#HABARI: Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Lupa, Wilaya ya Chunya, Mkoa Mbeya, Mh
#HABARI: Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Lupa, Wilaya ya Chunya, Mkoa Mbeya, Mh. Masache Njelu Kasaka, aliyefanikiwa kutetea nafasi yake na kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupeperusha bendera ya…
Godwin Asediba wa Ghana ashinda Tuzo ya BBC Komla Dumor ya 2025
Mwandishi huyo mwenye umri wa miaka 29 mara nyingi huangazia masuala ya maslahi ya binadamu yanayolenga kufichua ukosefu wa haki na kupaza sauti za jamii zilizotengwa.
Ogiek wanapigania kurejea msituni Mau
Jamii ya Ogiek nchini Kenya inapigania kurejesha ardhi ya mababu zao katika msitu wa Mau. Jamii hiyo imeishi msituni humo kwa muda mrefu japo serikali ya Kenya imewalazimisha kuondoka.
Uturuki yalaani shambulizi la Israel dhidi ya wanahabari
Maafisa wa Palestina wamesema karibu watu 20 wakiwemo waandishi wa habari watano, waliuawa kwenye shambulizi la Israel kwenye Hospitali ya Nasser. Mkuu wa idara hiyo ya mawasiliano Burhanettin Duran ameandika…
Wadephul amtaka Putin kuzungumza mara moja na Zelensky
Wadephul amesema hayo alipokutana na mwenzake wa Croatia Gordan Grlić Radman katika mji mkuu Zagreb, akisema Putin atakuwa anajidanganya, ikiwa anadhani atacheza na muda. “Lazima tuendelee kuishinikiza Urusi. Ndiyo maana,…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Netanyahu aahidi kuwaondoa wanajeshi wake Lebanon
Taarifa ya ofisi ya Netanyahu imesema ikiwa Jeshi la Lebanon (LAF) litachukua hatua zinazohitajika kuwapokonya silaha Hezbollah, Israel itashiriki hatua za kubadilishana, na kuwapunguza kwa hatua wanajeshi wake, chini ya…
Marais wa Iran na Urusi wajadili mpango wa nyuklia wa Iran
Rais wa Urusi Vladimir Putin alizungumza kwa njia ya simu na Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, hii ikiwa ni kulingana na Ikulu ya Kremlin na kugusia hali ya mpango wa…
Sudan yakabiliwa na janga la kiutu baada ya mashambulizi
Hali ya kibinadamu katika mji wa El-Fasher nchini Sudan inazidi kuzorota baada ya mashambulizi mapya ya vikosi vya wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF) yaliyosababisha vifo, utekaji na uharibifu mkubwa.…