Israel: Maafisa wakuu wa jeshi wagawanyika kuhusu operesheni Gaza, watu wamiminika mitani
Maandamano makubwa yamefanyika nchini Israel leo Jumanne, Agosti 26. Waandamanaji wengi wameandamana katika maeneo mbalimbali nchini Israel wakipinga vita huko Gaza na kudai makubaliano ya kuachiliwa kwa mateka ambao bado…
Israel yashambulia katika Ukingo wa Magharibi
Jeshi la Israel limefanya mashambulio katika mji wa Ukingo wa Magharibi wa Ramallah hivi leo na kuwajeruhi watu 14 na kufanya uharibifu kwenye mji huo. Hayo yameelezwa na shirika la…
Putin atuhumiwa kufanya hila kutokutana na Zelensky
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ameituhumu Moscow kwamba inaendesha kile alichokiita mkakati wa kuchelewesha hatua za kufikia makubaliano ya amani na Ukraine. Katika mkutano na Waziri Mkuu wa Canada Mark…
Serikali ya DRC na waasi wa M23 warudi Doha
Wajumbe wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa kundi la M23 wamerejea tena kwenye meza ya mazungumzo mjini Doha. Hayo yameelezwa na wajumbe hivi leo kufuatia…
Jeshi la Nigeria laokoa watu 76 waliokuwa wametekwa nyara, wamo wanawake na watoto
Maafisa wa serikali ya Nigeria wamesema, jeshi la anga limeokoa watu 76 waliokuwa wametekwa nyara, wakiwemo wanawake na watoto. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Wanajeshi wanaofuata siasa kali wafukuzwa Bundeswehr
Tayari jeshi la Ujerumani limeshawafukuza wanajeshi 90 baada ya kuthibitishwa kuwa na misimamo ya siasa kali za mrengo wa kulia mnamo mwaka jana. Wizara ya ulinzi Ujerumani, ambayo ilikuwa ikijibu…
No Reforms No Election vs Oktoba Tunatiki: Kuzaa mwelekeo mpya wa siasa Tanzania?
Chanzo cha picha, x Maelezo kuhusu taarifa Author, Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutoka BBC Dar es Salaam 10 Juni 2025 Kwa siku kadhaa sasa kuna sauti mbili zinazoshindana katika mdundo…
“Utumishi wa Umma unaozingatia viwango vya juu vya weledi, unaopatikana na kuendelezwa kwa kufuata misingi ya haki, umahiri na u…
“Utumishi wa Umma unaozingatia viwango vya juu vya weledi, unaopatikana na kuendelezwa kwa kufuata misingi ya haki, umahiri na utendaji bora ndani ya utumishi wetu wa Umma” – Mhe.Samia Suluhu…
#HABARI:Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma, wamejitokeza kumsindikiza Dkt…
#HABARI:Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma, wamejitokeza kumsindikiza Dkt.Juma Zuberi Homera, kuchukukua fomu ya kugombea Ubunge kwenye Jimbo hilo, baada ya kuteuliwa…
Ufaransa yakabidhi fuvu la mfalme Toera
Ufaransa leo imerejesha nchini Madagascar mafuvu ya watu watatu waliouwawa wakati wa enzi za ukoloni. Miongoni mwa mafuvu yaliyorejeshwa ni la mtu anayeaminika alikuwa mfalme wa Madagascar aliyekatwa kichwa na…