#HABARI: Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe
#HABARI: Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amesema kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025 unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba ni halali kwa kuwa…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma, Bi.Ngollo Malenya, amesema hakuna tishio lolote la uvunjifu wa amani katika …
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma, Bi.Ngollo Malenya, amesema hakuna tishio lolote la uvunjifu wa amani katika wilaya hiyo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, huku akiwahakikishia wananchi kwamba…
TRA United ni Maxime au Ndayiragije
UONGOZI wa TRA United upo katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kupata kocha mkuu wa kuinoa timu hiyo ambapo kwenye mchujo yamebaki majina mawili tu.
Afrika yaunganisha nguvu kukomesha udumavu
Tatizo la utapiamlo barani Afrika limeendelea kutafutiwa ufumbuzi baada ya kuingiwa makubaliano...
TRA United kumrudisha Senzo Bongo
WALE TRA United ni kama wako siriazi sana na kama hufahamu ni kwamba wako kwenye hatua za mwisho kumrudisha nchini bosi aliyewahi kufanya kazi bora na klabu za Simba na…
TRA United kumrudisha Bongo Senzo
WALE TRA United ni kama wako siriazi sana na kama hufahamu ni kwamba wako kwenye hatua za mwisho kumrudisha nchini bosi aliyewahi kufanya kazi bora na klabu za Simba na…
TRA United kumrudisha Bongo Senzo anarudi Bongo
WALE TRA United ni kama wako siriazi sana na kama hufahamu ni kwamba wako kwenye hatua za mwisho kumrudisha nchini bosi aliyewahi kufanya kazi bora na klabu za Simba na…
Baada ya miaka ya mapambano na uraibu wa dawa za kulevya, Talik Azizi Mkawa wa Arusha ameamua kufungua ukurasa mpya wa maisha
Baada ya miaka ya mapambano na uraibu wa dawa za kulevya, Talik Azizi Mkawa wa Arusha ameamua kufungua ukurasa mpya wa maisha. Akiguswa na wito wa Rais Dkt. Samia Suluhu…
Kilichojificha, miwani kumbwa anazovaa Uwoya
Fasheni zinakuja na kupotea, ila hii ya miwani za msanii wa Bongo Movie na aliyewahi kushiriki...
Kocha Namungo FC aitumia salamu Azam
BAADA ya kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Mashujaa, kocha Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema anaamini kikosi chake kitafanya vizuri dhidi ya Azam kwenye mechi itakayochezwa Novemba 5,…
Twiga Stars yafuzu WAFCON 2026
TIMU ya Taifa ya Soka ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, imefuzu Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 baada ya kuiondosha Ethiopia kwa jumla ya mabao 3-0.
Twiga Stars yafuzu WAFCON 2026 ikiichapa Ethiopia
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake ‘Twiga Stars’ imefuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya...
#HABARI: Taasisi ya Mwanamke na Nguvu ya Kijani Tanzania, imewaasa wanawake na vijana kuwa makini katika kulinda amani, huku iki…
#HABARI: Taasisi ya Mwanamke na Nguvu ya Kijani Tanzania, imewaasa wanawake na vijana kuwa makini katika kulinda amani, huku ikiwataka kuwa mabalozi wa amani ili kusaidia kujenga kizazi chenye utu…
Niffer bado ashikiliwa Polisi Dar
Mfanyabiashara Jenifer Jovin, maarufu mitandaoni kama Niffer, bado anaendelea kushikiliwa na...
#HABARI: Mhandisi Godfrey Kasekenya, mgombea Ubunge wa jimbo la Ileje mkoani Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amehitimi…
#HABARI: Mhandisi Godfrey Kasekenya, mgombea Ubunge wa jimbo la Ileje mkoani Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amehitimisha kampeni zake katika kata ya Itale huku akiahidi kufanya maboresho makubwa ya…
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Emanuel Nuwas, amehitimisha rasmi kampeni zake leo, akiahidi kuimarisha sekta muhimu …
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Emanuel Nuwas, amehitimisha rasmi kampeni zake leo, akiahidi kuimarisha sekta muhimu za maendeleo ikiwemo afya, barabara, maji na kilimo. Amesema atatoa kipaumbele kwa…
Samia: Tujitokeze kupiga kura, tusibaki kunung’unika mitandaoni
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amehitimisha kampeni...
Jamii imeaswa kutosita kutoa au kufichua taarifa za kihalifu kwa mamlaka mbalimbali nchini, kwani ipo Sheria ya Watoa Taarifa na…
Jamii imeaswa kutosita kutoa au kufichua taarifa za kihalifu kwa mamlaka mbalimbali nchini, kwani ipo Sheria ya Watoa Taarifa na Mashahidi Sura ya 446 ambayo imeundwa mahsusi kuwalinda watoa taarifa…
Tatizo la umeme laiponza Dodoma Jiji, yapokwa pointi tatu
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 27, 2025, imefikia uamuzi wa kuipa Pamba Jiji pointi tatu na…
Pamba yapewa pointi tatu za Dodoma Jiji
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 27, 2025, imefikia uamuzi wa kuipa Pamba Jiji pointi tatu na…
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akiagana na…
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akiagana na makundi mbalimbali ya wanahabari, wapigapicha, wananchi na vikundi vya…
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kuwa amekutan…
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kuwa amekutana na makundi mbalimbali ya waangalizi wa kimataifa waliofika nchini kufuatilia…
Biya na Ouattara, marais wakongwe walivyoshinda uchaguzi Cameroon, Ivory Coast
Wakati Rais wa Cameroon, Paul Biya akitangazwa mshindi katika uchaguzi wa Oktoba 12, 2025...
Kimbunga Chenge chasambaratika, TMA yasema…
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeeleza kimbunga Chenge kimepoteza nguvu yake na...
Rais mpya kujulikana ndani ya saa 72
Wakati kampeni za wagombea zikikamilika, hamu ya Watanzania inahamasishwa na kumpata Rais...
Vinywaji hivi hatari kwa mjamzito, mtoto
Wataalamu wa afya wametahadharisha kuhusu ongezeko la matumizi ya vinywaji vyenye sukari...
Kura ya mapema yakamilika ikilalamikiwa Zanzibar
Kazi ya upigaji wa kura ya mapema imefanyika leo Jumanne Oktoba 28, 2025 katika vituo 50...
Mtibwa yapigwa faini Sh20 milioni, kisa haina kocha mkuu
KLABU ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro, imetozwa faini ya jumla ya Sh20 milioni kwa kosa la kuanza msimu wa Ligi Kuu Bara na kucheza mechi nne bila kuwa na…
Fundi ujenzi adaiwa kujinyonga kisa msongo wa mawazo
Fundi ujenzi, Henry Mhagama (25) amefariki dunia baada ya kujinyonga ndani ya chumba chake...
#HABARI: Zoezi la uthamini maeneo yatakayopitiwa na ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa SGR kipande cha 6 kutoka Tabora hadi Kigom…
#HABARI: Zoezi la uthamini maeneo yatakayopitiwa na ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa SGR kipande cha 6 kutoka Tabora hadi Kigoma linaendelea kwa kasi katika wilaya sita za mikoa…
Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameahidi kuwa msaidizi mwaminifu na mchapakazi kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan endapo watapewa ridhaa ya kuunda…
Simba yatua Tabora, rekodi tamu yaibeba
Kikosi cha Simba kimetua Tabora leo saa 8 mchana tayari kwa mchezo wake wa Ligi Kuu Tanzania...
Mbunge wa zamani wa viti maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Munde Tambwe amempigia kampeni mgombea ubunge wa chama hicho katik…
Mbunge wa zamani wa viti maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Munde Tambwe amempigia kampeni mgombea ubunge wa chama hicho katika jimbo la Tabora Mjini, Hawa Mwaifunga katika kampeni za…
#HABARI: Naibu Katibu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi (TABOA) Issa Nkya, amewatoa hofu wananchi na abiria kuwa hakijatoa tamko l…
#HABARI: Naibu Katibu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi (TABOA) Issa Nkya, amewatoa hofu wananchi na abiria kuwa hakijatoa tamko la usitishaji huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani na…
Bidhaa za Tanzania zapenya masoko ya Dunia kupitia CIIE
Uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na China umechukua sura mpya, baada ya kugeuka lango la...
Mshauri wa kijeshi wa Ayatullah Khamenei: Iran iko tayari kwa ‘vita vya korido’ ili kuongeza ushawishi wa kimkakati
Mshauri mkuu wa kijeshi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametaja "vita vya korido" vinavyoibuka kuwa ni uwanja muhimu katika uhusiano wa kimataifa, na uwanja mpya…
Mgogoro wa El Fasher: Maelfu wakadiriwa kuuawa, Umoja wa Afrika walaani “ukatili”
Waziri wa Afya katika jimbo la Darfur, Babiker Hamdeen amesema kwamba maelfu ya raia wameuawa katika mji wa El Fasher katika siku mbili zilizopita, huku Umoja wa Afrika ukilaani "ukatili"…
#HABARI: Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime, ametahadharisha juu ya uwepo wa kikundi cha watu ambao wanaandaa picha mjo…
#HABARI: Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Misime, ametahadharisha juu ya uwepo wa kikundi cha watu ambao wanaandaa picha mjongeo na matukio ya nyuma, ambayo yameshashughulikiwa na mengine ni…
Israel inawajibika kwa vitendo vinne vya mauaji ya kimbari Gaza: Navi Pillay
Mwenyekiti wa tume huru inayochunguza madai ya ukiukaji wa haki za binadamu katika ardhi ya Palestina Iliyokaliwa kwa mabavu na Israel leo ameiambia kamati ya Baraza Kuu la Umoja wa…
Türk apongeza tamko la mazingira la ASEAN, ataka utekelezaji jumuishi
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, leo amepongeza kupitishwa kwa tamko la kihistoria la kikanda kuhusu haki ya kuwa na mazingira yenye afya lililopitishwa…
Umeme waiponza Dodoma Jiji, Pamba Jiji ikipewa pointi tatu za mezani
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuipa...
UN yatoa kauli baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa Rais Cameroon
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameonesha wasiwasi wake mkubwa kufuatia machafuko yaliyoripotiwa baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika nchini Cameroon tarehe 12 Oktoba.
Umataifishaji kuwezesha Vyuo Vikuu Tanzania kufanikisha SDGs
“Kimsingi tunaenda kwenye kutekeleza matakwa ya awali ambayo lengo namba 4 la Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs linalotaka tutoe elimu bora,” ni kauli ya Profesa William Mwegoha, Makamu Mkuu wa…
Mamilioni wajiandaa na athari za kimbunga Melissa Karibea: IFRC/WMO/OCHA
Mamilioni ya watu nchini Jamaica na katika ukanda wote wa visiwa vya Karibea wanajiandaa kukabiliana na madhara makubwa ya kimbunga Melissa huku Umoja wa Mataifa na washirika wake wakionya kuhusu…
UN yatoa wito wa kuimarisha uungwaji mkono kwa uchaguzi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati
Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), Valentine Rugwabiza, ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuimarisha msaada wa kifedha na kisiasa…
Fahamu madhara waliyopata raia wa Afghanistan baada ya serikali kufunga mawasiliano
Wanawake walishindwa kuwasiliana na walezi wao wa kiume wanaopaswa kuwasindikiza wakitembea umbali fulani. Mama mmoja mjamzito mtoto wake alikufa kwani hawakuweza kuwasiliana na gari la wagonjwa Elimu mtandaoni nayo ilitwama…
Muhtasari wa Habari: Kimbunga Melissa, Sudan, Afghanistan
Mamilioni ya watu nchini Jamaica na katika ukanda wote wa Karibea wanajiandaa kukabiliana na madhara makubwa ya kimbunga Melissa huku Umoja wa Mataifa na washirika wake wakionya kuhusu tishio kubwa…
Maandamano ya Tunisia na Morocco; dhihirisho la kuunga mkono Wapalestina barani Afrika
Wimbi jipya la uungaji mkono kwa Wapalestina barani Afrika limekwenda sambamba na kulaani vitendo vya kijinai vya utawala haramu wa Israel.
Dk Bashiru ataja vigezo sita vinavyombeba Samia
Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Bashiru Ally, amemuombea kura kwa...