Israel yakiuka usitishaji vita, yaua Wapalestina 10 kila siku
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Euro-Mediterania lilitangaza siku ya Ijumaa katika ripoti yake kuwa, utawala wa Kizayuni umekuwa ukiwaua shahidi Wapalestina 10 kila siku tangu kuanza kwa usitishaji…
Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania: Samia ameshinda uchaguzi wa rais kwa asilimia 98 ya kura
Tume Huru ya Uchaguzi nchini Tanzania imemtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais ulifanyika Oktoba 29 kwa asilimia 98 ya kura.
Naeem Qassem: Muqawama ni nembo ya nguvu ya Lebanon, unapaswa kulindwa
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani inadai kwamba inataka kutatua matatizo ya Lebanon lakini nchi hiyo sio mpatanishi mwadilifu asiyependelea upande wowote na ni mshirika katika…
Tanzania: Rais Samia Hassan ashinda uchaguzi kwa asilimia 97.66
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameibuka mshindi katika uchaguzi mkuu wa urais uliofanyika wiki hii kulingana na matokeo rasimi ya leo Jumamosi. Imechapishwa: 01/11/2025 – 07:39Imehaririwa: 01/11/2025 – 08:01…
Idara ya Habari Palestina: Kuna mabomu 20,000 ambayo hayajalipuka huko Gaza
Idara ya Vyombo vya Habari ya Serikali ya Palestina imetangaza kwamba mabomu 20,000 ambayo hayajalipuka bado yamebaki katika eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atangazwa mshindi wa uchaguzi
Tume ya uchaguzi imesema kuwa rais ameshinda kwa asilimia 98 ya kura katika uchaguzi uliokuwa na utata.
Mwanamfalme wa Uingereza avuliwa vyeo vyote vya kifalme
Kasri ya Mfalme wa Uingereza, Buckingham Palace, ilitangaza jana Ijumaa kwamba Andrew, kaka wa mfalme wa Uingereza, atajulikana kama Andrew Mountbatten Windsor na si Mwanamfalme, na hatakuwa tena na haki…
Kutawishwa ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Moscow na Beijing
Ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Moscow na Beijing unaendelea licha ya vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya.
Takht-Ravanchi: Oman ni jirani wa kuaminika wa Iran na mshirika muhimu
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ambaye pia ni Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameitaja ziara yake ya hivi karibuni nchini Oman kuwa yenye manufaa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran alaani kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia Marekani, asema ni tishio la kimataifa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelitaja tangazo la Marekani la kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia kuwa ni kitendo kisicho cha kuwajibika na tishio kubwa kwa amani…
Tanzania yakanusha madai ya kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya matumizi ya nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji wanaopinga zoezi la Uchaguzi Mkuu…
Erdogan amkosoa vikali Kansela wa Ujerumani: Huoni mauaji ya halaiki ya Israel huko Gaza
Rais wa Uturuki amekosoa vikali msimamo wa Ujerumani wa kuuunga mkono utawala wa Israel, akimwambia kansela wa nchi hiyo: "Je, huoni mauaji ya halaiki na njaa ya kutengeneza kwa makusudi…
UN yakosoa mashambulizi ya Marekani dhidi ya meli zinazoshukiwa kubeba dawa za kulevya
Umoja wa Mataifa jana Ijumaa ulitoa wito kwa Washington kusimamisha mashambulizi yake dhidi ya meli na boti katika Bahari ya Karibi na mashariki mwa Pasifiki zinazotuhumiwa na Washington kuwa zinafanya…
Mwanamfalme wa Uingereza avuliwa vyeo vyote vya kifalme na kufukuzwa nyumbani kwake
Katika matokeo ya hivi karibuni ya kashfa ya Jeffrey Epstein, Kasri ya Mfalme wa Uingereza, Buckingham Palace, ilitangaza jana Ijumaa kwamba Andrew, kaka wa mfalme wa Uingereza, atajulikana kama Andrew…
Jumamosi, Mosi Novemba, 2025
Leo ni Jumamosi 10 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria ambayo inasadifiana na Mosi Novemba 2025 Miladia.
Uturuki kuandaa mazungumzo ya Gaza wiki ijayo kufuatia wasiwasi juu ya usitishaji mapigano
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Hakan Fidan, amesema kuwa Ankara imechukua jukumu muhimu chini ya Azimio la Sharm el-Sheikh, ikishirikiana na washirika wa kimataifa kuhakikisha kuwa usitishaji wa…
Upinzani Tanzania wasema mamia wameuawa, UN yataka uchunguzi ufanyike
Waziri wa Mambo ya Nje Mahmoud Thabit Kombo, amekanusha madai ya upinzani ya kwamba mamia wameuawa.
Mfumo wa ulimwengu wa sasa unazingatia nguvu zaidi ya haki: Mkurugenzi wa TRT
Jukwaa la 9 la TRT World limeanza mjini Istanbul, likiunganisha viongozi, wanafikra na watunga sera kutoka sehemu mbalimbali za dunia.
Israel imeigeuza Gaza kuwa vifusi, inawezaji kuwa haina hatia: Erdogan
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, pia ameikosoa mfumo wa propaganda ya Israel uliyojengwa kwa misingi ya uongo, akifichua idadi kubwa ya waandishi wa habari waliouawa Gaza.
Uturuki yakashifu unafiki wa nchi za Magharibi kuhusu Gaza, yatoa wito wa mfumo mpya wa dunia
Kiongozi wa Mawasiliano wa Uturuki, Burhanettin Duran, amesema Ankara inachukua jukumu la usuluhishaji, ikiweka kipaumbele usalama wa binadamu na kuamini kwamba amani ya kudumu inaweza kupatikana kupitia mazungumzo, si kwa…
Marekani kudhibiti idadi ya wakimbizi wataoruhusiwa kuingia nchini humo
Serikali ya Rais Donald Trump, imesema itaenda kudhibiti idadi ya wakimbizi watakaoruhusiwa kuingia nchini humo kuanzia mwaka ujao hadi kufikia elfu 7 na 500, na kwamba nafasi hizo zitajazwa kwa…
Umoja wa Afrika yamchagua Rais wa Uganda kuwa mpatanishi wa amani Sudan
Vita nchini Sudan vimekuwepo tangu Aprili 2023 na kusababisha maelfu kuhama makazi yao na wengine kukimbilia nchi za nje.
Sudan: Wapiganaji wa RSF wanaokiuka haki za raia wakamatwa
Nchini Sudan Wanamgambo wa RSF Wamesema kwamba wamewakamata wapiganaji kadhaa wanaotuhumiwa kutekeleza vitendo vya uhalifu na unyanyasaji wakati wa kutekwa kwa mji wa El-Fasher. Imechapishwa: 31/10/2025 – 15:03 Dakika 1…
Jeshi lasema limezima jaribio la mapinduzi Guinea-Bissau
Jeshi nchini Guinea-Bissau limethibitisha kuzima kile linasema ni jaribio la kuvuruga mpangilio wa kikatiba ambapo maofisa wa ngazi ya juu wa jeshi wamekatamatwa. Imechapishwa: 31/10/2025 – 14:51 Dakika 1 Wakati…
ICRC inalaani vurugu dhidi ya wafanyakazi wa misaada huko Gaza na Sudan
Mkurugenzi Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) amelaani siku ya Ijumaa vurugu zinazoongezeka dhidi ya wafanyakazi wa misaada, hasa huko Gaza na Sudan, ambapo wafanyakazi watano wa…
Kwa nini Iran inataka kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Cuba bila masharti yoyote?
Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo vyote dhidi ya Cuba bila masharti yoyote.
Umoja wa Mataifa waguswa na mchafuko yanayotokana uchaguzi wa Tanzania
Umoja wa Mataifa Ijumaa ya wiki hii umetoa wito kwa vyombo vya usalama nchini Tanzania kuacha kutumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji. Imechapishwa: 31/10/2025 – 13:19 Dakika 1 Wakati…
Hali bado si shwari Tanzania, matokeo yakiendelea kutangazwa
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania inaendelea kutangaza matokeo ya awali ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika 29 Oktoba, 2025.
Hali bado si shwari Tanzania huku matokeo yakiendelea kutangazwa
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania inaendelea kutangaza matokeo ya awali ya urais ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika 29 Oktoba, 2025.
UN yasema ripoti zaonyesha watu 10 wameuawa katika maandamano Tanzania
Maandamano yalizuka katika jiji la kibiashara Dar es Salaam na miji mingine wakati wa upigaji kura siku ya 29 Oktoba 2025.
Mkutano wa Paris kwa ajili ya DRC umetia matumaini – Huang
Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maziwa Makuu Barani Afrika, Huang Xia amekaribisha kwa yaliyotokana na Mkutano wa Kuunga Mkono Amani na Ustawi katika Ukanda huo,…
WHO yatoa wito kwa zama mpya za hatua za kimkakati za afya mijini kupitia mwongozo wa kimataifa wa jamii zenye afya, ustawi na uimara
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO), leo hii katika Siku ya Kimataifa ya Majiji, limetoa wito kwa viongozi wa kitaifa na wa miji kuchukua hatua mpya za…
Mnufaika wa mradi unaotekelezwa na UNFPA Tanzania aelezea jinsi ulivyomtoa machozi
Mpango wa “Chaguo Langu, Haki Yangu” nchini Tanzania ni jitihada thabiti zinazolenga kuwawezesha wanawake na wasichana kuishi maisha huru dhidi ya ukatili na vitendo hatarishi. Kwa ufadhili wa Serikali ya…
Utekaji nyara, mauaji ya halaiki na ubakaji Sudan: UN yatahadharisha ukatili El-Fasher
Tangu kuanguka kwa jiji la El-Fasher mikononi mwa Rapid Support Forces (RSF) ambavyo ni vikosi vya waasi vya Sudan, maelfu ya raia wamekimbia jiji hilo. Wote wameripoti ukiukwaji wa haki…
Wasichana wakifanikiwa, jamii nzima hubadilika: Kituo cha hifadhi dhidi ya ukeketaji vijijini nchini Kenya kinachotoa matumaini mapya kwa wasichana.
“Katika kaunti ya Narok nchini Kenya, ukeketaji wa wasichana hufanyika kwa siri, na katika baadhi ya vijiji vya Kaunti hiyo kiwango chake hufikia hadi asilimia 99,” amesema Patrick Ngigi, mwanzilishi…
Majiji ya kisasa pamoja na kukumbatia teknolojia izingatie watu
Dunia leo ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Majiji, majiji ya kisasa pamoja na kukumbatia teknolojia yametakiwa kuhakikisha yanazingatia zaidi watu ili wengine wasiachwe nyuma au kutengwa na maendeleo hayo.
Kauli ya ofisi ya UN ya Haki za binadamu kufuatia vurugu nchini Tanzania baada ya uchaguzi mkuu
Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu imeeleza wasiwasi mkubwa kufuatia vifo na majeruhi vilivyotokea katika maandamano yanayohusiana na uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania tarehe…
Serikali ya Tanzania yasema hali ya kawaida itarejea hivi karibuni
Kwa mara ya kwanza serikali ya Tanzania imezungumzia kuhusu machafuko yanayoendelea kwa njia ya ujumbe kutoka wizara ya mambo ya nje kwa wanadiplomasia wa nchi za nje kupitia televisheni ya…
Tanzania: Karibia watu 700 wamefariki katika kipindi cha siku tatu: Chadema
Karibia watu 700 wameuawa nchini Tanzania katika kipindi cha siku tatu kutokana na vurugu za baada ya uchaguzi kulingana na taarifa ya chama kikuu cha upinzani Chadema. Imechapishwa: 31/10/2025 –…
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani na Israel zinachukiwa zaidi duniani
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo tawala zinazochukiwa zaidi duniani.
Majibu ya Ansarullah kwa Israel Katz: “Hatutamruhusu mtenda jinai atutishie”
Mohammad al-Farah, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amejibu matamshi ya Waziri wa Vita wa Israel kwamba utawala huo ghasibu bado haujafikia malengo yake yoyote…
Mazungumzo ya Taliban na Pakistan yamalizika Istanbul huku baadhi ya mambo yakisalia bila utatuzi
Mazungumzo ya siku kadhaa kati ya wajumbe wa Taliban na Pakistan mjini Istanbul yamemalizika kwa upatanishi wa serikali ya Qatar na Uturuki.
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu ‘ukatili wa kutisha’ nchini Sudan
Maafisa wa Umoja wa Mataifa wameonya kuhusiana na 'ukatili wa kutisha' unaofanyika nchini Sudan.
Marekani yahamaki vibaya kwa kushindwa kuipokonya silaha Hizbullah
Viongozi wa Marekani wameshindwa kuficha hamaki zao kutokana na kufeli njama zao zote za kuipokonya silaha harakati ya Muqawama na mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon. Wameonesha hamakii zao…
Marekani yahamaki vibaya kwa kushindwa kuipokonya silaha Hezbullah
Viongozi wa Marekani wameshindwa kuficha hamaki zao kutokana na kufeli njama zao zote za kuipokonya silaha harakati ya Muqawama na mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon. Wameonesha hamakii zao…
Iran na Oman zasisitiza kuimarisha zaidi uhusiano wao wa kidugu
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ambaye pia ni Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman…
Hasira za Hamas kwa uongo wa Marekani na Israel kuhusu mauaji ya wanawake na watoto wa Ghaza
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, amelalamikia vikali visingizio vya uongo vinavyotumiwa na utawala vamizi wa Kizayuni vya kujaribu kuhalalisha jinai zake dhidi ya raia wa…
Maporomoko ya matope yaua watu 9 mashariki mwa Uganda
Kwa uchache watu tisa, wakiwemo watoto watatu wa familia moja, wamepoteza maisha katika maporomoko ya matope yaliyosababishwa na mvua kubwa mashariki mwa Uganda.
UN: Wasyria 400,000 wamekimbia makazi yao katika muda huu mfupi wa uongozi wa Jolani
Umoja wa Mataifa umeitangaza kwamba zaidi ya Wasyria 400,000 wamelazimikia kukimbia makazi yao kutokana na ukandamizaji wa kidini na ulipizaji kisasi tangu Jolani alipoingia madarakani nchini Syria.
Israel imetambua miili ya mateka wawili wa Gaza waliokabidhiwa na Hamas
Israel imetambua mabaki ya mateka Amiram Kuper na Sahar Baruch, ambao miili yao ilikabidhiwa na Hamas mapema leo, taarifa kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu imetangaza siku ya Alhamisi,…