Abu Hatab wa Ghaza asimulia alivyoshiriki kuzika Wapalestina 18,000 waliouliwa kinyama na Israel
Mzikamaiti Yousef Abu Hatab mkazi wa Ukanda wa Ghaza na mmoja wa mashuhuda wa moja ya majanga makubwa zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Palestina, amesema ameshiriki kuzika karibu miili…
Yemen: Waasi na serikali kubadilishana wafungwa karibu 3,000
Waasi wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran na serikali ya Yemen inayotambuliwa kimataifa wamekubaliana kubadilishana wafungwa karibu 3,000 kutoka pande zote mbili, maafisa kutoka pande zote mbili wametangaza leo Jumanne,…
Baraza la Usalama la UN laongeza muda wa ujumbe wa AUSSOM nchini Somalia
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hii leo limepitisha kwa kauli moja azimio la kuongeza muda wa Ujumbe wa Umoja wa Afrika wa Msaada na Kuweka utulivu nchini Somalia…
Kutoka plastiki hadi nishati safi: Ubunifu wa vijana wa Tanzania katika kulinda mazingira
Upatikanaji wa nishati safi ya kupikia ni miongoni mwa vipaumbele vya Umoja wa Mataifa kupitia Lengo namba 7 la Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) linalohamasisha matumizi ya nishati safi. Nchini…
Ukraine: Mashambulizi ya anga ya usiku yaendelea kuwa jinamizi kwa aria
Mashambulizi mapya ya anga yaliyofanywa usiku katika siku za hivi karibuni yamesababisha vifo vya raia kadhaa, akiwemo mtoto, na kuharibu wa miundombinu muhimu katika mikoa kadhaa ya Ukraine yamesema leo…
Baraza la Usalama lajadili mvutano kati ya Marekani na Venezuela
Afisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya kisiasa na ujenzi wa amani amelionya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu ongezeko kubwa la mvutano kati ya Marekani…
Burundi: Kamati yabaini ulipizaji kisasi kwa mawakili walioshirikiana na UN
Kamati ya Umoja wa Mataifa Yakupinga Mateso (CAT) leo i huko Geneva, Uswisi, imebaini kuwa Burundi imewalipiza kisasi mawakili, ikiwemo kuwanyang’anya leseni za uwakili na kutaifisha mali zao, kwa sababu…
Myanmar: Türk aonya dhidi ya vurugu na vitisho kabla ya uchaguzi unaodhibitiwa na jeshi
Myanmar inashuhudia kuongezeka kwa vurugu, ukandamizaji na vitisho kuelekea uchaguzi unaodhibitiwa na jeshi unaotarajiwa kufanyika tarehe 28 Desemba, 2025 imesema taarifa ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za…
Muhtasari: DRC njaa, Burundi ulipizaji kisasi na Gaza athari za vita kwa watoto
Umoja wa Mataifa waonya kuhusu hali mbaya ya chakula Mashariki mwa DRC, ulipizaji kisasiwalioshirikiana na ofisi ya haki za binadamu Burundi na Gaza watoto kuendelea kubeba gharama za athari za…
Vence adai Ulaya itakuwa hatari kwa Marekani, kwa kuwa eti itatawaliwa na Waislamu
Makamu wa Rais wa Marekani J.D. Vance amedai kuwa, Ulaya Magharibi yenye silaha za nyuklia inaweza kuwa hatari kubwa ya kiusalama kwa Marekani ikiwa utambulisho wa kitaifa wa nchi zake…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55….DISEMBA 23, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....DISEMBA 23, 2025
Kuzidi kuwa tata vita vya Sudan; indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu kupanuka wigo wake
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa sanjari na kusisitiza umuhimu wa kusitisha vita nchini Sudan, ameonya kuhusu utambulisho wake tata na athari zake zinazopanuka kwa nchi jirani na eneo…
“Sina rafiki mwenye miaka 27, marafiki zangu wana miaka 60 hadi 70”- @Nathan_Kimaro, Mjasiriamali
"Sina rafiki mwenye miaka 27, marafiki zangu wana miaka 60 hadi 70"- @Nathan_Kimaro, Mjasiriamali #Clouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
Changamoto za vikwazo visivyo vya kikodi pamoja na miundombinu duni katika baadhi ya mipaka ya Tanzania zimetajwa kuchangia onge…
Changamoto za vikwazo visivyo vya kikodi pamoja na miundombinu duni katika baadhi ya mipaka ya Tanzania zimetajwa kuchangia ongezeko la foleni, hali inayosababisha athari hasi kwa wafanyabiashara na shughuli za…
Marekani: Donald Trump amtishia Nicolas Maduro na kumwonya Rais wa Colombia Gustavo Petro
Donald Trump amemtishia tena Rais wa Venezuela Nicolas Maduro wakati wa mkutano na waandishi wa habari huko Florida siku ya Jumatatu, Desemba 22. Rais wa Marekani pia amemwonya Rais wa…
“Kijana yoyote mwenye umri kuanzia miaka 18-30 akianzisha biashara Tanzania asilipe kodi
"Kijana yoyote mwenye umri kuanzia miaka 18-30 akianzisha biashara Tanzania asilipe kodi. Asamehewe kodi"- @Nathan_Kimaro, Mjasiriamali #clouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
Pakistan kumuuzia silaha Haftar wa Libya za dola bilioni 4 zikiwemo ndege za kivita za China
Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa, Pakistan imesaini makubaliano yenye thamani ya zaidi ya dola bilioni 4 ya kuuza zana za kijeshi, ikiwa ni pamoja na ndege za kivita…
Gamondi: Hali ya hewa changamoto
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Miguel Gamondi amekiri hali ya hewa ya baridi nchini Morocco ni changamoto kwa baadhi ya wachezaji wa kikosi hicho.
#HABARI: Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edwa…
#HABARI: Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo kumshikilia mkandarasi anayejenga barabara ya Msongola mpaka atakapotoa…
Madaktari bingwa nchini wameanzisha kambi ya siku mbili ya huduma za matibabu katika Hospitali ya Direct Aid, Tabata, Dar es Sal…
Madaktari bingwa nchini wameanzisha kambi ya siku mbili ya huduma za matibabu katika Hospitali ya Direct Aid, Tabata, Dar es Salaam, ikiwa na lengo la kutoa huduma kwa wananchi mbalimbali…
Salamu za Fei Toto AFCON
KIUNGO wa timu ya taifa ya Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ana imani kikosi hicho kitafikia malengo katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco.
Sambamba na kuanza tena chokochoko za Trump, EU yasema iko pamoja na Denmark, Greenland
Umoja wa Ulaya umeonyesha mshikamano na Denmark na eneo la Greenland kufuatia tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump la kuteua mjumbe wake maalumu katika eneo hilo.
Tanzania kuikabili Nigeria kwenye AFCON mechi yao ya kwanza
Mechi ya mapema kabisa ni Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo dhidi ya Benin majira ya saba na nusu kwa majira ya Morocco. Baadaye jioni,Tanzania itamenyana na Nigeria kwa mchezo unaotazamiwa…
Maafisa wa usafirishaji, maarufu kama boda boda, wametakiwa kuacha tabia hatarishi zinazoweza kusababisha ajali barabarani, ikiw…
Maafisa wa usafirishaji, maarufu kama boda boda, wametakiwa kuacha tabia hatarishi zinazoweza kusababisha ajali barabarani, ikiwemo kupandisha abiria zaidi ya mmoja kwenye pikipiki maarufu mshikaki, hali inayowaweka abiria katika hatari…
Matukio ya udhalilishaji yaongezeka Novemba, 2025
Matukio ya udhalilishaji yameongezeka kwa asilimia 8.1 kufikia 107 kutoka 99 yaliyoripotiwa...
Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani limefanikiwa kuwafungia leseni madereva 11 wa mabasi ya abiria kufuatia u…
Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani limefanikiwa kuwafungia leseni madereva 11 wa mabasi ya abiria kufuatia ukiukwaji wa sheria za barabarani, katika operesheni ya kitaifa ya kukagua magari…
China yazitolea wito Cambodia na Thailand kusitisha mapigano
Thailand na Cambodia zimekuwa zikishambuliana kwenye mpaka wao wa nchi kavu baada ya makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyoanzishwa kwa mara ya kwanza na Malaysia na Rais wa Marekani Donald Trump…
RC Babu atoa angalizo kwa viongozi wa dini
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amewahakikishia wananchi na wageni wanaotarajiwa...
Dk Mkumbukwa: Muungano wa Tanzania ni wa kipekee duniani
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), Dk Abdallah Mkumbukwa, amesema Muungano wa Tanzania...
Krismasi: Imani, utamaduni, mageuzi ya Sikukuu ya kimataifa
Krismasi ni sikukuu ya Kikristo ikiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo, lakini leo imekua zaidi ya dini. Makala hii inaeleza asili yake, mabadiliko ya kihistoria, mila za Kikristo na ilivyogeuka kuwa…
Mkuu wa Chuo cha Theolojia St. Marks afariki dunia ajalini
Taarifa imeeleza Desemba 25, 2025, Dayosisi ya Dar es Salaam itaandaa mwili wa marehemu na...
KILA LA HERI TAIFA STARS
KILA LA HERI TAIFA STARS Leo, Taifa Stars itakuwa dimbani ikicheza mechi yake ya kwanza AFCON 2025, dhidi ya Super Eagles, Nigeria, Mechi hii itapigwa kuanzia saa 2:30 usiku na…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55….DISEMBA 23, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DISEMBA 23, 2025
Marekani yasema Maduro lazima aondoke madarakani
Akizungumza na televisheni ya Marekani ya Fox News, Noem amesema utawala wa Trump sio tu kwamba umezikamata meli hizo, lakini pia unatuma ujumbe kote ulimwenguni na kwa hivyo anapaswa kuondoka.
Wahariri wahimizwa kulinda amani na masilahi ya Taifa
Mwanadiplomasia Mwandamizi, Omar Mjenga, amewataka wahariri wa vyombo vya habari kuwa chimbuko...
Upelelezi bado shtaka la mauaji ya Rhoda wilayani Serengeti
Wakili wa Serikali Joyce Matindwa, ameieleza mahakama kuwa shauri hilo limefikishwa mahakamani...
Meya Zanzibar awauma sikio madiwani
Meya wa Jiji la Zanzibar, Kamal Abdulsatar Haji, amesema mafanikio ya Baraza la Jiji...
Urusi yashambulia vituo vya nishati Kyiv
Mashambulizi hayo ya Urusi nchini Ukraine yameifanya nchi jirani, Poland, ambayo ni mwanachama wa NATO kukimbilia kuilinda anga yake.
Askofu Bagonza: Mungu ndiye tumaini la kweli kwa kanisa na Taifa
Askofu huyo amesema fedha, silaha, vyeo, umaarufu na mitandao ya mahusiano havijaweza kutoa...
Sh42 bilioni kujenga mfumo wa usafirishaji umeme Unguja
Shirika la Umeme Zanzibar (Zeco) limetiliana saini na Kampuni ya Central Electricals...
Tanzania kuvunja mwiko wa Nigeria
Timu ya taifa ya soka ya Tanzania, maarufu kama ‘Taifa Stars’ inashuka dimbani Disemba 23, 2025 kumenyana na ‘Super Eagles’ ya Nigeria kwenye michuano ya AFCON 2025, ikiwa na rekodi…
Foleni katika maeneo ya mipakani imekuwa changamoto ya muda mrefu, hasa mwishoni mwa mwaka, ambapo magari ya mizigo hukwama kwa …
Foleni katika maeneo ya mipakani imekuwa changamoto ya muda mrefu, hasa mwishoni mwa mwaka, ambapo magari ya mizigo hukwama kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukaguzi wa mizigo…
Dosari zamweka huru aliyedaiwa kusafirisha kilo 172.3 za bangi
Mshtakiwa alikamatwa kwenye nyumba ya kulala wageni na alidaiwa kuwaonyesha askari magunia 14...
Zelensky: Urusi huenda ikatushambualia wakati wa Krismasi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema anatarajia Urusi itafanya mashambulizi makubwa nchini mwake wakati wa siku kuu ya Krismasi. Ameyasema hayo wakati Moscow ikivurumisha makombora yake hii leo katika miundomiundu.
Tanzania, Morocco agree to strengthen trade, investment cooperation
RABAT: THE Tanzanian Ambassador to Morocco, Ali Mwadini, has met with the President of the Rabat Chamber of Commerce, Industry and Services, Hassan Sakhi, to discuss and agree on strengthening…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55….DISEMBA 23, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DISEMBA 23, 2025
Polisi Mkoa wa njombe wamekamata watu 98 kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji mauaji, Wizi na makosa ya usalama barab…
Polisi Mkoa wa njombe wamekamata watu 98 kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji mauaji, Wizi na makosa ya usalama barabarani. Kamanda wa polisi mkoa wa njombe, Kamishna msaidizi wa…
Waziri Mkuu Sudan aitaka UN kusimama upande sahihi wa amani
Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris, amelitolea mwito Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kusimama “upande sahihi wa historia” kwa kuunga mkono mpango wake wa kusitisha vita vinavyoendelea nchini…
#MEZAHURU: Mtoko wa vijana umri wa miaka 13 – 20 ni nini muhimu kuzingatia ili wawe salama
#MEZAHURU: Mtoko wa vijana umri wa miaka 13 – 20 ni nini muhimu kuzingatia ili wawe salama