Marais wa Iran na Urusi wajadili mpango wa nyuklia wa Iran
Rais wa Urusi Vladimir Putin alizungumza kwa njia ya simu na Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, hii ikiwa ni kulingana na Ikulu ya Kremlin na kugusia hali ya mpango wa…
Sudan yakabiliwa na janga la kiutu baada ya mashambulizi
Hali ya kibinadamu katika mji wa El-Fasher nchini Sudan inazidi kuzorota baada ya mashambulizi mapya ya vikosi vya wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF) yaliyosababisha vifo, utekaji na uharibifu mkubwa.…
Indonesia na Marekani waanza luteka za pamoja za mwaka
Luteka hizo, zinazolenga kuhakikisha uthabiti katika eneo la Asia-Pasifiki, zinafanyika wakati Marekani inaangazia kuhakikisha washirika wao wanachukulia kwa uzito zaidi vitisho ambavyo huenda vikaletwa na China. Zaidi ya wanajeshi 4,000…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MARA : AGOSTI 25, 2025 – NYANI NA FISI WAGEUKA TISHIO KWA WANANCHI
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MARA : AGOSTI 25, 2025 – NYANI NA FISI WAGEUKA TISHIO KWA WANANCHI
Gaza: Ishirini, wakiwemo wanahabari watano wauawa, katika shambulio la Israel Khan Younis
Waandishi watano wanaofanya kazi katika vyombo vya habari vya kimataifa wameuawa tarehe 25 Agosti katika mashambulizi ya Israel. Mashambulizi hayo yameikumba hospitali moja kusini mwa Ukanda wa Gaza na kusababisha…
Israel yatuhumiwa kuwalenga wanahabari huko Gaza
Mapema Jumatatu asubuhi, Israel imeshambulia kwa makombora mawili hospitali kubwa zaidi kusini mwa Ukanda wa Gaza ya al-Nasser huko Khan Younis na kusababisha vifo vya watu 19 wakiwemo wanahabari 4.…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe
#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua mradi wa kuwasaidia watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani (Children in Street Situation (CiSS)…
Vita Sudan: RSF yanalenga maeneo ya Kimkakati katika Jiji la El-Fasher
Hali ya utulivu kwa sasa inatawala huko El-Fasher, mji mkuu wa Darfur Kaskazini, mji pekee katika jimbo hilo ulio chini ya udhibiti wa jeshi. Mapigano makali yameendelea kwa siku tisa…