Skip to content
  • Mon. Jun 29th, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

TAPBPA new leadership vows reforms in boxing promotion China: Xi Jinping akutana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko Zungu calls for wider participation in jogging Barker: Simba must finish strong Tap Kiswahili treasure – Msigwa
LTV ENGLISH NEWS

TAPBPA new leadership vows reforms in boxing promotion

June 29, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

China: Xi Jinping akutana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko

June 29, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

Zungu calls for wider participation in jogging

June 29, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

Barker: Simba must finish strong

June 29, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

Tap Kiswahili treasure – Msigwa

June 29, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
TAPBPA new leadership vows reforms in boxing promotion
LTV ENGLISH NEWS
TAPBPA new leadership vows reforms in boxing promotion
China: Xi Jinping akutana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI
China: Xi Jinping akutana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko
Zungu calls for wider participation in jogging
LTV ENGLISH NEWS
Zungu calls for wider participation in jogging
Barker: Simba must finish strong
LTV ENGLISH NEWS
Barker: Simba must finish strong
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
LTV ENGLISH NEWS
Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
HABARILEO
Samia kutunukiwa shahada ya heshima Nigeria
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Klabu ya Fountain Gate FC imethibitisha rasmi kumteua Fred Felix Minziro “Majeshi” kuwa Kocha Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Moh…
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
HABARI ZA KIPEKEE
Trump anakabiliwa na chaguzi ‘mbaya’ au ‘mbaya zaidi’ kuhusu Iran: Jenerali wa IRGC
TAPBPA new leadership vows reforms in boxing promotion
LTV ENGLISH NEWS
TAPBPA new leadership vows reforms in boxing promotion
China: Xi Jinping akutana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI
China: Xi Jinping akutana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko
Zungu calls for wider participation in jogging
LTV ENGLISH NEWS
Zungu calls for wider participation in jogging
Barker: Simba must finish strong
LTV ENGLISH NEWS
Barker: Simba must finish strong
Uncategorized

Kuacha kazi ni uamuzi mkubwa unaoweza kuathiri maisha yako kifedha na kitaalamu

October 27, 2025 mjombazecoder

Kuacha kazi ni uamuzi mkubwa unaoweza kuathiri maisha yako kifedha na kitaalamu. Ondoka mikononi mwa mwajiri wako wa awali kwa heshima na hakikisha unahifadhi uhusiano mzuri wa kikazi.' Kabla ya…

Uncategorized

“Chama chetu chama cha Mapinduzi ndio kimebeba matumaini ya Watanzania ndani ya nchi yetu, kuanzia vijana ambao ndio moyo wa nch…

October 27, 2025 mjombazecoder

"Chama chetu chama cha Mapinduzi ndio kimebeba matumaini ya Watanzania ndani ya nchi yetu, kuanzia vijana ambao ndio moyo wa nchi yetu, wanawake walezi wa Taifa hili, lakini makundi mbalimbali…

Uncategorized

Mastaa Yanga wavuna Sh210 milioni

October 27, 2025 mjombazecoder

BAADA ya Yanga kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, mabosi wa klabu hiyo wamewatunuku mastaa wa kikosi hicho Sh200 milioni kufuatia kazi kubwa waliyoifanya.

Uncategorized

🔴HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE: OKTOBA 27, 2025

October 27, 2025 mjombazecoder

🔴HAPA NA PALE KUTOKA NJOMBE: OKTOBA 27, 2025

MWANANCHI

Othman aibua tuhuma mpya kuhusu uchaguzi, ZEC yamuonya

October 27, 2025 mjombazecoder

Wakati mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman akitoa tuhuma...

MWANANCHI

NLD yaahidi kutekeleza Dira 2050

October 27, 2025 mjombazecoder

Chama cha National League for Democracy (NLD) kimesema kinakwenda kutekeleza Dira ya Taifa ya...

MWANANCHI

Mwalimu aapa kupunguza umaskini, gharama za maisha

October 27, 2025 mjombazecoder

Amesema amedhamiria kutatua kero za wananchi kwa sababu Chaumma ina mipango mizuri ya kuondoa...

Uncategorized

Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, ameahidi kujenga barabara ya juu (flyover) na barabara za nji…

October 27, 2025 mjombazecoder

Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, ameahidi kujenga barabara ya juu (flyover) na barabara za njia nne katika maeneo yenye msongamano mkubwa jijini Arusha, endapo…

Uncategorized

Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limeendelea kutoa elimu kwa wadau wa kilimo cha korosho kuhusu matumizi ya mfumo wa mauzo ya minad…

October 27, 2025 mjombazecoder

Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) limeendelea kutoa elimu kwa wadau wa kilimo cha korosho kuhusu matumizi ya mfumo wa mauzo ya minada kwa njia ya kidijitali, ikiwa ni maandalizi ya…

Uncategorized

Serikali imeendelea kuibua matumaini mapya kwa wakulima waliokuwa wakijihusisha na kilimo cha mazao haramu kama bangi na mirungi…

October 27, 2025 mjombazecoder

Serikali imeendelea kuibua matumaini mapya kwa wakulima waliokuwa wakijihusisha na kilimo cha mazao haramu kama bangi na mirungi, kwa kuwawezesha kuingia kwenye kilimo cha mazao halali yenye tija. Kupitia Mamlaka…

MWANANCHI

DSE yazidi kupata faida, imani ya uwekezaji yaongezeka

October 27, 2025 mjombazecoder

Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeendelea kutengeneza faida na kukua huku uelewa na...

MWANANCHI

Zanzibar kuanza kupiga kura kesho

October 27, 2025 mjombazecoder

Ni dhahiri safari ya siku 46 za kampeni za kuusaka urais, ubunge, uwakilishi na udiwani...

MWANANCHI

Safari ya uchaguzi kutoka Mwalimu Nyerere hadi Samia

October 27, 2025 mjombazecoder

Soma zaidi hapa...

Uncategorized

#HABARI: Wizara ya Nishati imeanza kutoa elimu kuhusu nishati safi ya kupikia kwa Maafisa Dawati wa Nishati Safi ya Kupikia nga…

October 27, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Wizara ya Nishati imeanza kutoa elimu kuhusu nishati safi ya kupikia kwa Maafisa Dawati wa Nishati Safi ya Kupikia ngazi ya mikoa na halmashauri kwa lengo la kuwa na…

Uncategorized

#HABARI: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapindunzi (CCM) katika Jimbo la Rorya Mhe

October 27, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapindunzi (CCM) katika Jimbo la Rorya Mhe. Jafarry Chege amehitimisha kampeni zake huku akiwataka wananchi kuhakisha wanajitokeza kwenda kupiga kura na kuwachagua…

MWANANCHI

JKT Queens yapewa kundi la vigogo Klabu Bingwa Afrika

October 27, 2025 mjombazecoder

Wawakilishi wa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati katika Fainali za Klabu Bingwa Afrika kwa...

MWANANCHI

 Jude Bellingham matatani kisa Lamine Yamal

October 27, 2025 mjombazecoder

Tabia za Jude Bellingham zimeanza kuchunguzwa upya baada ya nyota huyo wa Real Madrid kuonekana...

Uncategorized

Taarifa kwa Umma:

October 27, 2025 mjombazecoder

Taarifa kwa Umma: Ahsanteni na tunawatakia kila la kheri katika uchaguzi mkuu5 hakutakuwa na safari yoyote ya boti na meli. Huduma zetu zitarejea siku ya Alhamis tarehe 30/10/2025 kwa nyakati…

Uncategorized

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Ruvuma limeongezewa nguvu kwa kupewa vifaa mbalimbali vya kukabiliana na majanga ya moto iki…

October 27, 2025 mjombazecoder

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Ruvuma limeongezewa nguvu kwa kupewa vifaa mbalimbali vya kukabiliana na majanga ya moto ikiwa ni sehemu ya kuliongezxea nguvu. Vifaa hivyo vyenye thamani ya…

HABARI ZA KIPEKEE

Iran: UN isipendelee upande wowote, ikabiliane na ukiukwaji wa sheria za kimataifa unaofanywa na Marekani na Israel

October 27, 2025 mjombazecoder

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametaka Umoja wa Mataifa kuwakilisha kwa dhati haki za mataifa yote, huku akilaani uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran…

HABARI ZA KIPEKEE

Mpinzani mkuu Ivory Coast akubali kushindwa huku matokeo ya awali yakionyesha rais Ouattara anashinda

October 27, 2025 mjombazecoder

Waziri wa zamani wa biashara wa Ivory Coast, Jean-Louis Billon, amekubali kushindwa na Rais aliyepo madarakani, Alassane Ouattara, katika uchaguzi wa urais wa taifa hilo, kufuatia matokeo ya awali yanayoonyesha…

HABARI ZA KIPEKEE

Marekani yamkamata mwandishi muunga mkono Palestina Sami Hamdi

October 27, 2025 mjombazecoder

Mwandishi wa habari raia wa Uingereza anayejulikana kwa kuunga mkono Palestina amekamatwa nchini Marekani na shirika la Uhamiaji na Forodha (ICE), kufuatia shinikizo kutoka kwa makundi yanayoiunga mkono Israel.

HABARI ZA KIPEKEE

Shirika la Kitaifa la Vipaji la Iran lawatunuku washindi 17 wa medali za Olimpiadi za Sayansi

October 27, 2025 mjombazecoder

Shirika la Kitaifa la Vipaji la Iran (INEF) limeandaa hafla maalum ya kuwatunuku wanafunzi 17 wenye vipaji na vijana waliotwaa medali za dhahabu, fedha na shaba katika mashindano ya kimataifa…

HABARI ZA KIPEKEE

Velayati: Iran, Russia na China zina mchango madhubuti katika kuunda mfumo mpya wa dunia

October 27, 2025 mjombazecoder

Mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Dkt. Ali Akbar Velayati, amesema kuwa Iran, China na Russia, kama mataifa matatu huru yenye nguvu barani Asia,…

MWANANCHI

Waarabu kuamua Simba, Yanga kukutana makundi CAF

October 27, 2025 mjombazecoder

Tanzania sasa ina furaha baada ya Klabu zake zote nne kutinga hatua ya makundi ya mashindano ya...

Uncategorized

🔴MEZA HURU: KAMERA ZA ULINZI …OKTOBA 27, 2025

October 27, 2025 mjombazecoder

🔴MEZA HURU: KAMERA ZA ULINZI ...OKTOBA 27, 2025

Katibu Mkuu wa UN aeleza wasiwasi mkubwa kufuatia kuongezeka kwa mapigano El Fasher, Sudan

October 27, 2025 mjombazecoder

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ameelezea wasiwasi wake mkubwa kufuatia kuongezeka kwa mapigano ya kijeshi mjini El Fasher, jimbo la Darfur Kaskazini, nchini Sudan.

RSF yapanua wigo wa udhibiti wake Sudan ikiongeza ukatili kwa raia: OHCHR

October 27, 2025 mjombazecoder

Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR leo imesema imepokea taarifa za kutisha kuwa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vinafanya ukatili wa kutisha, ikiwemo mauaji ya…

Kimbunga Melissa ni tishio Carribea ,watoto milioni 1.6 wako hatari: UNICEF

October 27, 2025 mjombazecoder

Wakati Kimbunga Melissa kikitarajiwa kuleta mvua kubwa na upepo mkali katika eneo la Carribea, takriban watoto milioni 1.6 wako hatarini, huku familia katika nchi za Jamaica, Haiti na visiwa jirani…

Guterres: Ni wakati wa kukomesha ukatili Myanmar

October 27, 2025 mjombazecoder

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito kwa dunia na mataifa wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia, ASEAN kuchukua hatua za haraka kumaliza machafuko…

Kupunguzwa kwa misaada kunatishia juhudi za kukomesha ukatili dhidi ya wanawake: Ripoti ya UN Women

October 27, 2025 mjombazecoder

Shirika la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Wanawake UN Women, limeonya kuwa upunguzaji mkubwa wa ufadhili unavunja misingi ya mashirika muhimu yanayopigania kukomesha ukatili dhidi ya wanawake na wasichana.

UNICEF yachukua hatua za kukabiliana na mlipuko wa MPOX Kenya

October 27, 2025 mjombazecoder

Katika kaunti ya Mombasa nchini Kenya, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) kwa kushirikiana na wa Mastercard Foundation na Serikali ya Kaunti ya Mombasa, imechukua hatua za…

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu El Fasher, Sudan

October 27, 2025 mjombazecoder

Ofisi ya Uratibu wa Misaada ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeelezea wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za vifo vya raia na wimbi la wakimbizi wa ndani, kufuatia kuendelea kwa…

Uncategorized

#HABARI: Aliyekuwa Meya wa Halmashauri ya Manisapaa ya Tabora na Mgombea Udiwani wa Kata ya Isevya Mkoani Tabora kupitia CCM Bw

October 27, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Aliyekuwa Meya wa Halmashauri ya Manisapaa ya Tabora na Mgombea Udiwani wa Kata ya Isevya Mkoani Tabora kupitia CCM Bw. Ramadhan Kapela, ametamatisha kampeni zake za kuomba kura, akiahidi…

Uncategorized

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema imekamilisha usambazaji wa vifaa vya kura zikiwemo karatasi za kupigia kura kat…

October 27, 2025 mjombazecoder

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema imekamilisha usambazaji wa vifaa vya kura zikiwemo karatasi za kupigia kura katika vituo vyote vya uchaguzi huku kesho Oktoba 28, 2025 kura…

Uncategorized

Katika kukabiliana na hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara mkoani Mtwara, Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limezindua mtamb…

October 27, 2025 mjombazecoder

Katika kukabiliana na hali ya kukatika kwa umeme mara kwa mara mkoani Mtwara, Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limezindua mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi ili kuongeza Megawati 20…

Uncategorized

Wataalamu wa mazingira kutoka nchi mbalimbali Afrika wameanza kikao cha kuandaa mkakati wa pamoja wa kukabiliana na athari za ma…

October 27, 2025 mjombazecoder

Wataalamu wa mazingira kutoka nchi mbalimbali Afrika wameanza kikao cha kuandaa mkakati wa pamoja wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambayo yameendelea kuchangia kuathiri nyanja mbalimbali za maisha…

MWANANCHI

 Zimamoto Mbeya: Majanga yatabaki historia

October 27, 2025 mjombazecoder

Jeshi la Zimamoto na uokoaji Mkoa wa Mbeya limesema matukio ya majanga na ajali za moto...

Uncategorized

#HABARI: Serikali kwa kushirikiana na wanaharakati wa kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto jijini Tanga ikiwemo k…

October 27, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Serikali kwa kushirikiana na wanaharakati wa kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya watoto jijini Tanga ikiwemo kuwaingilia watoto wao kinyume na maumbile,wameiomba jamii kusaidia kuwafichua baadhi ya wazazi…

MWANANCHI

Sita wafariki katika matukio ya moto 16 mkoani Mara

October 27, 2025 mjombazecoder

Watu sita wamefariki dunia na wengine wanane kujeruhiwa mkoani Mara katika kipindi cha miezi...

MWANANCHI

Siri ya urembo ipo kwenye mambo haya

October 27, 2025 mjombazecoder

Katika dunia ya sasa, urembo wa mwanamke haupimwi tena kwa vipodozi vya bei ghali au mavazi ya...

MWANANCHI

Kilichopo nyuma ya Mr Blue na ngoma zake kali

October 27, 2025 mjombazecoder

Msanii wa R&B na Bongo Flava, Khery Sameer Rajab 'Mr Blue' ameelezea namna anavyofanya...

Uncategorized

Katibu wa Itikadi, Siasa, Mafunzo na Uenezi wa Wilaya ya Tanga, Kipanga Salim Juma, ametoa tathmini ya kampeni zilizofanyika kat…

October 27, 2025 mjombazecoder

Katibu wa Itikadi, Siasa, Mafunzo na Uenezi wa Wilaya ya Tanga, Kipanga Salim Juma, ametoa tathmini ya kampeni zilizofanyika katika Jimbo la Tanga, akisema chama kimefanya kazi kubwa ya kuwasilisha…

Uncategorized

Serikali mkoani Mara imeliagiza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani humo kufanya ukaguzi katika majengo ya serikali na majengo y…

October 27, 2025 mjombazecoder

Serikali mkoani Mara imeliagiza Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani humo kufanya ukaguzi katika majengo ya serikali na majengo yanayoendelea kujengwa ili kubaini usalama wa mifumo ya kupambana na majanga…

MWANANCHI

Ushirikiano mpya utakavyoimarisha afya, utawala

October 27, 2025 mjombazecoder

Dar es Salaam. Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati na Kusini (ECSA-HC) na Jukwaa la...

MWANANCHI

Mastaa kuongozana na ‘mabodigadi’ siri ni hii!

October 27, 2025 mjombazecoder

Bongo ukiachana na viongozi wa serikali na sekta binafsi, wasanii wanaongoza kwa kuwa na...

HABARI ZA KIPEKEE

Velayati: Uhusiano wa Iran na China ni wa kimkakati na wa kina

October 27, 2025 mjombazecoder

Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa wa kina uhusiano wa kihistoria na mzuri uliopo kati ya Iran na China na kusema: "Uhusiano wa nchi hizo mbili una…

Uncategorized

Meneja wa kituo cha uzalishaji umeme cha mradi wa Rusumo, Mhandisi Patrick Lwesya amesema zaidi ya tani 10 za magugu maji yamedh…

October 27, 2025 mjombazecoder

Meneja wa kituo cha uzalishaji umeme cha mradi wa Rusumo, Mhandisi Patrick Lwesya amesema zaidi ya tani 10 za magugu maji yamedhibitiwa kwa kuvunwa katika mradi huo na kutumika kwa…

Uncategorized

NBC Premier League Jumapili hii

October 27, 2025 mjombazecoder

NBC Premier League Jumapili hii. Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha matajiri wa jiji, AzamFC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.…

MWANANCHI

‘Wafanyakazi waruhusiwe wakapige kura walikojiandikisha’

October 27, 2025 mjombazecoder

Haya yamesemwa ikiwa zimebaki siku mbili kabla Watanzania kwenda kupiga kura kumchagua Rais...

Posts pagination

1 … 817 818 819 … 1,017

Recent Posts

  • TAPBPA new leadership vows reforms in boxing promotion
  • China: Xi Jinping akutana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko
  • Zungu calls for wider participation in jogging
  • Barker: Simba must finish strong
  • Tap Kiswahili treasure – Msigwa

Recent Comments

  1. EdithUrili on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  2. Nancyurike on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  3. ChaelLah on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  4. TrickSit on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit
  5. Larryverse on Cameroon separatists to pause fighting ahead of Pope visit

Archives

  • June 2026
  • May 2026
  • April 2026
  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • June 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • May 2023
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

LTV ENGLISH NEWS

TAPBPA new leadership vows reforms in boxing promotion

June 29, 2026 mjombazecoder
IDHAA YA DUNIA RFI SWAHILI

China: Xi Jinping akutana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko

June 29, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

Zungu calls for wider participation in jogging

June 29, 2026 mjombazecoder
LTV ENGLISH NEWS

Barker: Simba must finish strong

June 29, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS