Japan na Korea Kusini wakubaliana kuimarisha mahusiano yao
Mivutano kuhusu umiliki wa maeneo, Japan kuwafanyisha kazi ngumu raia wa Korea Kusini wakati ilipoikalia rasi ya Korea kwa takriban muongo mmoja ni miongoni mwa mambo yaliyosababisha mikwaruzano baina ya…
Mchakato wa uchaguzi wa bunge waahirishwa Syria
Tangazo hili limetolewa na tume ya uchaguzi nchini humo. Uchaguzi huo wa bunge ulikuwa umepangiwa kufanyika tarehe 15 hadi 20 ya mwezi Ujao. Hakuna tarehe mpa iliyotolewa ya uchaguzi huo…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA: AGOSTI 23, 2025 -WAKULIMA WASHAURIWA KUTUMIA MBEGU BORA
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUVUMA: AGOSTI 23, 2025 -WAKULIMA WASHAURIWA KUTUMIA MBEGU BORA
#HABARI:Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekanusha taarifa zinazodai kuwa mfumo wake wa uchaguzi umeunganishwa na mifumo y…
#HABARI:Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekanusha taarifa zinazodai kuwa mfumo wake wa uchaguzi umeunganishwa na mifumo ya NIDA ama chama cha siasa na kwamba uchaguzi tayari umekamilika. Mkurugenzi…
#HABARI: Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, Frola Sangiwa, ameeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu ongezeko la …
#HABARI: Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, Frola Sangiwa, ameeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu ongezeko la usafirishaji haramu wa binadamu, hasa watoto kutoka nchi jirani wanaofika kwa lengo…
Photos from ITV Tanzania’s post
#HABARI: Wakili na Mwanaharakati wa Haki za kijamii, Mwanaisha Mndeme, amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni, kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, zoezi hilo limefanyika katika Ofisi za…
#HABARI: Baadhi ya Wakulima wanaojishughulisha na Kilimo cha Tumbaku katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, wameishukuru serik…
#HABARI: Baadhi ya Wakulima wanaojishughulisha na Kilimo cha Tumbaku katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, wameishukuru serikali kwa kuweka mazingira wezeshi kwa wanunuzi wa zao hilo ambapo siku za nyuma…
#HABARI: Waziri wa TAMISEMI Mhe
#HABARI: Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amewagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini, kuimarisha vitengo vya michezo kwa kuhakikisha watumishi wa Umma wanashiriki kimakamilifu kwenye Michezo mbalimbali ambayo itawezesha kuimarisha Afya,…
IPC yatangaza baa la njaa katika Ukanda wa Gaza
Hali hiyo pia huenda ikawa mbaya zaidi kama misaada ya kitu haitoruhusiwa kuingia kwa wingi katika ukanda huo ambao ni makazi kwa maelfu ya wapalestina. Njaa inahofiwa kusambaa katika sehemu…
Waendesha mashitaka wa Kongo wataka Kabila ahukumiwe kifo
Kabila anashitakiwa bila kuwepo mahakamani kwa makosa hayo na mengine ya uhalifu wa kivita, yanayohusishwa na uongozi wake wa takriban miaka 20 katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Kabila aliyoiongoza…