Skip to content
  • Mon. Mar 2nd, 2026

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE

Latest Post

Yanga, Simba zashindwa kutambiana Zanzibar Yanga, Simba ngoma imelala Utendaji wamng’arisha DC Mbeya Rais Mwinyi ahimiza amani na mshikamano nchini Tanzania, Afrika itakavyoathirika na mzozo Mashariki ya Kati
MWANASPOTI

Yanga, Simba zashindwa kutambiana Zanzibar

March 1, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Yanga, Simba ngoma imelala

March 1, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Utendaji wamng’arisha DC Mbeya

March 1, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Rais Mwinyi ahimiza amani na mshikamano nchini

March 1, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Tanzania, Afrika itakavyoathirika na mzozo Mashariki ya Kati

March 1, 2026 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
Yanga, Simba zashindwa kutambiana Zanzibar
MWANASPOTI
Yanga, Simba zashindwa kutambiana Zanzibar
Yanga, Simba ngoma imelala
MWANANCHI
Yanga, Simba ngoma imelala
Utendaji wamng’arisha DC Mbeya
MWANANCHI
Utendaji wamng’arisha DC Mbeya
Rais Mwinyi ahimiza amani na mshikamano nchini
MWANANCHI
Rais Mwinyi ahimiza amani na mshikamano nchini
Uncategorized
Muhammad Ali kuzikwa Ijumaa ya wiki hii
Kesi ya Kabila nchini DRC: Vyama vya kiraia ninadai makumi ya mabilioni ya dola kama didia
Uncategorized
Kesi ya Kabila nchini DRC: Vyama vya kiraia ninadai makumi ya mabilioni ya dola kama didia
Watu kadhaa wajeruhiwa katika ndege ya Malaysia Airlines
Uncategorized
Watu kadhaa wajeruhiwa katika ndege ya Malaysia Airlines
Niger: Mvua na mafuriko yamesababisha vifo vya watu hamsini mwaka 2025
Uncategorized
Niger: Mvua na mafuriko yamesababisha vifo vya watu hamsini mwaka 2025
Yanga, Simba zashindwa kutambiana Zanzibar
MWANASPOTI
Yanga, Simba zashindwa kutambiana Zanzibar
Yanga, Simba ngoma imelala
MWANANCHI
Yanga, Simba ngoma imelala
Utendaji wamng’arisha DC Mbeya
MWANANCHI
Utendaji wamng’arisha DC Mbeya
Rais Mwinyi ahimiza amani na mshikamano nchini
MWANANCHI
Rais Mwinyi ahimiza amani na mshikamano nchini
ASTV TANZANIA

Shirikisho la Vyama vya Mahujaji Tanzania (TAHAFE) limelalamikia idadi ndogo ya Waislamu waliojitokeza kujiandikisha kwa ajili y…

February 5, 2026 mjombazecoder

Shirikisho la Vyama vya Mahujaji Tanzania (TAHAFE) limelalamikia idadi ndogo ya Waislamu waliojitokeza kujiandikisha kwa ajili ya ibada ya hija nchini Saudi Arabia. Hadi sasa, mahujaji 1,300 pekee ndio wamejiandikisha,…

MWANASPOTI

Zamu ya Kibu Denis kusepa Simba, Waarabu wamwaga mpunga

February 5, 2026 mjombazecoder

Muda wowote kuanzia sasa, Simba itakamilisha makubaliano ya kumuuza mshambuliaji Kibu Denis kwenda Al Nasr ya Libya.

DW SWAHILI

Je, maandamano ya Iran, yameleta kweli mabadiliko?

February 5, 2026 mjombazecoder

Kuchelewa kwa mabadiliko nchini Iran licha ya maandamano makubwa ya umma dhidi ya utawala wa Jamhuri ya Kiislamu kumeanza kuwakatisha tamaa wananchi, akiwamo mbunifu wa mitindo mwenye umri wa miaka…

TRT SWAHILI

Maseneta wa Marekani waonesha wasiwasi kuhusu migogoro ya DRC huku kukiwa na hatari ya njaa

February 5, 2026 mjombazecoder

Mkutano na Rais Tshisekedi nchini Marekani uliangazia Makubaliano ya Washington ya Amani na Ustawi, pamoja na mustakabali wa uhusiano wa pande mbili kati ya Marekani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

ASTV TANZANIA

Hali ya huzuni na simanzi imetanda miongoni mwa wakazi wa mtaa wa Kitwiru, Manispaa ya Iringa, kufuatia kifo cha mtoto Geofrey M…

February 5, 2026 mjombazecoder

Hali ya huzuni na simanzi imetanda miongoni mwa wakazi wa mtaa wa Kitwiru, Manispaa ya Iringa, kufuatia kifo cha mtoto Geofrey Malate (11), aliyefariki dunia baada ya kuzama katika Mto…

LTV ENGLISH NEWS

Dar es Salaam braces for the governance professionals forum

February 5, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: BENEFICIARIES of the Annual Company Secretaries Round Table are expected to walk away with insights on Environmental, Social and Governance (ESG) strategies for handling pressure in the…

TZSPORTS

PAMBA JIJI vs COASTAL UNION: Kocha wa Coastal Union Mohammed Muya amesema wachezaji wapo timamu na maandalizi yameenda vizuri ku…

February 5, 2026 mjombazecoder

PAMBA JIJI vs COASTAL UNION: Kocha wa Coastal Union Mohammed Muya amesema wachezaji wapo timamu na maandalizi yameenda vizuri kuelekea mchezo wa kesho. Kwa upande wake mchezaji wa klabu hiyo…

ASTV TANZANIA

Wananchi wa Wilaya ya Chato mkoani Geita wametakiwa kutunza na kuhifadhi mazao ya chakula waliyofanikiwa kuvuna katika msimu wa …

February 5, 2026 mjombazecoder

Wananchi wa Wilaya ya Chato mkoani Geita wametakiwa kutunza na kuhifadhi mazao ya chakula waliyofanikiwa kuvuna katika msimu wa kilimo, kufuatia kutokuwepo kwa mvua za uhakika katika maeneo mbalimbali ya…

MWANANCHI

Kibu Denis kutua Libya, Simba yavuta chao

February 5, 2026 mjombazecoder

Muda wowote kuanzia sasa, Simba itakamilisha makubaliano ya kumuuza mshambuliaji Kibu Denis...

ASTV TANZANIA

Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu ameweka wazi kuwa ofisi yake haijapokea barua yoyote wala kutoa kibali kwa mbunge yeyote kuhoji…

February 5, 2026 mjombazecoder

Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu ameweka wazi kuwa ofisi yake haijapokea barua yoyote wala kutoa kibali kwa mbunge yeyote kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).…

LTV ENGLISH NEWS

Tanzania, World Bank assess implementation of the food systems resilience

February 5, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: THE Medium-Term Review of the Tanzania Food Systems Resilience Program (TFSRP) which has reached the halfway point of its implementation period, is among the key issues being…

DW SWAHILI

Hofu yatanda baada ya M23 kuulenga uwanja wa ndege Kisangani

February 5, 2026 mjombazecoder

Wakazi wa mji wa Kisangani, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamelazimika kuyahama makaazi yao kutokana na hofu kwamba waasi wa M23 watashambulia tena baada ya kuulenga kwa mashambulizi ya droni…

LTV ENGLISH NEWS

Tanzania reduces deaths associated with antimicrobial resistance by 10 percent

February 5, 2026 mjombazecoder

DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has fast-tracked the implementation of the Second National Action Plan on Antimicrobial Resistance (NAP AMR 2023–2028), which aligns with the World Health Organization (WHO)…

HABARILEO

DCC Handeni yapitisha vipaumbele 2026/27

February 5, 2026 mjombazecoder

TANGA: KAMATI ya Ushauri ya Wilaya ya Handeni (DCC) imepitisha mapendekezo ya rasimu ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti ya Sh bilioni 35 kwa mwaka wa fedha 2026/27 ya Halmashauri…

LTV ENGLISH NEWS

Tanzania seeks communications firms’ support to attain Vision 2050 goals.

February 5, 2026 mjombazecoder

DODOMA: THE Minister of Finance, Mr Khamis Mussa Omar, has said that the Government recognizes the significant contribution of the telecommunications sector in promoting an inclusive economy through major reforms…

HABARILEO

Balozi Omar: Mageuzi ya kiuchumi ajenda ya muda mrefu

February 5, 2026 mjombazecoder

Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar, amesema kuwa mageuzi ya uchumi yataendelea kuwa ajenda ya muda mrefu yakilenga si tu kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi bali kuhakikisha ukuaji…

HABARILEO

Maeneo yanayofaa mradi umeme wa upepo, jua yatajwa

February 5, 2026 mjombazecoder

DODOMA; SERIKALI imesema kupitia Sera ya Taifa ya Nishati ya mwaka 2015, imeweka mkazo wa kuendeleza vyanzo vya nishati jadidifu hususan upepo na jua, ili kuimarisha upatikanaji wa umeme wa…

DW SWAHILI

Pakistan yakamilisha operesheni Balochistan na kuwauwa waasi

February 5, 2026 mjombazecoder

Jeshi la Pakistan limesema Alhamis limekamilisha operesheni ya wiki nzima dhidi ya waasi wanaotaka kujitenga huko Balochistan.

DW SWAHILI

Iran na Marekani kuzungumza kuhusu nyuklia Oman

February 5, 2026 mjombazecoder

Iran na Marekani watafanya mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran hapo Ijumaa nchini Oman.

DW SWAHILI

Iran na Marekani kukutana kwa mazungumzo ya Nyuklia

February 5, 2026 mjombazecoder

Iran na Marekani zimekubaliana kufanya mazungumzo ya nyuklia nchini Oman, huku mvutano kati yao ukizidi kutanuka kufuatia madai kuwa Iran iliwakamata na kuwaua waandamanaji waliokuwa wakiipinga serikali mwezi uliopita.

HABARILEO

Mmoja mbaroni kwa kulima bangi hifadhi ya Geita

February 5, 2026 mjombazecoder

GEITA: WAKALA wa Huduma za Misitu Nchini (TFS) wilaya ya Geita imefanikiwa kumkamata mtu mmoja (jina linahifadhiwa) kwa tuhuma za kuhusika na kilimo cha hekari 3.5 za bangi ndani ya…

DW SWAHILI

Xi Jinping azungumza na Trump na Putin

February 5, 2026 mjombazecoder

Rais wa China Xi Jinping jana amefanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa Marekani Donald Trump.

DW SWAHILI

Urusi yasema hatua zimepigwa kumaliza vita Ukraine

February 5, 2026 mjombazecoder

Ukraine na Urusi Alhamis zimeanza siku ya pili ya mazungumzo chini ya upatanishi wa Marekani huko Abu Dhabi.

DW SWAHILI

Merz akaribishwa Riyadh na mwanamfalme bin Salman

February 5, 2026 mjombazecoder

Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz, Alhamis alikaribishwa na Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman katika kasri la Al Yamamah huko Riyadh.

IDHAA YA DUNIA

Mtu mwenye utata na mahusiano yenye nguvu: Jeffrey Epstein ni nani?

February 5, 2026 mjombazecoder

Licha ya urafiki wake na watu maarufu, Epstein alijaribu kuweka maisha yake binafsi kuwa siri, akidaiwa kuepuka shughuli za kijamii na chakula cha jioni katika migahawa.

HABARILEO

Wananchi wataka kituo cha afya Kandaga kikamilike

February 5, 2026 mjombazecoder

KIGOMA: Mabalozi na wananchi wa kata ya Kandaga Halmashauri ya Wilaya Uvinza mkoani Kigoma wameiomba serikali kukamilisha mradi wa kituo cha afya katika kata hiyo ili waondokane na shida ya…

TUKO SWAHILI NEWS

N’Golo Kante: Kwa nini wachezaji bora duniani wanaondoka Saudi Arabia katikati ya drama la Ronaldo

February 5, 2026 mjombazecoder

N’Golo Kante kuhama Al-Ittihad ni wazi wachezaji wanaoondoka Saudi Arabia kwenda Ulaya. Wasiwasi upo kuhusu ushindani, changamoto za mtindo wa maisha.

ASTV TANZANIA

Miongoni mwa nyenzo muhimu unazoweza kuzitumia kujiajiri na kukuza biashara yako ni mikopo

February 5, 2026 mjombazecoder

Miongoni mwa nyenzo muhimu unazoweza kuzitumia kujiajiri na kukuza biashara yako ni mikopo. Je, unafahamu kwa kina taratibu za kupata mikopo inayotolewa na halmashauri kwa makundi maalum yakiwemo vijana, wanawake…

DW SWAHILI

Xi Jinping afanya mazugumzo na Trump, Putin

February 5, 2026 mjombazecoder

Rais wa China Xi Jinping amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Marekani Donald Trump pamoja na Vladimir Putin wa Urusi katika nyakati tofauti Jumatano. Wamejadili masuala kadhaa likiwemo kuimarisha…

TZSPORTS

KUTOKA ANGOLA: Mtangaza @mangasore_ akutana na mshangao jijini Luanda Angola hasa kwa upande wa usalama

February 5, 2026 mjombazecoder

KUTOKA ANGOLA: Mtangaza @mangasore_ akutana na mshangao jijini Luanda Angola hasa kwa upande wa usalama. Jana ilikuwa ni sikukuu ya mapanga nchini Angola. Simba SC ipo Angola kucheza dhidi ya…

MWANANCHI

Spika Zungu awakingia kifua Lugola na Shabiby, ataka uhuru na haki ya Bunge

February 5, 2026 mjombazecoder

Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu amesema hadi sasa hajapokea barua ya wito kutoka...

MWANANCHI

Apigwa risasi, aporwa Sh54 milioni, akitoka benki

February 5, 2026 mjombazecoder

Watu wanaodaiwa kuwa majambazi wamempiga risasi mkazi wa Tunduma, wilayani Momba mkoani Songwe,...

DW SWAHILI

Gen Z wa Marekani hawaungi mkono vyama vikuu vya kisiasa

February 5, 2026 mjombazecoder

Ripoti mpya iliotolewa na kampuni ya utafiti ya Gallup inaonyesha kuwa Vijana wa Kimarekani hawaviungi mkono vyama vikuu viwili vya siasa vya Democratic na Republican.

HABARILEO

Tanzania yaendelea kupiga hatua teknolojia kilimo

February 5, 2026 mjombazecoder

ARUSHA: TANZANIA imeendelea kupiga hatua kubwa katika matumizi ya teknolojia ya nyuklia kwenye sekta za afya, kilimo, uhifadhi wa chakula na maandalizi ya nishati mbadala, ikiwa ni sehemu ya mkakati…

TZSPORTS

PAMBA JIJI vs COASTAL UNION: Kocha wa Pamba Jiji Francis Baraza amesema maandalizi kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Coastal Uni…

February 5, 2026 mjombazecoder

PAMBA JIJI vs COASTAL UNION: Kocha wa Pamba Jiji Francis Baraza amesema maandalizi kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Coastal Union yamekamilika. Kocha huyo amesema anatarajia wachezaji kuonesha kile alichowaelekeza…

ASTV TANZANIA

🌻 INAKUJA HIVI KARIBUNI… 🌻

February 5, 2026 mjombazecoder

🌻 INAKUJA HIVI KARIBUNI… 🌻 Kitu safi, cha dhahabu na cha hali ya juu kinakuja sokoni. Mafuta ya Alizeti ya MERRIN FARM ✨ Daraja la Kwanza · Kukamua na Kukamua…

HABARILEO

DC Tandahimba ahimiza usajili wa wakazi

February 5, 2026 mjombazecoder

MTWARA: MKUU wa Wilaya ya Tandahimba, Michael Mntenjele amewaomba madiwani pamoja na viongozi wengine wilayani humo kuendelea kuwakumbusha wananchi na wageni umuhimu wa kujiandikisha kwenye daftari la wakazi ili kurahisisha…

DW SWAHILI

Taulo za Softcare zazua hofu na maswali Senegal

February 5, 2026 mjombazecoder

Tuhuma dhidi ya kampuni ya Softcare kuhusu matumizi ya malighafi zilizokwisha muda zimeibua hasira Senegal, zikichochea uchunguzi, maandamano na hofu ya usalama wa taulo za kike.

MWANASPOTI

Fountain yahamia Sheikh Amri Abeid

February 5, 2026 mjombazecoder

MABOSI wa Fountain Gate wamefikia uamuzi wa kuhamishia mechi zote za nyumbani za timu hiyo za Ligi Kuu na mashindano ya ndani kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, baada…

MWANANCHI

Safari ya mwisho ya mwanamuziki Ally Star

February 5, 2026 mjombazecoder

Tasnia ya muziki na burudani nchini Tanzania ilipata pigo kubwa Januari 3, 2026, baada ya...

MWANASPOTI

Wasaudia wainasa saini ya Joshua Mutale

February 5, 2026 mjombazecoder

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mzambia Joshua Mutale 'Budo', amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Al Adalah Club ya Saudi Arabia, baada ya mabwanyenye hao wanaoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kuonyesha nia…

MWANANCHI

Dhahabu na hifadhi fedha za kigeni: Inafaa kuuzwa

February 5, 2026 mjombazecoder

Maelezo haya ni nukta kumi kwa muhtasari, yakijumuisha ufafanuzi na maoni yangu binafsi...

TZSPORTS

ZANZIBAR KASKAZI CUP 2026: “Ni mchezo ambao umekuwa ukivutia sana soko la utalii hapa Zanzibar”

February 5, 2026 mjombazecoder

ZANZIBAR KASKAZI CUP 2026: “Ni mchezo ambao umekuwa ukivutia sana soko la utalii hapa Zanzibar” Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii Zanzibar, Aboud Suleiman Jumbe amesema mchezo wa vishada umekuwa…

IDHAA YA DUNIA

Nchi mbili za Afrika zenye ndege za kisasa za kivita za F-16

February 5, 2026 mjombazecoder

''F-16 bado inaonekana kama ndege iliyotangulia wakati wake, kama chombo cha baadaye kilichobaki katika zama za sasa'', anasema Robinson, mtaalamu wa masuala ya anga katika Jumuiya ya Kifalme ya Anga…

MWANANCHI

Ibenge aitolea macho Union Maniema

February 5, 2026 mjombazecoder

Zikiwa zimesalia dakika 180 kwa Azam FC kusaka tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe...

MWANASPOTI

Mmiliki Mbeya Kwanza apiga mkwara

February 5, 2026 mjombazecoder

Soma hapa

TUKO SWAHILI NEWS

Mbunge wa UDA aliyewataka polisi kuwapiga risasi waandamanaji aomba radhi: “Nimeaibika”

February 5, 2026 mjombazecoder

Mbunge wa Belgut Nelson Koech anaomba radhi bila masharti kwa matamshi ya awali kuhusu vitendo vya polisi, akikiri kwamba vilikuwa vibaya na vinaendeshwa na hisia.

MWANASPOTI

Mashujaa yachoka unyonge Ligi Kuu, yaivimbia Prisons

February 5, 2026 mjombazecoder

MATOKEO ya kukosa ushindi katika mechi tano mfululizo yameonekana kuwaumiza Mashujaa FC, huku benchi la ufundi likitoa msimamo kwa nyota wake na kuahidi kurejesha kasi waliyoanza nayo msimu huu.

TUKO SWAHILI NEWS

Moses Muthama: Mwanawe Seneta wa Machakos Agnes Muthama afariki dunia

February 5, 2026 mjombazecoder

Moses Nduya alikuwa mtoto pekee wa Kavindu na Seneta wa zamani wa Machakos Johnson Muthama, ambaye pia aliwahi kuwa mwenyekiti wa Muungano wa Kidemokrasia.

TZSPORTS

VIWANJANI: “Wakati mwingine ni kuwa na wakati mbaya kazini”

February 5, 2026 mjombazecoder

VIWANJANI: “Wakati mwingine ni kuwa na wakati mbaya kazini” Mchambuzi wa soka mwenye taaluma ya ukocha Michael Hyera amesema kupanda kwa viwango vya uchezaji miongoni mwa mabeki wa Yanga SC…

Posts pagination

1 … 94 95 96 … 646

Recent Posts

  • Yanga, Simba zashindwa kutambiana Zanzibar
  • Yanga, Simba ngoma imelala
  • Utendaji wamng’arisha DC Mbeya
  • Rais Mwinyi ahimiza amani na mshikamano nchini
  • Tanzania, Afrika itakavyoathirika na mzozo Mashariki ya Kati

Recent Comments

No comments to show.

Archives

  • March 2026
  • February 2026
  • January 2026
  • December 2025
  • November 2025
  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • August 2024
  • July 2024
  • June 2016

Categories

  • ASTV TANZANIA
  • CRI SWAHILI
  • DW SWAHILI
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • HABARILEO
  • IDHAA YA DUNIA
  • ITVBONGO
  • LTV ENGLISH NEWS
  • MAGAZETI
  • MWANANCHI
  • MWANASPOTI
  • RFI SWAHILI
  • TRT SWAHILI
  • TUKO SWAHILI NEWS
  • TZSPORTS
  • Uncategorized

You missed

MWANASPOTI

Yanga, Simba zashindwa kutambiana Zanzibar

March 1, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Yanga, Simba ngoma imelala

March 1, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Utendaji wamng’arisha DC Mbeya

March 1, 2026 mjombazecoder
MWANANCHI

Rais Mwinyi ahimiza amani na mshikamano nchini

March 1, 2026 mjombazecoder

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • LIGI KUU TANZANIA LIVE
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS