Guardiola apaza sauti tena kuhusu mauaji ya kimbari ya Ghaza na dhulma inayotawala duniani
Kocha wa timu ya soka ya Manchester City, Pep Guardiola, amesema mauaji ya watu wasio na hatia duniani kote yanamuathiri sana na amewahimiza walimwengu wasinyamazie kimya dhulma zinazofanywa.
ACT-Wazalendo yalaani mpango wa ZEC wa kuchoma moto nyaraka za uchaguzi wa Zanzibar
Chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimelaani mpango wa tume ya Uchaguzi wa Zanzibar (ZEC) wa kuchoma na kuteketeza nyaraka za Uchaguzi wa Oktoba 2025, uliofanyika visiwani humo.
Wabeba silaha waua watu wanaokaribia 200 kwenye majimbo ya Kwara na Katsina, Nigeria
Watu wenye silaha wamewaua karibu watu 200 magharibi na kaskazini mwa Nigeria. Hayo yameelezwa na maafisa wa serikali na wakazi wa maeneo hayo huku manusura wakiwazika wenzao waliouawa na askari…
Russia: Mkataba wa nyuklia wa New START baina yetu na US unamalizika leo Feb. 5
Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa, Mkataba wa New START, unaoweka mipaka ya silaha za nyuklia kwa madola mawili makubwa zaidi duniani yanayomiliki silaha hizo, yaani nchi…
Mama asimulia kifo cha mwanawe aliyelazimishwa kula mahindi na pilipili, akiri alikuwa na hatia
James Maina na Daniel Nudhu walipatikana wamekufa katika shamba la mahindi, inadaiwa baada ya kulazimishwa kula mahindi mabichi na pilipili. Familia zinatafuta haki.
Libya: Mauaji ya Saif al-Islam, yanapunguza uwezekano wa ukoo wa Gaddafi kurejea madarakani
Karibu miaka kumi na tano baada ya kifo cha Muammar Gaddafi, aliyeuawa huko Sirte mnamo mwaka 2011, kuuawa kwa mwanawe Saif al-Islam siku ya Jumanne, Februari 2, huko Zintan, kaskazini…
Tafrani Azimio: Baadhi ya vyama vyawakataa viongozi wapya walioidhinishwa na Uhuru
Chama cha Muungano cha Azimio la Umoja One Kenya kinakabiliwa na msukosuko huku vyama washirika vikikataa mabadiliko ya uongozi, vikiviita vya uongo na visivyo wazi.
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 5, 2026 kwenye
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 5, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Mazishi ya Raila Odinga: Sifuna ana machungu jeneza la kinara wa ODM halikupambwa rangi za chungwa
Seneta Edwin Sifuna alifichua kukatishwa tamaa kuhusu mazishi ya Raila Odinga, kutengwa kwa ODM, na masuala ya katiba katika kuteua uongozi wa mpito wa chama.
Wakimbizi wa ndani DRC: OCHA yaonya kuhusu mgogoro wa kutisha wa kibinadamu
Hali ya kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imefikia viwango vikubwa. Kulingana na ripoti ya hivi karibuni kutoka Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya…
DJ Krowbar azidiwa na uzito wa msiba wakati wa misa ya wafu ya mke wake Joyce: “Sikulala”
DJ Krowbar alimsifu marehemu mkewe Joyce Wanjiru Karumba kwa machozi, akikumbuka kumbukumbu nzuri na kuomba maombi kwa ajili ya familia yake na watoto wake.
Trump anaitaka Marekani kusonga mbele baada ya sakata la Epstein..lakini huenda isiwe rahisi
Katika miezi miwili iliyopita, Wizara ya Sheria ya Marekani imetoa mamilioni ya nyaraka zinazohusiana na uchunguzi wake wa biashara ya ngono dhidi ya Jeffrey Epstein. Sasa, rais anataka taifa liendelee…
Magazeti ya Kenya: Uhusiano kati ya tajiri kutoka Zimbabwe Wicknell Chivayo na Ruto watia wasiwasi
Wasiwasi mpya umeibuka kuhusu uwepo unaoongezeka wa mfanyabiashara mtata wa Zimbabwe Wicknell Chivayo katika duru za nguvu za Kenya kabla ya uchaguzi wa 2027.
MIAKA 49 YA CCM: Mafanikio, mageuzi na changamoto za kizazi kipya
Chama cha Mapinduzi (CCM), leo Februari 5, 2026 kinaadhimisha miaka 49 tangu kuanzishwa kwake...
Mazungumzo kuhusu Ukraine yaendelea Abu Dhabi
Wapatanishi wa Ukraine na Urusi wameanza duru ya pili ya mazungumzo yanayosimamiwa na Marekani Jumatano huko Abu Dhabi, wakiendeleza juhudi za kumaliza mzozo mkubwa zaidi barani Ulaya tangu Vita vya…
Ukraine yaridhishwa na mazungumzo na Urusi na Marekani
Ukraine imesema imeridhishwa na jinsi mazungumzo kuhusu vita kati yake na Urusi yanavyokwenda huko Abu Dhabi. Mazungumzo hayo yaliyoanza jana yanaendelea tena leo huku Ukraine ikipania kusisitiza dhamana ya usalama.
Iran na Marekani kufanya mazungumzo Ijumaa Oman
Iran na Marekani zitafanya mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran nchini Oman siku ya Ijumaa. Mazungumzoi hayo yalikuwa yafanyike nchini Uturuki.
M23 yadai iiliushambulia uwanja wa ndege wa Kisangani
Kundi la waasi wa M23 limedai kuhusika na shambulizi la ndege zisizo na rubani lililolenga uwanja wa ndege muhimu mjini Kisangani kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Kutoka ‘Hustler Nation’ hadi Singapore ya Afrika ni ndoto au siasa za Kenya
Makamu wa Rais wa zamani Kalonzo Musyoka amepuuzilia mbali ulinganisho wa Singapore kama mpango mwingine wa serikali ambao haukufanikiwa, akiufananisha na Mfuko wa 'Hustler', ambao umekabiliwa na ukosoaji juu ya…
Araghchi: Iran, US kufanya mazungumzo ya nyuklia Muscat
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ametangaza kwamba mazungumzo ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani yanatazamiwa kufanyika katika mji mkuu wa Oman, Muscat kesho…
Waziri wa Usalama wa Iran aonya Magharibi kuhusu madhara ya kudai IRGC ni kundi la kigaidi
Waziri wa Usalama wa Iran, Esmail Khatib, ameonya kuwa nchi za Magharibi zitakumbana na madhara ya hatua yao ya kulitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kuwa eti…
Wasomi na wanafikra duniani watangaza kumuunga mkono Ayatullah Khamenei
Kundi la wasomi, wanafalsafa na wanaharakati kutoka sehemu mbalimbali za dunia limetangaza kumuunga mkono Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, pamoja na juhudi zake za ujasiri na…
Mkutano wa Tanzania wasisitiza kutumia mashine katika kilimo barani Afrika
Harakati za zama za sasa za kutumia mashine kwenye sekta ya kilimo barani Afrika lazima zitofautiane na harakati za zamani ili hatua hizo ziwe endelevu. Hayo yamesemwa na Beth Bechdol,…
Vita vya kieneo; maana yake na jinsi vinavyotokea
Kwa mujibu wa ripoti ya Pars Today, kutokana na uchochezi na vitisho vya mara kwa mara vya Marekani dhidi ya Iran, Tehran imeonya kwamba shambulio lolote la kijeshi kutoka Marekani dhidi…
Alkhamisi, tarehe 05 Februari, 2026
Leo ni Alkhamisi tarehe 16 Sha'bani 1447 Hijria, sawa na Februari 5 mwaka 2026.
Erdogan amtembelea Al-Sisi kusaini mikataba ya ushirikiano
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amekutana na mwenzake wa Misri Abdel Fattah al-Sisi mjini Cairo Jumatano. Ametia saini mikataba mipya ya ushirikiano na kuashiria umoja wa pande mbili kuhusu…
Faili za Epstein: Barua pepe yathibitisha picha ya aliyekuwa mwanamfalme na Virginia Giuffre ni ya kweli
Mwanamfalme huyo wa zamani, ambaye amekuwa akikamusha kufanya makosa yoyote, hapo awali alisema kuwa picha hiyo imefanyiwa ukarabati na kudai kuwa hajawahi kukutana na Giuffre.
Kansela Merz afanya ziara ya kwanza ya Ghuba
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz ameanza ziara yake ya kwanza ya eneo la Ghuba itakayompeleka Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi: Je, Ronaldo kuondoka Al-Nassr?
Cristiano Ronaldo kuomba kuondoka Al-Nassr mwezi Juni, Elliot Anderson wa Nottingham Forest anayeongoza orodha ya wachezaji wanaolengwa na Manchester United, Atletico Madrid wanapanga kumsajili Cristian Romero wa Tottenham.
05.02.2026
Iran na Marekani zimekubaliana kufanya mazungumzo ya nyuklia kesho Ijumaa nchini Oman+++Hasira na maswali mengi yanaendelea kuibuka nchini Senegal, kufuatia tuhuma nzito dhidi ya kampuni ya Kichina ya Softcare, inayotengeneza…
05.02.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Ukraine yasema mazungumzo na Urusi na Marekani yanayoendelea Abu Dhabi ni ya tija. Iran na Marekani kufanya mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia nchini Oman. Na Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz…
Tunataka sauti yako! – Taarifa Live & Programs
Tunataka sauti yako! - Taarifa | NHK WORLD-JAPAN Live & Programs
#CarabaoCup Game over
#CarabaoCup Game over... City wanaifuata Arsenal fainali...patamu hapo .!!! FT: Man City 3-1 Newcastle United (Agg: 5-1) Burudani zinaendelea LIVE #AzamSportsHD #EFL #KombeLaCarabao #ManCityNewcastle
MAPUMZIKO | #CarabaoCup
MAPUMZIKO | #CarabaoCup HT: Man City 3-0 Newcastle United (Agg: 5-0) LIVE #AzamSports1HD #EFL #KombeLaCarabao #ManCityNewcastle
#DFBPokal Kipindi cha pili kimeanza…bado hakuna bao…Je, nani anakwenda nusu fainali!!?
#DFBPokal Kipindi cha pili kimeanza...bado hakuna bao...Je, nani anakwenda nusu fainali!!? 47': Holstiel Kiel 0-0 Stuttgart LIVE #AzamSports2HD #GermanyCup #KielStuttgart #KSVVfB
BSS MEDIA TOUR | Jaji mpya wa #BSS msimu wa 16, @coy_mzungu amemshukuru Jaji Mkuu na Mkurugenzi wa Benchmark 360, @msritapaulsen…
BSS MEDIA TOUR | Jaji mpya wa #BSS msimu wa 16, @coy_mzungu amemshukuru Jaji Mkuu na Mkurugenzi wa Benchmark 360, @msritapaulsen kwa kuwapa nafasi vijana wenye vipaji vya kuchekesha kuonesha…
BSS MEDIA TOUR | Ujumbe kutoka AzamTV umewasilishwa vyema na Mkuu wa Chaneli ya Sinema Zetu, @sophiamgaz ambaye anakuambia kaa m…
BSS MEDIA TOUR | Ujumbe kutoka AzamTV umewasilishwa vyema na Mkuu wa Chaneli ya Sinema Zetu, @sophiamgaz ambaye anakuambia kaa mkao wa kufurahia burudani halisi. #BSS #BongoStarSearch (Feed generated with…
BSS MEDIA TOUR | Tulianza na makofi ya kumpongeza jaji mpya wa @bongostarsearch atakayeshughulika na eneo la komedi (ucheshi) kw…
BSS MEDIA TOUR | Tulianza na makofi ya kumpongeza jaji mpya wa @bongostarsearch atakayeshughulika na eneo la komedi (ucheshi) kwenye usili unaotarajia kuanza Februari 07 na 08 jijini Mwanza. #BSSNextLevelRevolution…
Sasa hivi anataka kuolewa na Ilbay
Sasa hivi anataka kuolewa na Ilbay (Feed generated with FetchRSS)
Wataalamu wa elimu nchini wameshauri kuzingatiwa kwa stadi zote za msingi za kujifunza lugha hususani kuzungumza na kusikiliza i…
Wataalamu wa elimu nchini wameshauri kuzingatiwa kwa stadi zote za msingi za kujifunza lugha hususani kuzungumza na kusikiliza ili kuongeza na kuimarisha ufaulu wa wanafunzi katika masomo hayo. Taarifa ifuatayo…
Mke wa Rais wa Uturuki amekutana na mwenzake wa Misri jijini Cairo.
Emine Erdogan amesema kuwa mazungumzo yao yalilenga masuala ya mshikamano wa kijamii yanayohusu ubinadamu kwa ujumla, huku akieleza matumaini kwamba ziara hiyo itaimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili katika nyanja…
Sanaa na ubunifu inaendelea kukua nchini huku ubunifu wa mavazi kwa kutumia vitu vilivyotupwa ukianza kushika asi
Sanaa na ubunifu inaendelea kukua nchini huku ubunifu wa mavazi kwa kutumia vitu vilivyotupwa ukianza kushika asi. Mwenzetu Esterbella Malisa amewatembelea wasanii na wabunifu wa mavazi yatokanayo na maboksi na…
Edwin Sifuna aeleza hasira aliyohisi kuhusu waliochaguliwa kuuleta mwili wa Raila kutoka India
Edwin Sifuna anakumbuka siku waliyokwenda kuchukua mwili wa Raila Odinga na kuhoji kwa nini ujumbe huo ulikuwa wa serikali na sio chama chake cha siasa.
CAFCC: Afisa Habari wa Singida BS, Hussein Massanza anasema kikosi chao kimeanza mazoezi visiwani Zanzibar wakijiandaa kuikaribi…
CAFCC: Afisa Habari wa Singida BS, Hussein Massanza anasema kikosi chao kimeanza mazoezi visiwani Zanzibar wakijiandaa kuikaribisha CR Belouizdad Jumapili ya Februari 8, 2026. #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika
CAFCC: “Morali yetu imekuwa juu sana”
CAFCC: “Morali yetu imekuwa juu sana” Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amebainisha namna walivyojipanga kuchukua alama zote sita kutoka kwa Nairobi United ambapo jambo hilo limetimia kikamilifu. Ibwe…
Serikali imeagiza Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri Ardhini (LATRA) kuwachukulia hatua kali za kisheria madereva na makondakta wa d…
Serikali imeagiza Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri Ardhini (LATRA) kuwachukulia hatua kali za kisheria madereva na makondakta wa daladala watakaobainika kuwanyanyasa wanafunzi huku wazazi na walezi wakipongeza hatua hiyo. Tumie…
Nani anapaswa kuwajibika kwa madhara yanayosababishwa na matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto?
Katika nchi mbalimbali kuanzia Uturuki hadi Australia, mabadiliko mapya ya kisheria yanaonyesha mtazamo wa pamoja kwamba uangalizi wa wazazi pekee hauwezi kuzuia madhara ya mitandao ya kijamii kwa watoto.
Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kimeweka mkazo mkubwa katika suala la elimu na uwajibikaji wa viongozi …
Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kimeweka mkazo mkubwa katika suala la elimu na uwajibikaji wa viongozi kama nguzo kuu za maendeleo ya jamii, wakati wa maadhimisho…
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuleta neema ya maendeleo kwa wananchi wa mkoa wa Arusha kwa kuanza utekelezaji wa mradi wa…