Uchaguzi wa urais Tanzania: Raia waendelea kubakia nyumbani kufuatia ghasia zinazoendelea
Baada ya uchaguzi wa rais na wabunge uliokumbwa na maandamano na vurugu, hali inaendelea kuwa tete nchini Tanzania siku ya Alhamisi, Oktoba 30, ambapo makabiliano yaliendelea siku ya Alhamisi katika…
Hussein Ali Mwinyi aibuka mshindi wa urais visiwani Zanzibar kulingana na ZEC
Tume ya Uchaguzi visiwani Zanzibar ZEC imemtangaza Dkt. Hussein Ali Mwinyi kuwa nddiye mshindi wa uchaguzi wa urais baada ya kupata zaidi ya asilimia 74 ya kura, katika uchaguzi wa…
Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 Tanzania yaendelea kutangazwa, Mwinyi atangazwa mshindi Zanzibar
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania INEC ilianza kutangaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2025 jana Alkhamisi, huku Tume ya Uchahguzi Zanzibar ZEC ikimtangaza Rais Hussein Ali Hassan Mwinyi…
Ripoti: Mauzo ya bidhaa za Iran nchini Oman yameongezeka
Katika miezi mitano ya kwanza ya mwaka huu wa Kiirani, mauzo ya Iran kwenda Oman yameongezeka kwa asilimia 16.
Doha: Tupo katika mawasiliano na pande zote mbili ili kudumisha usitishaji vita Gaza
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa, nchi yake inawasiliana na pande zote mbili, Palestina na Israel, ili kudumisha usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza.
Sheikh Mkuu wa al-Azhar ya Misri aitaka Italia iitambue Palestina
Sheikh Mkuu wa Chuo Kikuu cha al-Azhar cha Misri ameitaka Italia ilitambue rasmi taifa la Palestina.
Mkuu wa WHO alaani kuuliwa wagonjwa na raia katika mji wa El Fasher nchini Sudan
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO amelaani taarifa iliyoripotiwa kuhusu kuuliwa wagonjwa na raia kufuatia kushtadi machafuko katika mji wa El Fasher nchini Sudan. Tedros Adhanom Ghebreyesus ametaka…
Madai yasiyo na msingi ya Trump ya eti ushindi wa Marekani katika vita vyote; ni kujisahaulisha matukio ya Afghanistan na Iraq?
Rais wa Marekani, Donald Trump, amedai kwamba nchi hiyo itashinda kama itaingia vitani na nchi yoyote.
Ijumaa, Oktoba 31, 2025
Leo ni Ijumaa tarehe 09 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1447 Hijria sawa na Oktoba 31 mwaka 2025 Milaadia.
Hussein Mwinyi atangazwa mshindi wa Urais Zanzibar
Mpinzani wake wa chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud Othman ameshika nafasi ya pili.
Hospitali ya mwisho Al Fasher, Darfur yashambuliwa; mamia wahofiwa kufariki
Hospitali ya mwisho inayofanya kazi katika mji wa Al Fasher, Sudan, imeshambuliwa na mamia ya watu wanahofiwa kufariki baada ya wanamgambo kuudhibiti mji huo wiki hii, Shirika la Afya Ulimwenguni…
Wabunge wa Ulaya wasema uchaguzi wa Tanzania haukua huru wala haki
Wabunge wa umoja wa Ulaya, hapo jana jioni walitoa tamko la Pamoja kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania waliosema haukuwa huru wala wa haki, wakizitaka nchi washirika na wadau wa demokrasia…
Uturuki: Je Ujerumani haioni matendo maovu ya Israel Gaza
Rais wa Uturuki Tayyip Erdogan ameikosoa Ujerumani kwa kile alichosema ni kupuuza matendo ya Israel katika Ukanda wa Gaza, akiyahusisha na mauaji ya halaiki njaa na mashambulizi ya mara kwa…
Zaidi ya watoto 22,000 wameuawa katika mashambulizi ya Israel Gaza
Mkurugenzi wa idara ya magonjwa ya watoto na uzazi katika Kituo cha Tiba cha Nasser huko Gaza amesema leo Alkhamisi kuwa, zaidi ya watoto 22,000 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika…
Iran na Niger zasisitiza kupanua ushirikiano wa utalii
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jamhuri ya Niger leo Alkhamisi amebadilishana mawazo na Waziri wa Utalii na Kazi za Mikono wa nchi hiyo kuhusu ushirikiano wa pamoja…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega amepiga kura yake, katika Kituo cha kupiga kura cha Ofisi ya Kijiji cha…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega amepiga kura yake, katika Kituo cha kupiga kura cha Ofisi ya Kijiji cha Mwanambaya na kuwataka wananchi kujitokeza kutimiza haki yao ya…
Wananchi wa Tanzania wanaendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi
Wananchi wa Tanzania wanaendelea kusubiri matokeo ya uchaguzi uliofanyika jana Jumatano na kutawaliwa na maandamano ya hapa na pale huku hali ya mambo ikianza kurejea katika hali ya kawaida.
Israel yashambulia kusini mwa Lebanon; raia mmoja auawa
Wanajeshi wa Israel wamefanya shambulizi la nchi kavu katika mkoa wa kusini mwa Lebanon wa Nabatieh, huo ukiwa ukiukaji mwingine wa makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo yalianza kutekelezwa karibu mwaka…
Vyombo vya habari vinavyotumikia jinai (Google; mshirika katika jinai za Netanyahu)
Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki. Kipindi hiki kinachunguza dhulma ya vyombo vya habari kuanzia namna taarifa zilivyokusanywa na kufikishwa kwa watu hadi matangazo…
Iran: Mkuu wa IAEA anapasa kuepuka ‘matamshi yasiyo na msingi’ kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya kiraia
Iran imesema kuwa Rafael Grossi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) anajia “kikamilifu” namana miradi ya nishati ya nyuklia ya nchi hii ilivyo ya malengo…
Trump aiamuru Wizara ya Vita ya Marekani kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia
Rais Donald Trump wa Marekani ameiagiza Wizara ya Vita ya nchi hiyo kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia; katika uamuzi ambao umewatia wasiwasi wapinzani wa silaha za maangamizi ya…
Trump aiamuru Idara ya Vita ya Marekani kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia
Rais Donald Trump wa Marekani ameiagiza Wizara ya Vita ya nchi hiyo kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia; katika uamuzi ambao umewatia wasiwasi wapinzani wa silaha za maangamizi ya…
Urusi: Kremlin yasema majaribio ya hivi karibuni ya silaha hayakuwa ‘majaribio ya nyuklia’
Kremlin imewatuliza nyoyo baadhi ya viongozi wa dunia leo Alhamisi, Oktoba 30, kuhusiana na matangazo yake ya hivi karibuni kuhusu majaribio ya chombo cha majini kisicho na nahodha cha Urusi…
Belarus yadhamiria kukuza uhusiano na Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus, Maxim Ryzhenkov, amesema nchi yake imedhamiria kukuza uhusiano na Iran katika nyanja mbalimbali.
Wito wa UN wa mshikamano kukabili janga la Maziwa Makuu wazinduliwa Paris
Jumuiya ya kimataifa imekutana leo Oktoba 30 katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, kwa lengo la kukusanya fedha za kuwasaidia waathirika wa machafuko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo…
WMO yazindua mpango mpya wa ushirikiano wa kifedha kulinda Msingi wa utabiri wa hali ya hewa
Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) limezindua mpango mpya wa ushirikiano wa kifedha ili kulinda mfumo muhimu wa umma wa utabiri wa hali ya hewa ambao ndio uti wa…
Mkuu wa OCHA ahoji kulikoni ugumu katika kusaka jawabu El Fasher?
Swali langu jepesi tu kwa Baraza – na kwetu sisi sote tunaofanyia kazi jitihada hizi zinazotwama ni kwamba kitu gani kuhusu hili janga kinafanya liwe gumu kutatua Ni kauli ya…
Sudan: Dunia ichague ukimya au mshikamano na watu wa El Fasher- Tume
Tume ya Umoja wa Mataifa ya Uchunguzi wa Ukweli kuhusu Sudan imeelezea leo wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa ukatili baada ya mji wa El Fasher ulioko jimboni Darfur nchini Sudan…
Nimebahatika kuwa hai hadi leo, nashukuru Mungu na watafiti wa dawa
Ninashukuru sana watafiti, kwani mimi nimepona saratani, na hakika dawa zinafanya kazi. Ni kauli ya Lucy Githinji, mkazi wa jimbo la New Jersey nchini Marekani akizungumza baada ya matembezi ya…
Agizo la Trump la kuanza tena majaribio ya silaha za nyuklia; Dunia inarudi kwenye mashindano ya silaha za nyuklia
Rais Donald Trump wa Marekani ameamuru kuanzishwa tena majaribio ya silaha za nyuklia za nchi hiyo.
CAR: Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa awasilisha ripoti kuhusu haki za binadamu nchini
Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, Yao Agbetse, amewasilisha ripoti yake ya kila mwaka kwa Baraza Kuu la…
Sudan: RSF imeua wafanyakazi 12 wa afya Bara, Kordofan (Waziri wa Afya)
Wizara ya Afya ya Sudan imetangaza leo Alhamisi, Oktoba 30, kwamba wanamgambo wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) waliwaua kimakusudi wafanyakazi 12 wa afya katika mji wa Bara, Kordofan.…
Maandamano yaendelea kwa siku ya pili nchini Tanzania baada ya uchaguzi
Nchini Tanzania, kwa siku ya pili, Alhamisi maandamano yameshuhudiwa jijini Dar es salaam, baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 kukumbwa na vurugu. Imechapishwa: 30/10/2025 – 09:53Imehaririwa: 30/10/2025 – 10:12…
Grossi: Hakujaonekana ongezeko la urutubishaji urani nchini Iran
Licha ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa la Nishati ya Atomiki IAEA kutangaza kuwa hakuna ongezeko lolote la urutubishaji urani nchini Iran, lakini wakati huo huo amedai kuwa kumeonaka…
Marekani kuunda kikosi kipya cha kijeshi cha kukandamiza raia
Wizara ya Vita ya Marekani imeamuru wanajeshi wa Gadi ya Taifa kuunda kikosi kipya haraka kwa ajili ya kukandamiza zaidi raia wanaolalamikia uongozi mbovu wa Trump katika majimbo yote ya…
Miili 460 ya watu yapatikana hospitalini El Fasher, mawaziri wa Sudan na Misri wakutana
Zaidi ya wagonjwa 460 na watu walioandamana nao wameripotiwa kupatikana wameuawa katika hospitali ya uzazi huku kukiwa na ripoti za kuendelea ukatili dhidi ya raia huko El Fasher, Sudan. Hayo…
Angola yatangaza kuwekeza kwenye satelaiti mpya
Serikali ya Angola imetangaza kuwa itaongeza uwekezaji katika sekta ya mawasiliano ya simu, ambao utajumuisha mpango wa kurusha satelaiti mpya ya uchunguzi na kupanua mtandao wa taifa wa mawasiliano kama…
Ardhi adimu, ushuru: Donald Trump aelezea mkutano na Xi Jinping kama “mafanikio makubwa”
Nchini Korea Kusini, Rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Marekani Donald Trump wamekutana Alhamisi, Oktoba 30. Wakati wa mkutano kando ya mkutano wa kilele wa APEC, wakuu hao…
Zanzibar kutangaza rasmi matokeo ya Uchaguzi Mkuu leo Alhamisi jioni
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Thabit Aidarous, amewahakikishia wananchi wa visiwa hivyo kwamba matokeo rasmi ya uchaguzi yatatangazwa rasmi leo Alhamisi jioni. Imechapishwa: 30/10/2025 – 07:26Imehaririwa: 30/10/2025 –…
Mali: Jeshi lashutumiwa kuwaua wafugaji katika mkoa wa Ségou
Mashtaka mapya ya unyanyasaji na ukatili uliofanywa na jeshi la Mali yameibuka. Matukio hayo yanaripotiwa kutokea Oktoba 23 katika mkoa wa Ségou. Askari, wakiungwa mkono na wawindaji wa jadi wa…
Benin: Boni Yayi avunja ukimya baada ya Wademocrats kutengwa katika Uchaguzi wa urais
Rais wa zamani wa Benin Boni Yayi amevunja ukimya wake jioni ya Oktoba 28 katika video iliyorushwa kwenye mitandao ya kijamii na chama chake, Les Démocrates (Wademocrats). Imechapishwa: 30/10/2025 –…
Belarusi: Tuna azma thabiti ya kupanua ushirikiano wetu na Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus amefanya mazungumzo na Naibu Waziri na Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kisiasa na Kimataifa cha Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran…
Sahara Magharibi: Kura muhimu kwa mustakabali wa eneo linalozozaniwa katika UNSC
Ni mustakabali gani unaosubiri Sahara Magharibi? Swali hili litakuwa katikati ya kura muhimu leo Alhamisi hii, Oktoba 30, katika Umoja wa Mataifa. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litapitisha…
Iran yalaani kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wasio na ulinzi wa Gaza
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulizi makubwa ya anga ya utawala wa Israel katika maeneo mbalimbali ya kusini, katikati na…
Venezuela yatangaza operesheni za kupambana na dawa za kulevya, Marekani yaongeza shinikizo
Rais wa Venezuela Nicolás Maduro ametangaza siku ya Jumatano, Oktoba 29, kwamba jeshi limezuia ndege tatu zinazotumika kwa biashara ya dawa za kulevya katika siku tatu zilizopita. Imechapishwa: 30/10/2025 –…
Vita vya Biashara: Donald Trump na Xi Jinping wakutana Korea Kusini kando ya APEC
Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa China Xi Jinping wameanza mkutano kwa kupeana mikono leo Alhamisi, Oktoba 30, huko Korea Kusini, mkutano uliokusudiwa kupunguza vita vya kikatili vya…
Ripota wa UN amfumba mdomo vibaya Mzayuni
Baada ya mwakilishi wa Israel katika Umoja wa Mataifa kumwita Francesca Albanese, ripota maalumu wa umoja huo katika masuala ya Palestina kuwa ni mchawi, Albanese ametoa majibu makali yaliyomziba mdomo…
Kongamano kuhusu amani ya maziwa makuu linafanyika nchini Ufaransa
Kongamano kuhusu amani katika eneo la Maziwa Makuu, linafanyika Alhamisi hii jijini Paris nchini Ufaransa, ambapo wadau mbalimbali wanatarajiwa kutoa mchango wa kifedha kupambana na hali mbaya ya kibinadamu hasa…
Qalibaf: Iran Kamwe Haitasalimu Amri
Katika hafla ya kuwaenzi mashahidi wa Iran huko Khorasan Kaskazini, Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad-Baqer Qalibaf, ametamka kwa msisitizo kwamba, “Iran kamwe haitasalimu amri.”
Iran yaanza majaribio ya safari za ndege za mizigo zilizotengenezwa nyumbani
Ndege ya Simorgh iliyotengenezwa Iran imeanza rasmi safari zake za majaribio huku ikijiandaa kujiunga na sekta ya usafirishaji mizigo hapa nchini.