Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 28, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 27, OKTOBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 27, OKTOBA 2025
Mhifadhi mstaafu wa Makumbusho ya Dk
Mhifadhi mstaafu wa Makumbusho ya Dk. David Livingstone, Mzee Kassim Mbingo, amewakumbusha Watanzania kujifunza kutoka kwa athari za vita katika nchi jirani za Congo na Burundi, akisema machafuko ya kisiasa…
“Nimeondoka CHADEMA kwa sababu…chama kimepoteza muelekeo, chama kinaenda kuwa NGO, ambayo inafanya Activism…mimi ni mwanasia…
"Nimeondoka CHADEMA kwa sababu...chama kimepoteza muelekeo, chama kinaenda kuwa NGO, ambayo inafanya Activism...mimi ni mwanasiasa, nataka kufanya siasa, kwa hiyo nimetafuta platform ya kufanya siasa,”-Ezekiel Wenje-Mwanasiasa. #DAKIKA45 Powered by #MCHEZOSUPA…
#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mikoa ya Lindi na Mtwara limezindua rasmi mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia ges…
#HABARI: Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mikoa ya Lindi na Mtwara limezindua rasmi mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wenye uwezo wa megawati 20 katika Kituo cha Mtwara…
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso amewataka wananchi wa Jimbo la Segerea kuwa waangalifu …
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso amewataka wananchi wa Jimbo la Segerea kuwa waangalifu katika kipindi hiki cha uchaguzi kwa kujiepusha na wanasiasa anaowaita matapeli…
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Dadi Kolimba, ameongoza wananchi katika zoezi la upandaji miti ya mikoko lililofanyika eneo la Sahare k…
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Dadi Kolimba, ameongoza wananchi katika zoezi la upandaji miti ya mikoko lililofanyika eneo la Sahare kijijini, likiwa na lengo la kudhibiti athari za mabadiliko ya…
“Ukiwa nao wanakuona wewe ni mtu wa maana sana, ukitoka kwao wanakuona huna akili, yaani ukitoka kama mimi sasa hivi nimetoka wa…
"Ukiwa nao wanakuona wewe ni mtu wa maana sana, ukitoka kwao wanakuona huna akili, yaani ukitoka kama mimi sasa hivi nimetoka wanasema sina akili…"- Ezekiel Wenje-Mwanasiasa. #DAKIKA45 Powered by #MCHEZOSUPA…
#HABARI: Watendaji wa vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 katikaJimbo la Mbinga Vijijini mkoani Ruvuma, wamet…
#HABARI: Watendaji wa vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 katikaJimbo la Mbinga Vijijini mkoani Ruvuma, wametakiwa kujiepusha na kutokua vyanzo vya malalamiko kutoka vyama vya siasa ikiwa…
Mgombea ubunge CCM aahidi kuboresha mazingira ya kazi kwa vijana wa Bodaboda, Bajaji Moshi Mjini
Mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ibrahim Shayo...
🔴DAKIKA 45 NA EZEKIEL WENJE: 27, OKTOBA 2025
🔴DAKIKA 45 NA EZEKIEL WENJE: 27, OKTOBA 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha, imetoa jumla ya shilingi milioni 400 kutoka kwenye makusanyo ya ndani kwa ajili …
Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, mkoani Arusha, imetoa jumla ya shilingi milioni 400 kutoka kwenye makusanyo ya ndani kwa ajili ya mikopo ya vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye…
Mikoa yawahakikishia usalama wananchi siku ya uchaguzi
Wakati Watanzania wakihesabu saa kwenda kupiga kura kumchagua Rais, wabunge na madiwani, wakuu...
SIKU 61 ZA KAMPENI: Vyama vyatabiri ushindi, usafiri kusimama mikoani na Zanzibar
Uamuzi huo umeelezwa ni sehemu ya mchango wa kampuni za mabasi kuhakikisha abiria na...
Kutokana na hali ya ulemavu baada ya kupooza mwili miaka 30 iliyopita, Festo Lusasi mkazi wa Mwangata mkoani Iringa, hatoweza ku…
Kutokana na hali ya ulemavu baada ya kupooza mwili miaka 30 iliyopita, Festo Lusasi mkazi wa Mwangata mkoani Iringa, hatoweza kushiriki uchaguzi wa mwaka huu baada ya kushindwa kujiandikisha. Lusasi…
Mgombea wa Chama cha UPDP, Hamad Muhamed Ibrahim ameahidi kuyaingiza makundi maalumu kwenye utaratibu wa kupiga kura ya mapema i…
Mgombea wa Chama cha UPDP, Hamad Muhamed Ibrahim ameahidi kuyaingiza makundi maalumu kwenye utaratibu wa kupiga kura ya mapema ili kuepuka msongamano. Ameyasema hayo leo wakati akihitimisha kampeni zake kwa…
Mgombea wa Chama cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele leo katika viwanja vya Zakhiem, wilayani Temeke, Dar es Salaam ameahidi kub…
Mgombea wa Chama cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele leo katika viwanja vya Zakhiem, wilayani Temeke, Dar es Salaam ameahidi kuboresha sekta ya elimu kwa kuanzisha mtaala mmoja wa taifa ambao…
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema ipo tayari kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwa sasa wanamalizia mambo machache y…
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema ipo tayari kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwa sasa wanamalizia mambo machache ya maandalizi kwenye vituo mbalimbali vya kupigia kura,…
‘Dk Manguruwe’ adai kupungua uzito kutokana na upelelezi kutokamilika
Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu kama Dk...
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimehitimisha kampeni zake jijini Dar es Salaam leo, ambapo mgombea wake wa urais, Salum Mw…
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimehitimisha kampeni zake jijini Dar es Salaam leo, ambapo mgombea wake wa urais, Salum Mwalim ameahidi kuunda serikali yenye upatanisho kwa wananchi wake kwa…
Huko Mwanza, kwenye viwanja vya Soko la Machinjioni, mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Georges Busung…
Huko Mwanza, kwenye viwanja vya Soko la Machinjioni, mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha ADA TADEA, Georges Busungu amehitimisha kampeni zake akiahidi kulijenga upya jiji hilo kwa…
Mgombea urais TLP: Puuzeni maneno ya mitandao jitokezeni kupigakura
Ameeleza kuwa mfumo wa vyama vingi upo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
Wakati saa zikihesabika kabla ya uchaguzi mkuu wiki hii, mvutano umeibuka kati ya mgombea ueais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha…
Wakati saa zikihesabika kabla ya uchaguzi mkuu wiki hii, mvutano umeibuka kati ya mgombea ueais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman na Tume ya Uchaguzi…
#HABARI: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Pwani, kimekanusha taarifa zinazodai kuwa chama hicho kimewataka walimu kutoshi…
#HABARI: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Pwani, kimekanusha taarifa zinazodai kuwa chama hicho kimewataka walimu kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, huku kikieleza kuwa madai…
AI ilivyoisaidia Airtel Tanzania kupunguza matukio ya majaribio ya udanganyifu
Imeelezwa kuwa kwa robo mbili mfululizo, Airtel Tanzania imefanikiwa kupunguza matukio ya...
Polisi yataja sababu ya kumkamata Niffer
Niffer anashikiliwa kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu na kuharibu miundombinu katika maeneo...
Mwalim ahitimisha kampeni Dar akishukuru Watanzania walivyompokea
Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalim, amehitimisha kampeni...
#HABARI: Mgombea Udiwani wa Kata ya Makutupora kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Almon Chaula, ameahidi kushughulikia kwa ukami…
#HABARI: Mgombea Udiwani wa Kata ya Makutupora kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Almon Chaula, ameahidi kushughulikia kwa ukamilifu changamoto ya Migogoro ya Ardhi iliyodumu kwa muda mrefu katika Kata hiyo,…
#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata na linamuhoji, Jenifer Bilikwiza Jovin (Niffer) (26) mkazi M…
#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata na linamuhoji, Jenifer Bilikwiza Jovin (Niffer) (26) mkazi Masaki Peninsula, Kinondoni kwa tuhuma za kuhamasisha vurugu na kuharibu miundombinu…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 27, 2025 – ZEC WASEMA WANATEKELEZA SHERIA
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 27, 2025 - ZEC WASEMA WANATEKELEZA SHERIA
Vinicius achafua hali ya hewa Madrid, afikiria kuondoka
Nyota wa Real Madrid, Vinicius Junior, anaripotiwa kufikiria kuondoka Santiago Bernabéu baada...
#HABARI: Viongozi wa Dini Mkoani Manyara, akiwemo Katibu Mkuu wa BAKWATA Mkoani humo Alhaj Ahmad Said na Askofu Mkuu wa Kanisa l…
#HABARI: Viongozi wa Dini Mkoani Manyara, akiwemo Katibu Mkuu wa BAKWATA Mkoani humo Alhaj Ahmad Said na Askofu Mkuu wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki wamewataka wananchi nchini…
Usafiri mikoani, Dar-Zanzibar kusitishwa Oktoba 29
Hata kwenye mitandao yao, ukitaka kukaa tiketi tarehe hiyo haikupi nafasi ya kuichagua.
#HABARI: Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, imeendelea kuboresha miundombinu ya…
#HABARI: Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, imeendelea kuboresha miundombinu ya Barabara kwa kutekeleza miradi mikubwa yenyethamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 22,…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Bukombe kupitia Chama Cha Mapunduzi (CCM) Dkt
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Bukombe kupitia Chama Cha Mapunduzi (CCM) Dkt. Doto Biteko, amewashukuru wana Bukombe kwa heshima waliyompa kipindi chote cha kampeni katika Wilaya ya Bukombe. Dkt. Biteko…
Ikiwa imebaki siku moja kuelekea #UchaguziMkuu2025 Jumatano hii…Je, umejipanga kumpigia kura kiongozi wako kwenye ngazi ya udi…
Ikiwa imebaki siku moja kuelekea #UchaguziMkuu2025 Jumatano hii...Je, umejipanga kumpigia kura kiongozi wako kwenye ngazi ya udiwani, ubunge na urais? Tuandikie maoni yako nasi tutayasoma mbashara kwenye #AzamNews kuanzia saa…
#HABARI: Wakazi wa Mikoa ya Mtwara na Lindi, wameondokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara, baada ya Shirika la…
#HABARI: Wakazi wa Mikoa ya Mtwara na Lindi, wameondokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara, baada ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kusimika mtambo wa kufua umeme…
Kihongosi: Uwezo wa Samia umewatingisha, kufifisha ndoto waliotaka kumuhujumu
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimesema utendaji bora wa mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu...
#HABARI: Msimamizi wa Uchaguzi katika Majimbo ya Tunduru Kusini na Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, Bwana Bosco Mwingira amewata…
#HABARI: Msimamizi wa Uchaguzi katika Majimbo ya Tunduru Kusini na Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, Bwana Bosco Mwingira amewataka Watendaji wa vituo vya Uchaguzi Mkuu mwaka huu kutii kiapo walichoapa cha…
Sh115 bilioni kufunga mfumo wa kusimamia ardhi Zanzibar
Kumalizwa kwa migogoro ya ardhi kwa kutumia mifumo ya kidijitali, Dk Mwinyi amesema kutawapa...
Jifunze jinsi sheria za kazi nchini zinavyokulinda kabla na baada ya kuachishwa kazi
Jifunze jinsi sheria za kazi nchini zinavyokulinda kabla na baada ya kuachishwa kazi. #AzamTVUpdates ✍Warda John Mhariri | John Mbalamwezi
17 kutoa ushahidi Mahakama Kuu, kesi ya kusafirisha kilo 447 za dawa za kulevya
Mashahidi 17 na vielelezo 24 vinatarajiwa kutolewa Mahakamani katika kesi ya kusafirisha dawa...
“Tutajenga Miundombinu zaidi ili kila kona ya nchi ifikike kiurahisi, kwa msisitizo ilani ya CCM imegusa kila eneo” Kenani Kihon…
"Tutajenga Miundombinu zaidi ili kila kona ya nchi ifikike kiurahisi, kwa msisitizo ilani ya CCM imegusa kila eneo" Kenani Kihongosi - Katibu Mwenezi wa CCM. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
Hujambo, uhali gani?
Hujambo, uhali gani? Uko tayari kwa #BSSNextLevelRevolution ? Sisi ni kama muda hauendi…Tukutane kwenye usahili kuanzia Novemba 22, 2025 kabla ya burudani kamili kwenye televisheni yako kuanzia Desemba 21 mwaka…
Paul Biya ashinda urais Cameroon kwa mara ya nane
Biya amepata ushindi dhidi ya mpinzani wake mkuu, Issa Tchiroma Bakary, aliyepata asilimia 35.2...
Fountain Gate yashtua Ligi Kuu
KITENDO cha kukusanya pointi saba katika mechi tatu mfululizo za Ligi Kuu Bara ilizocheza Fountain Gate, imeonekana kurejesha ari, morali na matumaini kwa mastaa wa timu hiyo, huku wakitamba kuwa…