MAKALA MAALUMU: Jumatatu ya Februari 9, 2026 itakujia makala maalumu kuhusu asili na mapito ya Mbeya City
MAKALA MAALUMU: Jumatatu ya Februari 9, 2026 itakujia makala maalumu kuhusu asili na mapito ya Mbeya City. Unafahamu kuna mtu alitakiwa apelike chura mwenye mabaka…? Unafahamu kuna watu waliwapa watoto…
Kikao cha mwisho cha Jukwaa la Biashara kati ya Uturuki na Misri chafunguliwa jijini Cairo
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, na Rais wa Misri, Abdel Fattah el Sisi, wanatarajiwa kuhudhuria kikao cha kufunga cha jukwaa hilo.
Philip Aroko, Evans Kidero ni miongoni mwa wagombea kutoka Nyanza wanaosaka tiketi za UDA 2027
UDA ya Rais William Ruto imepata umaarufu katika eneo la Nyanza, huku viongozi kadhaa wakionyesha nia ya chama hicho huku kukiwa na migogoro ya ndani katika ODM.
Hospitali ya Mkapa yaandaliwa ubingwa matibabu ya saratani
Hii imetokana na kukubalika kwa miundombinu yake na mazingira yaliyoandaliwa kwa ajili ya...
Wenye shida ya macho waitwa kutibiwa, kupewa miwani bure
Watanzania wenye shida ya macho kama mtoto wa jicho, presha ya macho, kutokuona mbali wameitwa...
Nani anawajibika wakati wa majanga kama ya Rubaya
Baada ya mkasa wa mgodi wa madini ya coltan mjini Rubaya, mashariki mwa Kongo mamia ya familia ziko na sintofahamu. Inakadiriwa kuwa zaidi ya watu 200 wamefariki. Je nani anawajibika…
TFS yateketeza shamba la bangi hifadhini
Kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya ya Geita, kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu...
#SportPesaLeague: Hizi hapa ‘chuma’ zote tatu zilizofungwa kwenye mchezo kati ya Nairobi United dhidi ya APS Bomet FC
#SportPesaLeague: Hizi hapa ‘chuma’ zote tatu zilizofungwa kwenye mchezo kati ya Nairobi United dhidi ya APS Bomet FC. Magoli ya APS Bomet yamefungwa na Antony Naibei na Dickson Mwangi. Goli…
RC atoa maagizo sakata la wachimbaji, mwekezaji mgodi wa Msasa
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ameamua kuingilia kati sakata lililokuwa likiendelea...
ACT-Wazalendo waipinga ZEC kuchoma nyaraka za uchaguzi
Chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar cha ACT-Wazalendo kimepinga mpango wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, ZEC wa kuteketeza nyaraka zote za uchaguzi mkuu uliofanyika October 29, 2025 na kusema…
KESI YA UBUNGE WA BABA LEVO: Pingamizi lingine la AG, Msimamizi latupwa
Soma zaidi hapa...
DC aagiza madiwani kushirikishwa ukusanyaji wa mapato ya ndani
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda ameuagiza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya...
Maafisa 700 wa uhamiaji kupunguzwa Minnesota
Serikali ya Rais Donald Trump inapunguza idadi ya maafisa wa uhamiaji huko Minnesota baada ya jimbo hilo na maafisa wa jimbo kukubali kushirikiana kwa kuwasalimisha wahamiaji waliokamatwa.
MSHIKEMSHIKE: Azam FC, Yanga, Singida BS, kimahesabu zinaweza kufuzu robo fainali ya mashindano ya CAF msimu huu, unaiona Tanzan…
MSHIKEMSHIKE: Azam FC, Yanga, Singida BS, kimahesabu zinaweza kufuzu robo fainali ya mashindano ya CAF msimu huu, unaiona Tanzania ikipeleka timu ngapi robo fainali ya michuano hiyo? Tuandikie maoni yako…
Serikali imetoa wito kwa wadau kutoka sekta ya fedha nchini kuanzisha huduma na bidhaa za kifedha zitakazowezesha ajenda ya nish…
Serikali imetoa wito kwa wadau kutoka sekta ya fedha nchini kuanzisha huduma na bidhaa za kifedha zitakazowezesha ajenda ya nishati safi ya kupikia kusambaa zaidi, hususan kwa kuwawezesha wajasiriamali wadogo…
Ajali yakatisha maisha ya Diwani wa Ketara, Tarime
Diwani wa Kata ya Ketara (CCM) katika Halmashauri ya Mji wa Tarime mkoani Mara, Philipo Gikaro...
#HABARI: Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Geita imefyeka ekari tatu za bangi zilizokuwa zimepandwa kwa siri ndani ya Hi…
#HABARI: Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Geita imefyeka ekari tatu za bangi zilizokuwa zimepandwa kwa siri ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Geita-Lwamgasa. Watu wasiofahamika walivamia hifadhi…
#HABARI: Askari Polisi wa Jiji la Tanga wakiwa na silaha za moto wamelazimika kuingilia kati kufuatia taharuki za mamia ya wakaz…
#HABARI: Askari Polisi wa Jiji la Tanga wakiwa na silaha za moto wamelazimika kuingilia kati kufuatia taharuki za mamia ya wakazi wa eneo la Neema kuingia katika barabara kuu inayounganisha…
Mwana wa mrithi wa Ufalme Norway akana mashtaka ya ubakaji
Marius Borg Hoiby, mwana wa Crown Princess wa Norway, ameiambia mahakama ya Oslo kuwa hakuwabaka wanawake wanne kama inavyodaiwa, akisisitiza kuwa mahusiano yote yalikuwa ya ridhaa licha ya mashtaka mazito…
Wawekezaji Kanda ya Ziwa walalamikia kodi, miundombinu
Wawekezaji wa mikoa ya Kanda ya Ziwa wamefunguka changamoto zinazowakwamisha kuwekeza, zikiwemo...
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi. Prisca Kayombo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Anamringi Macha ametoa rai kwa Wanachi Mkoani Simiyu kuchangamkia fursa ya umeme Vitongojini wenye thamani ya…
Xi, Putin wasifu ushirikiano thabiti kati ya Urusi na China
Rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin, wamesifu ushirikiano thabiti wa kiuchumi, kisiasa na kiusalama kati ya nchi hizo mbili wakisema unatuliza hali katika nyakati hizi…
Hizi hapa saratani 10 zinazoitafuna Dar
Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) imezitaja aina 10 za saratani zinazosumbua katika Mkoa wa...
Watu 21 wauawa Ukanda wa Gaza katika mashambulizi ya Israel
Watu wasiopungua 21 wanaripotiwa kuuawa na zaidi ya wengine 30 kujeruhiwa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza siku ya Jumatano baada ya mapigano kuanza upya katika eneo hilo la…
Viongozi wa kikanda wajadili amani ya DRC Uganda
Katika juhudi za kuleta utulivu wa kudumu nchini Kongo, Umoja wa Afrika umeanzisha jopo maalum la upatanishi linalolenga kuratibu mazungumzo na kuhimiza ushirikiano wa kikanda. Ushiriki wa Museveni, Kenyatta, Obasanjo…
Wajumbe wakutana Abu Dhabi kusaka amani ya Ukraine
Wajumbe kutoka Moscow na Kyiv wamekutana leo mjini Abu Dhabi kwa awamu nyingine ya mazungumzo yanayosimamiwa na Marekani kuhusu kumaliza vita vilivyodumu takribani miaka minne.
Watu wenye silaha wamewaua zaidi ya raia 168 nchini Nigeria
Shirika la Msalaba Mwekundu limesema watu wenye silaha wamewauwa zaidi ya watu 168 katika jimbo la Kwara nchini Nigeria. Hayo ni ni miongoni mwa mashambulizi mabaya kutokea hivi karibuni.
Dk Nchimbi awaongoza waombolezaji maziko ya Munde
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, leo amewaongoza...
Nishati na mauzo ya silaha: Kansela Merz ziarani Ghuba
Kansela wa Ujerumani, Merz, anazuru nchi tatu za Ukanda wa Ghuba ndani ya saa 72 tu. Katika ziara hiyo, kama alivyofanya awali nchini India, anatafuta ushirikiano mpya wa kimkakati wakati…
M23 yadai kuhusika na shambulio la uwanja wa ndege Kisangani
Waasi wa M23 wamekiri kuhusika na shambulizi la droni liliulolenga uwanja wa kimkakati wa ndege unaotumiwa na jeshi katika eneo la kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Jeshi la Polisi mkoani Mara limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa gari la kubebea wagonjwa …
Jeshi la Polisi mkoani Mara limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa gari la kubebea wagonjwa la Hospitali ya Manispaa ya Musoma mkoani Mara. Gari hiyo…
MSIMAMO: Mambo yalivyo baada ya mechi moja ya leo
MSIMAMO: Mambo yalivyo baada ya mechi moja ya leo. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable
Serikali imeshauriwa kuwekeza zaidi katika sekta ya ardhi na kuhakikisha inatoa hati kwa wananchi kwa wakati ili kuepukana na mi…
Serikali imeshauriwa kuwekeza zaidi katika sekta ya ardhi na kuhakikisha inatoa hati kwa wananchi kwa wakati ili kuepukana na migogoro ya ardhi. Ushauri huo umetolewa na Mbunge wa Jimbo la…
WFP kusitisha shughuli Juba baada ya msafara wake kuvamiwa
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani, WFP limesitisha shughuli zake katika baadhi ya maeneo ya kaskazini mwa Sudan Kusini baada ya msafara wake wa misaada kushambuliwa.
#NBCPL: Shuti la mbali la Kassim Haruna Shaban likaitanguliza Fountain Gate na baadae Fabrice Wa Ngoy kuisawazishia
#NBCPL: Shuti la mbali la Kassim Haruna Shaban likaitanguliza Fountain Gate na baadae Fabrice Wa Ngoy kuisawazishia. FT: Fountain Gate 1-1 Namungo Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #FountainGateVsNamungo…
Kansela Merz aanza ziara ya Ghuba
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz Jumatano anaanza ziara yake ya siku tatu ambayo ni ya kwanza katika eneo tajiri na lenye umuhimu wa kimkakati la Ghuba.
Wabunge walia mpango kuwa na sheria za zamani, Tarimba ataka Dar ije kivingine
Mapendekezo ya Mpango wa Serikali ndani ya Bunge yameendelea kuibua hisia tofauti miongoni mwa...
Fidia inavyochelewesha ujenzi wa barabara za Tabata
Wananchi wa Tabata, jijini Dar es Salaam bado wanaishi katika sintofahamu huku wakilazimika...
Sh28.3 bilioni kufikisha umeme vitongoji 173 Songwe
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania...
#NBCPL: Wamegawana alama
#NBCPL: Wamegawana alama FT: Fountain Gate 1-1 Namungo Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #FountainGateVsNamungo #FountainGate #Namungo
Erdogan na Mwanamfalme wa Saudia waunga mkono umoja wa Somalia, wajadili masuala ya kikanda
Viongozi wa Uturuki na Saudi Arabia wamepinga vikali harakati za kujitenga na mifumo sambamba katika Pembe ya Afrika walipokutana jijini Riyadh, Saudi Arabia.
#NBCPL: Fountain Gate yaendelea kushika usukani
#NBCPL: Fountain Gate yaendelea kushika usukani. 60’: Fountain Gate 1-0 Namungo LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #FountainGateVsNamungo #FountainGate #Namungo
Vodacom Tanzania Foundation yavalia njuga magojwa yasiyoambukiza
Changamoto hiyo pia inawakumba wakazi wa Zanzibar, imepelekea Vodacom Tanzania Foundation...
Wafuasi wa Imam Mahdi wakusanyika Jamkaran kuonesha imani na tumaini siku ya Nisf Sha’ban
Maelfu ya waumini na wafuasi wa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake) wamekusanyika katika Msikiti mtukufu wa Jamkaran, mjini Qom, katika siku tukufu za mwezi wa Sha’ban, na kuugeuza…
Waumini wa Imam Mahdi wakusanyika Jamkaran kuonesha imani na tumaini siku ya Nisf Sha’ban
Maelfu ya waumini na wafuasi wa Imam Mahdi (Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake) wamekusanyika katika Msikiti mtukufu wa Jamkaran, mjini Qom, katika siku tukufu za mwezi wa Sha’ban, na kuugeuza…
Rais wa Chama cha Wataalamu wa Matibabu ya Mionzi Tanzania (RAOTA), Dkt
Rais wa Chama cha Wataalamu wa Matibabu ya Mionzi Tanzania (RAOTA), Dkt. Fredrick Ludovick amesema miongoni mwa njia rahisi za kupambana na saratani ni pamoja na uchunguzi wa awali. Amewashauri…
Samia ainadi Tanzania jukwaa la uwekezaji duniani
Rais amesema Serikali ya Tanzania imejikita katika kujenga misingi imara inayowawezesha...
Kombe la Carabao: Kiasi ambacho Chelsea imekosa baada ya kupigwa na Arsenal
Arsenal ilifika fainali yao ya kwanza katika zaidi ya miaka mitano, ikiishinda Chelsea 4-2 kwenye Kombe la Carabao. Kai Havertz alifunga bao muhimu dakika za mwisho.
#NBCPL: Fountain Gate wanakwenda Mapumziko wakiwa kifua mbele
#NBCPL: Fountain Gate wanakwenda Mapumziko wakiwa kifua mbele. HT: Fountain Gate 1-0 Namungo LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #FountainGateVsNamungo #FountainGate #Namungo