Jnim wameimarisha udhibiti wao kupitia uchumi haramu Sahel
Tangu 2022, kundi la wanajihadi linalodai kutetea Waislamu na Uislamu, Jnim, limeimarisha ushawishi wake wa kiuchumi na utawala wa ndani katika maeneo ambapo inafanya harakati zake, ikizidi kutegemea uchumi haramu.…
Côte d’Ivoire: Mwanajeshi auawa kusini mashariki mwa nchi
Serikali ya Côte d’Ivoire na makao maku ya jeshi wanaripoti kwamba mwathiriwa-afisa ambaye amekuwa akiongoza kikosi cha askari-alifariki mapema asubuhi ya Jumatatu, Oktoba 20, wakati wa operesheni kwenye barabara ya…
Zelensky kushiriki katika mkutano kati ya Putin naTrump ‘ikiwa ataalikwa’
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema yuko tayari kukutana na Vladimir Putin na Donald Trump mjini Budapest iwapo ataalikwa kwenye mkutano kati ya viongozi wa Urusi na Marekani. Mkutano huu,…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 21, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 21, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Trump atishia ‘kutokomeza’ Hamas ikiwa itakiuka makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu ameonya kwamba Hamas “itatokomezwa” ikiwa itakiuka makubaliano ya Gaza na Israel, lakini akasema itapewa fursa ya kuheshimu makubaliano hayo. Makamu wa Rais…
🔴KUMEKUCHA: UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA….OKTOBA 21, 2025
🔴KUMEKUCHA: UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA....OKTOBA 21, 2025
Rais wa zamani wa Ufaransa Sarkozy anaanza kutumikia kifungo cha miaka mitano jela
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy atawekwa rumande leo Jumanne. Ataanza kifungo cha miaka mitano jela kwa kula njama ya kukusanya fedha za kampeni nchini Libya. Ni pigo kubwa…
Wanawake wajawazito nchini huenda wakapata nafasi ya kupata elimu kuhusu afya ya uzazi na ushauri unaohusiana na malezi kwa wepe…
Wanawake wajawazito nchini huenda wakapata nafasi ya kupata elimu kuhusu afya ya uzazi na ushauri unaohusiana na malezi kwa wepesi zaidi baada ya mtaalamu wa Akili Unde, Elias Patrick kuunda…
🔴#MAGAZETI: JAMHURI YALALAMA, LISSU ANAKWAMISHA KESI KWA MAKUSUDI……OKTOBA 21, 2025
🔴#MAGAZETI: JAMHURI YALALAMA, LISSU ANAKWAMISHA KESI KWA MAKUSUDI......OKTOBA 21, 2025
Trump atishia kuiangamiza Hamas ikiwa itakiuka makubaliano
Rais wa Marekani Donald Trump amelionya kundi la wanamgambo wa Kipalestina la Hamas kuwa "litaangamizwa" ikiwa litakiuka mpango wa kusitisha vita huko Gaza.
Marekani yazidisha juhudi za kudumisha mpango wa amani Gaza
Wajumbe wawili wa juu wa Marekani kwa Mashariki ya Kati wamekutana Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, wakijaribu kuunusuru mpango wa kusitisha vita kati ya Israel na Hamas.
Zelensky alenga kununua mifumo ya ulinzi wa anga ya Patriot
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema nchi yake inajiandaa kununua mifumo ya ulinzi wa anga ya Patriot.
Amnesty: Ukandamizaji washamiri Tanzania kabla ya uchaguzi
Shirika la Amnesty International limetoa taarifa likieleza kuwa mamlaka za Tanzania zimeongeza ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa kisiasa, waandishi wa habari, asasi za kiraia na watetezi wa haki za binadamu.
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy kwenda jela
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy anatarajiwa Jumanne kwenda jela ya "la Santé" iliyopo katikati mwa mji mkuu Paris kutumikia kifungo cha miaka mitano jela.
Ripoti: Mapambano dhidi ya Malaria yashindwa kupiga hatua
Ripoti mpya iliyotolewa na mashirika kadhaa ya wanaharakati imetahadharisha kuwa mapambano dhidi ya malaria yamekwama licha ya miongo miwili ya mafanikio.
HAMAS yaimarisha nguvu na udhibiti wake Ghaza
Vyombo vya usalama vya Israel vimetangaza kuwa Hamas imekuwa ikiimarisha udhibiti wake katika Ukanda wa Ghaza tangu dakika za mwanzo za kusitishwa mapigano na inaendelea kurejesha utulivu na usalama katika…
#KIPIMAJOTO: Wanaoshawishi watu wasijitokeze kupiga kura
#KIPIMAJOTO: Wanaoshawishi watu wasijitokeze kupiga kura. Je, wanaelewa kuwa ni kosa la jinai?
Mufti wa Oman aunga mkono utayarifu wa Wayemen kukabiliana na Israel
Mufti wa Oman ametangaza himaya na uungaji mkono wake kikamilifu utayarifu wa Wayemen kukabiliana na utawala haramu wa Israel.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 21, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 21, 2025
Ripoti: Mashambulizi ya wanamgambo yameshadidi eneo la Sahel Afrika
Mashambulizi ya wanamgambo wenye silaha yanaripotiwa kushadidi katika eneo la Sahel Afrika.
Amnesty International: Serikali ya Tanzania imezidisha ukandamizaji kabla ya uchaguzi mkuu
Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limesema kuwa, serikali ya Tanzania imezidisha ukandamizaji kwa wakosoaji wake wa kisiasa, waandishi wa habari, asasi za kiraia, na watetezi wa haki za…
Kusimama shughuli za serikali ya Marekani kutakwenda hadi lini?
Serikali ya Donald Trump huko Marekani imevunja rekodi kwa kusimamisha shughuli zake kwa muda wa siku 20. Janga hilo lilianza Oktoba 1, 2025, na kulemaza shughuli muhimu za Marekani na…
21.10.2025
Wajumbe wawili wa juu wa Marekani kwa Mashariki ya Kati wamekutana jana Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, wakijaribu kuunusuru mpango wa kusitisha vita kati ya Israel na…
21.10.2025: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Trump atishia kuiangamiza Hamas ikiwa itakiuka mpango wa amani huko Gaza. Zelensky amesema analenga kununua mifumo ya ulinzi wa anga ya Patriot. Shirika la Amnesty limesema ukandamizaji umeshamiri Tanzania kabla…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 21, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
“Ajira kwenye sekta, kila eneo likikua maana yake linaleta ajira, kwa mfano miaka mi nne iliyopita tulikua na waongoza Utalii t…
"Ajira kwenye sekta, kila eneo likikua maana yake linaleta ajira, kwa mfano miaka mi nne iliyopita tulikua na waongoza Utalii takribani 700, leo kuna waongoza Utalii Elfu sita" Dkt.Hassan Abbas…
“Mapato ya sekta ya Utalii yameongezeka kutoka Dola Bilioni 1.3, mwaka 2021 mpaka leo mapato ya sekta ya Utalii yamefika Dola Bi…
"Mapato ya sekta ya Utalii yameongezeka kutoka Dola Bilioni 1.3, mwaka 2021 mpaka leo mapato ya sekta ya Utalii yamefika Dola Bilioni 3.9 maana yake yameongezeka kwa asilimia miatatu na…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 20, OKTOBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 20, OKTOBA 2025
“Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ni kila kitu kwenye sekta ya Utalii, ameendeleza uhifadhi ambao ndio chanzo kikuu cha uhifadhi…
"Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ni kila kitu kwenye sekta ya Utalii, ameendeleza uhifadhi ambao ndio chanzo kikuu cha uhifadhi wetu" Dkt.Hassan Abbas -Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii. Powered…
#HABARI: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baa…
#HABARI: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba…
Mgombea Urais wa Chama cha UMD, Mwajuma Mirambo ameahidi serikali atakayoiunda iwapo atashinda kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba it…
Mgombea Urais wa Chama cha UMD, Mwajuma Mirambo ameahidi serikali atakayoiunda iwapo atashinda kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba itatoa bure huduma za afya na elimu kwa kugharamikiwa kupitia matumizi bora…
Mgombea Urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman wa Chama cha ACT Wazalendo ameahidi kuzifanyia kazi kwa vitendo ahadi anazozitoa…
Mgombea Urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman wa Chama cha ACT Wazalendo ameahidi kuzifanyia kazi kwa vitendo ahadi anazozitoa katika mikutano ya kampeni kwa aijli ya maendeleo ya wananchi na…
Chama Cha MAKINI chini ya mgombea wake wa Urais, Ameir Hassan Ameir kimeahidi kutenga maeneo maalumu visiwani Zanzibar yatakayot…
Chama Cha MAKINI chini ya mgombea wake wa Urais, Ameir Hassan Ameir kimeahidi kutenga maeneo maalumu visiwani Zanzibar yatakayotumika kuwazika viongozi mashuhuri wa visiwa hivyo. Ameir ametoa ahadi hiyo baada…
#HABARI: Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP) Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo akichaguliwa kuwa Rais atakwend…
#HABARI: Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP) Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo akichaguliwa kuwa Rais atakwenda kushughulika na Mafisadi wote waliotafuna rasilimali za nchi. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
Salum Mwalimu anayewania Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) amewaahidi wakazi wa Morogoro kuwa akifa…
Salum Mwalimu anayewania Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) amewaahidi wakazi wa Morogoro kuwa akifanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 atafanya maboresha ya mchakato wa…
Mgombea Urais wa Chama cha Wakulima (AAFP) Kunje Ngombale Mwiru ameahidi kuunufaisha mkoa wa Mara kupitia usimamizi mzuri wa ras…
Mgombea Urais wa Chama cha Wakulima (AAFP) Kunje Ngombale Mwiru ameahidi kuunufaisha mkoa wa Mara kupitia usimamizi mzuri wa rasilimali za mkoa huo kama anavyoeleza Augustine Mgendi. #AzamTVUpdates Mhariri |…
Mjane aliyeamriwa kuondoka katika nyumba anayoisimamia akiwa masimamizi wa mirathi ya marehemu mumewe iliyopo Msasani Dar es Sal…
Mjane aliyeamriwa kuondoka katika nyumba anayoisimamia akiwa masimamizi wa mirathi ya marehemu mumewe iliyopo Msasani Dar es Salaam, Alice Haule amerejeshewa hati ya nyumba hiyo baada ya tume iliyoundwa kwa…
Jukwaa la Wakurugenzi Wakuu wa Makampuni Tanzania (CEOrt) limekutana na wadau kutoka serikali, sekta ya fedha, na kilimo jijini …
Jukwaa la Wakurugenzi Wakuu wa Makampuni Tanzania (CEOrt) limekutana na wadau kutoka serikali, sekta ya fedha, na kilimo jijini Dodoma kujadili njia bora za kukabiliana na athari za mabadiliko ya…
Wagombea wa nafasi za Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani nchini wamesalia na siku chache kukamilisha muda wa kuwashawishi kwa …
Wagombea wa nafasi za Urais, Ubunge, Uwakilishi na Udiwani nchini wamesalia na siku chache kukamilisha muda wa kuwashawishi kwa hoja wapiga kura kuelekea Uchaguzi mkuu, Oktoba 29. Je, wananchi ambao…
#HABAI: Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, Makundi Maalum ya watu wenye ulema…
#HABAI: Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, Makundi Maalum ya watu wenye ulemavu mkoani Singida, wameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)…
Rais wa mpito wa Madagascar amemteua waziri mkuu mpya kufuatia mapinduzi ya kijeshi
Uteuzi huo unakuja baada ya siku kadhaa za maandamano ambayo yalimlazimu Rais aliyeondolewa madarakani Andry Rajoelina kutoroka nchi, huku jeshi likichukua mamlaka.
#HABARI: Vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Tanga vimeanza kuimarisha operesheni ya kuimarisha ulinzi katika maeneo tofauti iki…
#HABARI: Vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Tanga vimeanza kuimarisha operesheni ya kuimarisha ulinzi katika maeneo tofauti ikiwemo mpakani mwa nchi jirani ya Kenya kufuatia jeshi la polisi kubaini kuwepo…
Wajumbe wa Marekani wakutana na Netanyahu
Msemaji wa serikali ya Israel amesema wajumbe wakuu wa Marekani katika mzozo wa Mashariki ya Kati wamekutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu kujadili utekelezaji wa makubaliano ya usitishaji…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 20, 2025 – MSHINDI WA URAIS KUTANGAZWA SAA 72
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 20, 2025 - MSHINDI WA URAIS KUTANGAZWA SAA 72
Kiongozi Mkuu wa Iran, Khamenei, apinga madai kuwa Marekani imeharibu uwezo wa nyuklia wa nchi yake
Tehran na Washington zilishiriki katika duru tano za mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja ambayo yalimalizika kufuatia vita vya anga vya siku 12 mnamo Juni ambapo Israel na…
OMO: Silaha ya ushindi wetu ipo kwenye kujitokeza kupiga kura
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT–Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema silaha...
#HABARI: Wagonjwa kutoka maeneo tofauti ndani na nje ya mkoa wa Tanga wameridhishwa na maboresho yaliyofanywa na serikali katik…
#HABARI: Wagonjwa kutoka maeneo tofauti ndani na nje ya mkoa wa Tanga wameridhishwa na maboresho yaliyofanywa na serikali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tanga bombo na kusababisha kuwapunguzia…