đź”´KUMEKUCHA MICHEZO: TANZANIA KUTOLEWA CHAN…AGOSTI 25, 2025
đź”´KUMEKUCHA MICHEZO: TANZANIA KUTOLEWA CHAN…AGOSTI 25, 2025
Urusi yaituhumu Ukraine kwa kukishambulia kinu cha nyuklia
Maafisa wa Urusi walisema vituo kadhaa vya umeme na nishati vililengwa katika mashambulizi ya usiku kucha Jumamosi. Moto kwenye kinu cha nyuklia ulizimwa haraka bila majeruhi wowote kuripotiwa. Licha ya…
Iran: Ayatollah Ali Khamenei atoa wito kwa Wairan kuungana dhidi ya Marekani
Kiongozi Muadhamu wa Iran anaishutumu Marekani—mshirika wa Israel—kwa kutaka “kuitiisha” nchi yake na kuupindua utawala wake. Imechapishwa: 25/08/2025 – 07:04 Dakika 2 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Mashambulizi ya Ukraine huko Urusi yapandisha bei ya mafuta duniani
Mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yamesababisha moto mkubwa katika vituo muhimu vya mafuta, ikiwemo Ust-Luga na kiwanda cha Novoshakhtinsk, ambacho kinasafisha mafuta kwa ajili ya kuuza nje
Paris yamtaka balozi wa Marekani nchini Ufaransa kutengua kauli yake kuhusu chuki kwa Wayahudi
Charles Kushner ameitakiwa kufika Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa leo Jumatatu, Agosti 25, baada ya kueleza “wasiwasi wake mkubwa kuhusu kuongezeka kwa chuki dhidi ya Wayahudi nchini Ufaransa…
Mashambulizi ya Israel nchini Yemen yauwa watu sita
Msemaji wa Wizara ya Afya inayoendeshwa na Wahouthi amesema shambulizi la Israel liliwaua watu sita na kuwajeruhi 86. Mashambulizi hayo ndio ya karibuni kabisa katika zaidi ya mwaka mmoja wa…
Zelensky atoa wito wa mkutano na Putin kutafuta amani
Ukraine iliadhimisha Siku ya UhuruJumapili katika tukio lililohudhuriwa na maafisa wa Magharibi akiwemo balozi wa Marekani Keith Kellogg. Zelensky anasema lazima shinikizo liendelee kutolewa kwa Urusi ili kumaliza vita, kwa…
Kimbunga Kajiki chapiga kusini mwa China kikielekea Vietnam
Kiasi ya watu 20,000 walihamishwa kutoka maeneo yanayoweza kuwa hatari kabla ya dhoruba hiyo. Boti za wavuvi zilirejea bandarini na zaidi ya wafanyakazi 21,000 wakahamia maeneo salama. Kimbunga Kajiki kilitarajiwa…
Afrika Kusini inakusudia kuimarisha nguvu zake za kidiplomasia katika suala la Ukraine
Afrika Kusini inazidi kuimarisha jukumu lake kama mpatanishi katika suala la vita nchini Ukraine. Kama mwenyekiti wa G20 mwaka huu, nchi hii inatumia jukwaa hili ili sauti yake iweze kusikika.…
Mahakama DRC yaombwa Kabila anyongwe kwa tuhuma uhaini
Waendesha mashtaka wa kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamemuombea hukumu ya rais wa zamani wa nchi hiyo Joseph Kabila kwa tuhuma za uhaini na kushirikiana na kundi la…