

October 29, 2025 mjombazecoder

Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani ( WHO) na wadau wake wa kimataifa wanatoa wito kwamba ulinzi wa afya ya watu utambuliwe kama kichocheo kikuu cha hatua dhidi…

Hali tete Sudan UNICEF ikihofia hali ya watoto huku viongozi wa WFP wakitakiwa kuondoka

October 29, 2025 mjombazecoder

Nchini Sudan hususani katika eneo la El Faher kusinimagharibi mwa nchi, hali ya kibinadamu inazidi kuwa mbaya kila siku, huku ghasia, njaa, na vizuizi vya utoaji misaada vikiendelea kuathiri mamilioni…

Mzigo mkubwa wa kesi ICJ ni ishara ya uaminifu kutoka kwa serikalini: Rais wa mahakama

October 29, 2025 mjombazecoder

Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), inayojulikana pia kama Mahakama ya Dunia, ni chombo kikuu cha kisheria cha Umoja wa Mataifa, kinachotoa maamuzi juu ya migogoro kati ya nchi zinazohusu…

WHO yahamisha wagonjwa wa kwanza toka Gaza tangu usitishwaji mpya wa mapigano

October 29, 2025 mjombazecoder

Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni, WHO, limeongoza uhamishwaji wa wagonjwa kutoka Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israeli, ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuanza kwa…

Mkuu wa UN atoa tahadhari, pengo la mnepo dhidi ya tabianchi laongezeka kwa kasi

October 29, 2025 mjombazecoder

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa onyo kali leo kufuatia kutolewa kwa Ripoti ya Pengo la mnepo dhidi ya tabianchi 2025, akiiita ni “tahadhari kali kwa binadamu”.

Guterres: Umoja wa Mataifa uko pamoja na waathirika wa kimbunga Melissa

October 29, 2025 mjombazecoder

Katibu Mkuu wa Umoja wa MataifaAntonio Guterres ameonesha wasiwasi mkubwa wakati Kimbunga Melissa kikiwa miongoni mwa vimbunga vyenye nguvu zaidi kuwahi kurekodiwa katika Bahari ya Atlantiki kinaendelea kusababisha uharibifu mkubwa…

Uchaguzi Mkuu Tanzania: Polisi wakabiliana na waandamanaji Dar es Salaam

October 29, 2025 mjombazecoder

Rais Samia Suluhu Hassan anatazamiwa kushinda muhula wa pili katika uchaguzi unaofanyika leo, hasa baada ya wapinzani wake wakuu ama kususia uchaguzi au kuenguliwa. Zoezi la upigaji kura limeanza bila…

Brazili: Operesheni mbaya zaidi ya polisi katika historia ya Rio yawaua watu 64

October 29, 2025 mjombazecoder

Operesheni ya nguvu inaofanywa na vikosi vya usalama hufanyika mara kwa mara huko Rio de Janeiro, licha ya ufanisi wake unaopingwa. Lakini siku ya Jumanne, mitaa ya Rio de Janeiro…

CAR: Mkuu wa MINUSCA atetea idadi ya wafanyakazi wa Minusca ya UNSC

October 29, 2025 mjombazecoder

Jamhuri ya Afrika ya Kati ilikuwa kwenye ajenda ya mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne, Oktoba 28. Miezi miwili kabla ya uchaguzi wa serikali…

HABARI ZA KIPEKEE

Ripoti: UAE inawapa waasi wa RSF silaha kutoka Uingereza

October 29, 2025 mjombazecoder

Katika kile kinachoibua maswali mazito kuhusu usafirishaji wa silaha na ushawishi wa mataifa ya nje katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan, ripoti mpya imefichua kuwa Umoja wa Falme…

MWANANCHI

 Guardiola alia na mipira iliyokufa, ya kurusha EPL

October 29, 2025 mjombazecoder

Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola ameonyesha kutofurahishwa na ongezeko la matumizi ya...

MWANANCHI

Linasahaulika hili, ishu ya Alikiba kimataifa

October 29, 2025 mjombazecoder

Wakati baadhi ya wadau wa muziki na wachambuzi wakidai kiwango cha msanii Alikiba kimeshuka...

Uncategorized

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga ameshiriki zoezi la kupiga kura kumchagua diwani, mbunge na Rais wa Tanzania kwenye Kituo…

October 29, 2025 mjombazecoder

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga ameshiriki zoezi la kupiga kura kumchagua diwani, mbunge na Rais wa Tanzania kwenye Kituo kilichopo Shule ya Sekondari Kwaraa, Babati mjini. Mara baada…

HABARI ZA KIPEKEE

Ripoti ya Umoja wa Afrika: Tanzania yaongoza uchumi wa kanda, Kenya na Rwanda zikiachwa nyuma

October 29, 2025 mjombazecoder

Uchumi wa Kenya umeendelea kusuasua ikilinganishwa na ule wa Tanzania katika eneo la Afrika Mashariki, hasa kutokana na utegemezi mkubwa wa mauzo ya bidhaa ghafi nje ya nchi jambo linalokwamisha…

HABARI ZA KIPEKEE

Wanajeshi 279 wa Israel wajaribu kujiua katika kipindi cha miezi 18 iliyopita

October 29, 2025 mjombazecoder

Ripoti rasmi inaonyesha kuweko ongezeko la majaribio ya kujitoa mhanga miongoni mwa wanajeshi wa utawala ghasibu wa Israel katika kipindi cha miezi 18 iliyopita.

Uncategorized

#UchaguziMkuu2025 | Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt

October 29, 2025 mjombazecoder

#UchaguziMkuu2025 | Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan amepiga kura yake ya kuchagua rais, wabunge na madiwani Mtumba, Dodoma. #AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025

MWANANCHI

Hekaheka za wapigakura ukimya ukitawala mitaani Dodoma, Dar

October 29, 2025 mjombazecoder

Hali ya utulivu imetawala katika Jiji la Dodoma na viunga vyake, watu ni wachache sokoni...

Uncategorized

#UchaguziMkuu2025 | Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kigamboni, Selemani Kateti akizungumzia maandalizi na zoezi zima la upigaji …

October 29, 2025 mjombazecoder

#UchaguziMkuu2025 | Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kigamboni, Selemani Kateti akizungumzia maandalizi na zoezi zima la upigaji kura linavyoendelea katika wilaya hiyo. #AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025

Uncategorized

#UchaguziMkuu2025 | Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt

October 29, 2025 mjombazecoder

#UchaguziMkuu2025 | Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki zoezi la kupiga kura ya kumchagua Rais,mbunge na diwani katika mtaa wake, eneo la…

Sudan: Ukatili dhidi ya raia ‘waongezeka’ baada ya RSF kuchukuwa udhibiti wa El-Fasher

October 29, 2025 mjombazecoder

Nchini Sudan, kiwango cha ukatili unaofanywa na wanajeshi wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kinazidi kuwa wazi. Kulingana na ripoti mbalimbali kutoka kwa mashirika ya kibinadamu, uhalifu wa kivita…

IDHAA YA DUNIA

Raia Samia akabidhiwa cheti cha urais, akosoa maandamano

October 29, 2025 mjombazecoder

Samia Suluhu Hassan amekabidhiwa cheti ushindi wa Urais wa Tanzania saa kadhaa baada ya Tume Huru ya Uchaguzi nchini humo kutangaza kuwa amechaguliwa kwa kupata asilimia karibu 98 ya kura.

HABARI ZA KIPEKEE

Francesca Albanese: Mataifa zaidi ya 60 yamehusika katika mauaji ya kimbari ya Israel

October 29, 2025 mjombazecoder

Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amewafahamisha wajumbe wa Baraza Kuu la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu namna serikali zaidi ya…

HABARI ZA KIPEKEE

Baqaei: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ajadili usalama wa mipaka na haki ya maji ziarani Afghanistan

October 29, 2025 mjombazecoder

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baqaei ameeleza kuwa Kazem Gharibabadi Naibu Waziri wa Mambo ya Nje amefanya ziara nchini Afghanistan ili kujadili masuala kadhaa ambayo…

HABARI ZA KIPEKEE

IOM: Zaidi ya raia 7,400 wamekimbia makazi yao huko El-Fasher, Sudan

October 29, 2025 mjombazecoder

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeeleza kuwa watu wasiopungua 7,455 wamekimbia imji wa El fasher magharibi mwa Sudan katika muda wa siku moja kufuatia mashambulizi ya wanamgambo wa Kikosi…

HABARI ZA KIPEKEE

IOM: Zaidi ya raia 7,400 wamekimbia makazi yao huko El-Fashel, Sudan

October 29, 2025 mjombazecoder

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeeleza kuwa watu wasiopungua 7,455 wamekimbia imji wa El fasher magharibi mwa Sudan katika muda wa siku moja kufuatia mashambulizi ya wanamgambo wa Kikosi…

HABARI ZA KIPEKEE

Mjumbe wa UN: Mchakato wa amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati ‘umepiga hatua’

October 29, 2025 mjombazecoder

Mwakilishi wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) ameeleza kuwa mchakato wa amani umepiga hatuua kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyosainiwa mwezi…

HABARI ZA KIPEKEE

Serikali ya Madagascar yatangaza baraza la mawaziri

October 29, 2025 mjombazecoder

Serikali ya Madagascar inayoongozwa na jeshi leo imetangaza baraza la mawaziri linalojumuisha idadi kubwa ya mawaziri wa kiraia.

Pakistan-Afghanistan: Mazungumzo ya kusitisha mapigano yameshindwa, yasema Islamabad

October 29, 2025 mjombazecoder

Mazungumzo kati ya Afghanistan na Pakistan kwa ajili ya usitishaji mapigano wa kudumu kufuatia mapigano yao ya hivi karibuni yaliyosababisha vifo vingi, yameshindwa, Islamabad ilmetangaza leo Jumatano, Oktoba 29, huku…

HABARI ZA KIPEKEE

Makamu wa Rais: Maadui wanapasa kujifikiria mara mbili kabla ya kuichokoza Iran

October 29, 2025 mjombazecoder

"Tuna uhakika kwamba ikiwa maadui wana chembe ya sababu hawatathubutu kupanga shambulio jipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran," amesema Jumanne hii Muhammad -Reza Aref Makamu wa Rais wa…

Uncategorized

#UchaguziMkuu2025 | Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla mapema leo amepiga kura katika kituo chake cha AICC Hospitali, Jijini A…

October 29, 2025 mjombazecoder

#UchaguziMkuu2025 | Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla mapema leo amepiga kura katika kituo chake cha AICC Hospitali, Jijini Arusha. Baada ya kupiga kura, Makalla amewahakikishia wananchi kuwa hali…

Kimbunga Melissa chapiga Jamaika, nyumba kadhaa zasombwa na maji

October 29, 2025 mjombazecoder

Kimbunga chenye nguvu cha Melissa kinaelekea Cuba baada ya kuiathiri vibaya Jamaika leo Jumatano, Oktoba 28. Mamlaka imeitangaza Jamaica kuwa “eneo la maafa.” Miundombinu kadhaa imeharibiwa na maeneo mengi amekumbwa…

Uncategorized

#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha UPDP Mhe

October 29, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha UPDP Mhe. Twalib Kadege, ametafuta jina lake kwenye vituo 13 vya kupigia kura, japo hakutoa ushirikiano kwa kuzungumza…

Uncategorized

#HABARI: Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt

October 29, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Mgombea ubunge wa Jimbo la Uyole kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Tulia Ackson, amezungumza na wanahabari mara baada ya kupiga kura mapema hii leo Oktoba 29,…

HABARI ZA KIPEKEE

Iran yalaani mashambulizi dhidi ya raia katika jimbo la Darfur, Sudan

October 29, 2025 mjombazecoder

Wizara ya Mambo ya Nje imeelezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu machafuko yanayoendelea katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan, na kulaani mauaji ya raia na uharibifu wa miundombinu katika mji…

Uncategorized

#UchaguziMkuu2025 | Mgombea urais wa Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele amefika na kupiga kura katika kituo cha kupigia k…

October 29, 2025 mjombazecoder

#UchaguziMkuu2025 | Mgombea urais wa Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele amefika na kupiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Makuti, Mbezi Malamba mawili katika Wilaya ya Kibamba, Dar…

Uncategorized

#UchaguziMkuu2025 | Makamu wa Rais Dkt

October 29, 2025 mjombazecoder

#UchaguziMkuu2025 | Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameshiriki zoezi la kupiga kura ya kuchagua Rais, mbunge na diwani akiwa katika Kijiji cha Kasumo, Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma. #AzamTVUpdates…

Gaza: Watu 50 wameuawa katika mashambulizi ya Israel

October 29, 2025 mjombazecoder

Shirika la Ulinzi wa Raia katika Ukanda wa Gaza umeliambia shirika la habari la AFP leo Jumatano kwamba angalau watu 50, wakiwemo watoto 22, wameuawa katika mashambulizi ya Israel katika…

Uncategorized

#UchaguziMkuu2025 | Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa wat…

October 29, 2025 mjombazecoder

#UchaguziMkuu2025 | Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa. ✍…

MWANANCHI

Angalizo, matumizi ya mitandao ya kijamii kwa mastaa

October 29, 2025 mjombazecoder

Baadhi ya wanamuziki wakongwe wa Bongo Fleva, wameizungumzia mitandao ya kijamii namna...

Uncategorized

#UchaguziMkuu2025 | Mgombea wa wa urais wa Tanzania kwa tiketi ya Ada Tadea, Georges Busungu mapema leo amepiga kura katika Kiji…

October 29, 2025 mjombazecoder

#UchaguziMkuu2025 | Mgombea wa wa urais wa Tanzania kwa tiketi ya Ada Tadea, Georges Busungu mapema leo amepiga kura katika Kijiji cha Ngodama, Wilaya ya Misungwi. #AzamTVUpdates #UchaguziMkuu2025

Mkutano wa APEC: Vita vya biashara vya Marekani na China, suala kuu katika mazungumzo

October 29, 2025 mjombazecoder

Mkutano wa APEC, mkutano wa kiuchumi kati ya wakuu wa nchi za eneo la Asia-Pasifiki, unaanza Jumatano, Oktoba 29 nchini Korea Kusini, na unaendelea hadi Jumamosi. Mkutano huo una umuhimu…

Uncategorized

#UchaguziMkuu2025 | Mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt

October 29, 2025 mjombazecoder

#UchaguziMkuu2025 | Mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amepiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Kariakoo , Jimbo la…

Posts pagination

1 … 812 813 814 … 1,017

Recent Posts

  • Kinyume na propaganda za adui, sekta ya ulinzi ya Iran inaendelea kupata mafanikio: Naibu Mkuu wa Jeshi
  • Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo
  • Amtangaza Mrithi Kimafumbo? Kauli ya Rais William Ruto Kumhusu Naibu Wake Kindiki Yazua Gumzo
  • President Samia reappoints Dr Lusingu as TICD Board of Directors’ chairman
  • IGP Wambura elevates ACP Lulengelule to Tabora Police Commander

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

HABARI ZA KIPEKEE

Kinyume na propaganda za adui, sekta ya ulinzi ya Iran inaendelea kupata mafanikio: Naibu Mkuu wa Jeshi

June 29, 2026 mjombazecoder
HABARI ZA KIPEKEE

Iran na Oman zazindua kamati ya pamoja ya Hormuz kujadili usimamizi wa baadaye wa lango hilo

June 29, 2026 mjombazecoder
TUKO SWAHILI NEWS

Amtangaza Mrithi Kimafumbo? Kauli ya Rais William Ruto Kumhusu Naibu Wake Kindiki Yazua Gumzo

June 29, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

President Samia reappoints Dr Lusingu as TICD Board of Directors’ chairman

June 29, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS