#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe
#HABARI: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua mradi wa kuwasaidia watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani (Children in Street Situation (CiSS)…
Vita Sudan: RSF yanalenga maeneo ya Kimkakati katika Jiji la El-Fasher
Hali ya utulivu kwa sasa inatawala huko El-Fasher, mji mkuu wa Darfur Kaskazini, mji pekee katika jimbo hilo ulio chini ya udhibiti wa jeshi. Mapigano makali yameendelea kwa siku tisa…
#HABARI: Wananchi wa Mkoa wa Singida zikiwemo taasisi mbalimbali wameombwa kuendelea kujitokeza kuchangia damu katika Hospitali …
#HABARI: Wananchi wa Mkoa wa Singida zikiwemo taasisi mbalimbali wameombwa kuendelea kujitokeza kuchangia damu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, ilikuweza kuokoa maisha ya wagonjwa wakiwemo wanaojifungua na…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
#HABARI: Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Ndugu Flatei Gregory Massay, amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo …
#HABARI: Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Ndugu Flatei Gregory Massay, amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Amekabidhiwa fomu hiyo…
#HABARI: Kiza Mayeye, aliyeteuliwa na chama cha Allaince for Change and Transparent, (ACT-Wazalendo) kuwa mgombea wa nafasi ya U…
#HABARI: Kiza Mayeye, aliyeteuliwa na chama cha Allaince for Change and Transparent, (ACT-Wazalendo) kuwa mgombea wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kigoma Kaskazini, amefika katika ofisi za Msimamizi wa…
Khamenei: Tatizo letu na Marekani haliwezi kutatuliwa
Nchi hizi tatu za Ulaya ziliipa Iran hadi mwishoni mwa mwezi wa Agosti kuingia katika makubaliano mapya ya nyuklia, kinyume chake, imetishia na kufungua njia ya kurejeshwa kwa maazimio ya…
#HABARI: Aliyekuwa akitetea Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ummy Mwalimu, amezungumza mara baada y…
#HABARI: Aliyekuwa akitetea Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ummy Mwalimu, amezungumza mara baada ya jina lake kutorudi katika vikao vya kuchuja wagombe ubunge. Amewataka…
Mkahawa mpya wa Korea Kaskazini ambao ni raia wa Urusi pekee wanaoweza kuutumia
Eneo jipya la mapumziko katika ufuo wa bahari wa Korea Kaskazini limefunguliwa lakini kwa raia wa Urusi pekee.