Kigogo Mtibwa Sugar apigwa chini Bodi ya Ligi
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeliengua katika mchakato wa...
#HABARI: Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, amezikwa nyumbani kwao Bondo, Kaunti ya Siaya huku akitajwa kama kiongozi …
#HABARI: Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, amezikwa nyumbani kwao Bondo, Kaunti ya Siaya huku akitajwa kama kiongozi shupavu aliyepigania haki na Demokrasia. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Bw.Majalio Kyara, ame…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU) Bw.Majalio Kyara, amesema endapo atapata nafasi hiyo atahakikisha wakulima kwenye mashamba ya…
Urio wa CCM awaahidi neema wajasiriamali ndani ya sku 100
Amesema ndani ya siku 100 zijazo, atahakikisha kupitia ushirikiano na serikali, biashara zote...
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limewahakikishia wananchi wa mkoa huo Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Mkuu utakaofan…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limewahakikishia wananchi wa mkoa huo Amani na Utulivu siku ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, na kuwataka wajitokeze kwa wingi kutumia haki yao…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 19, 2025 – ZEC YAPOKEA KARATASI ZA KUPIGIA KURA
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 19, 2025 - ZEC YAPOKEA KARATASI ZA KUPIGIA KURA
Bakwata ya himiza amani, wananchi kupiga kura
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) mkoani Kilimanjaro, limewataka wananchi kutambua...
Nondo za Maaskofu kuhusu amani
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk Alex Malasusa, na Askofu wa...
Mwalimu: Mkinipeleka Ikulu, waziri mkuu wangu ni Kigaila
Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu, amesema endapo...
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha,Cecilia Paresso, amesema Dkt
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha,Cecilia Paresso, amesema Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekua chachu ya wanawake wengi kugombea nafasi za Uongozi kutokana na uongozi wake thabiti na…
Samia aahidi gridi ya maji ya Taifa
Amesema miradi ya maji safi na salama kupitia mpango huo wa gridi ya taifa itamaliza kabisa...
Masomo ya dini yatajwa msingi wa maadili, amani ya Taifa
Kamishina wa Elimu katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk Lyabwene Mtahabwa...
Wasira ataja sababu Watanzania kumrudisha Samia Ikulu
Akimzungumzia zaidi Rais Samia, Wasira amesema amesimamia miradi aliyoachiwa na mtangulizi...
Dk Nchimbi: Sitawaangusha Watanzania, mpigieni kura za kishindo Samia Oktoba 29
Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, amewaahidi...
#HABAI: Benki ya CRDB imeingia Ubia wa kimkakati wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 300 na Taasisi tatu za Kimataifa, il…
#HABAI: Benki ya CRDB imeingia Ubia wa kimkakati wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 300 na Taasisi tatu za Kimataifa, ili kukuza ujasiriamali, kuimarisha biashara na kuboresha makazi katika…
Simba yatoa dozi ugenini, Singida BS yabanwa
Mchezo huo ni wa mwanzo katika raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo timu...
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bethsaida wameomba msaada wa kuunganishiwa maji safi, kupata chakula cha kutosha…
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bethsaida wameomba msaada wa kuunganishiwa maji safi, kupata chakula cha kutosha na vifaa vya kufundishia masomo ya sayansi, kutokana na uhaba mkubwa…
Simba ya meneja yafanya ukatili Eswatini
SIMBA imetanguliza mguu mmoja kwenye hatua ya makundi baada ya kupata ushindi wa kishindo wa mabao 3-0 ugenini Eswatini dhidi ya Nsingizini Hotspurs katika mechi yao ya kwanza ya hatua…
Vifo vilivyoahirisha kampeni kata nne, uchaguzi kufanyika Desemba 30
Safari ya kuusaka udiwani kwa makada wanne wa vyama mbalimbali vya siasa katika uchaguzi mkuu...
Hamas yakanusha kushambulia vikosi vya Israel
Tawi la kijeshi la kundi la Hamas, leo Jumapili limekanusha kuhusika na mashambulizi dhidi ya vikosi vya Israel kusini mwa Ukanda wa Gaza.
IAEA : Urani ya Iran inashikiliwa maeneo yanayojulikana
Wakaguzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kudhibiti matumizi ya nishati ya nyuklia, IAEA hawaamini kuwa Iran imeficha kiasi kubwa cha urani iliyorutubishwa katika maeneo tofauti.
Raila alivyozikwa, aacha simulizi
Maelfu ya wananchi wa Kenya pamoja na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Kenya, wameungana...
Trump atishia kukatiza msaada kwa Colombia
Rais wa Marekani Donald Trump amesema leo Jumapili kuwa atakatiza ufadhili wa nchi yake kwa Colombia kwa sababu kiongozi wake Gustavo Petro hachukui hatua za kukabiliana na shughuli za dawa…
Mgombea udiwani CUF aahidi kumaliza kero ya maji Itezi
Mgombea udiwani wa Chama cha Wananchi (CUF) Kata ya Itezi, Erasto Juma ameonesha kusikitishwa...
Namelok Sokoine: CCM itatokomeza migogoro ya wakulima na wafugaji
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Namelok Sokoine, amewataka wananchi wa...
#HAARI: Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
#HAARI: Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali inaangalia uwezekano wa kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata Shaba…
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amezikwa leo Oktoba 19, 2025 katika makaburi ya familia huko Bondo
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amezikwa leo Oktoba 19, 2025 katika makaburi ya familia huko Bondo. Odinga ambaye alikuwa pia kiongozi wa upinzani nchini Kenya amezikwa pembeni…
Raila Odinga azikwa nyumbani Bondo baada ya ibada ya mazishi
Maelfu ya Wakenya wamejitokeza katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga mjini Bondo ambapo ibada ya mwisho ya kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga ilifanyika.
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Almas Kisabya, amesema ka…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Almas Kisabya, amesema kama wananchi wakimpigia kura za kutosha na kuiongoza nchi, katika Uchaguzi Mkuu wa…
Ameir wa Makini aahidi ruzuku kusaidia malezi ya watoto yatima
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Makini, Ameir Hassan Ameir amesema endapo...
Luhende aahidi umeme,kuboresha huduma za kijamii Bukene
Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Bukene, Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kwa tiketi ya Chama cha...
Samia atoa matumaini ununuzi wa mahindi
Agizo hilo la Samia limetokana na ombi la mgombea ubunge wa Sumbawanga, Mapinduzi Hilaly...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TABORA: OKTOBA 19, 2025 – WAZEE WALALAMIKIA KUNYANYAPALIWA KUPATA MATIBABU
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TABORA: OKTOBA 19, 2025 - WAZEE WALALAMIKIA KUNYANYAPALIWA KUPATA MATIBABU
TMA yatoa tahadhari wakulima, wafugaji Nyanda za Juu Kusini
Wakulima na wafugaji Nyanda za Juu Kusini, wameshauriwa kutumia vyema vipindi vya mvua za...
Raila Odinga ashushwa kaburini kwa heshima ya kijeshi
Viongozi mbali mbali walishuhudia maziko ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga yaliyosindikizwa kwa mizinga 17 na heshima kamili ya kijeshi.
#HABARI: Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe
#HABARI: Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa taasisi za dini kutambua wajibu wa kuendelea kusimama katika nafasi yake ya kuombea taifa, kufundisha imani ya…
Swing ya Gofu Afrika Mashariki ngoma nzito
MICHUANO ya Swing ya Gofu ya Afrika Mashariki imewafuta vumbi la macho washiriki kutoka Tanzania ambao walifanya vizuri katika hatua za awali, lakini wakajikuta wakimaliza nyuma ya wale waliofanya vizuri…
Benki ya CRDB imeingia ubia wa kimkakati wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 na taasisi tatu za kimataifa ili kukuza …
Benki ya CRDB imeingia ubia wa kimkakati wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 na taasisi tatu za kimataifa ili kukuza ujasiriamali, kuimarisha biashara na kuboresha makazi katika mataifa…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum mstaafu, Felista Njau, ameibuka mkoani Tabora na kuendesha kampeni kwa kutumia Baiskeli, akihama…
#HABARI: Mbunge wa Viti Maalum mstaafu, Felista Njau, ameibuka mkoani Tabora na kuendesha kampeni kwa kutumia Baiskeli, akihamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29 na kumpigia kura Mgombea…
Sh300 bilioni za CRDB zitakavyoleta mageuzi
Hati za makubaliano hayo zilisainiwa wakati wa jukwaa la wabia na wawekezaji lililofanyika...
Marema wawatembelea wagonjwa wa Kifua Kikuu, silikosesi
Mwenyekiti wa Marema, Elisha Mnyawi akizungumza wakati wa kukabidhi misaada hiyo leo Oktoba 19,...
Dk Nchimbi alivyopokewa kwao, akabidhiwa serikalini
Mwamba amefika nyumbani na tunatamba naye. Huyu ni mgombea mwenza, mtoto wetu, akafanye kazi...
#HABARI: Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imepokea karatasi za kupigia kura 717,557 kutoka kwa wakala wa uchapaji wa Serikali …
#HABARI: Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imepokea karatasi za kupigia kura 717,557 kutoka kwa wakala wa uchapaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa ajili ya uchaguzi Mkuu utakaofanyika…
Mgombea wa urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
Mgombea wa urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kununua mahindi kutoka kwa wakulima wa Mkoa wa Rukwa na maeneo…