Mradi wachochea utalii ikolojia hifadhi ya misitu Pugu Kazimzumbwi
PWANI: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umesema maboresho ya miundombinu yanayotekelezwa kupitia Mradi wa Kujenga Ustahimilivu wa Bioanuwai ya Misitu dhidi ya Athari za Mabadiliko ya Tabianchi katika…
#BAL2026 Nusu fainali ya kwanza imekwisha… wenyeji RSSB Tigers ya Rwanda inatinga fainali, na Al Ahly ya Misri inaaga mashindano
#BAL2026 Nusu fainali ya kwanza imekwisha… wenyeji RSSB Tigers ya Rwanda inatinga fainali, na Al Ahly ya Misri inaaga mashindano. HT: Al Ahly 97-106 RSSR Tigers Kesho Mei 28 ni…
#TWPL Walichozungumza makocha baada ya mechi
#TWPL Walichozungumza makocha baada ya mechi.. FT: Yanga Princess 0-0 Fountain Gate Nusu fainali ya kikapu (BAL) inaendelea LIVE #AzamSports4HD #WPL #TanzaniaWomenPremierLeague #LigiKuuWanawake #WomenFootball #YangaPrincess #FountainGatePrincess (Feed generated with FetchRSS)
#MICHEZO: Baada ya taarifa kuhusu kocha Frolent Ibenge kuwa karibu kutangazwa na timu ya taifa ya Mali huku taarifa nyingine zik…
#MICHEZO: Baada ya taarifa kuhusu kocha Frolent Ibenge kuwa karibu kutangazwa na timu ya taifa ya Mali huku taarifa nyingine zikimuhusisha kuhitajiwa na timu ya taifa ya Angola. @hoseamchopa amezungumza…
#BAL2026 Ngoma nzito… Game ni mapumziko, na wababe hawa wamefungana kwa pointi hadi sasa…
#BAL2026 Ngoma nzito… Game ni mapumziko, na wababe hawa wamefungana kwa pointi hadi sasa… HT: Al Ahly 50-50 RSSR Tigers Je, nani atashinda? Tuendelee kutazama kikapu LIVE #AzamSports1HD #BAL2026 #BAL…
#TANGAZO: Kuna watu wanasema manabii waliishia Agano la Kale ni vile hatutaki ugomvi wala kufunua mambo, lakini ukweli ni kwamba…
#TANGAZO: Kuna watu wanasema manabii waliishia Agano la Kale ni vile hatutaki ugomvi wala kufunua mambo, lakini ukweli ni kwamba huduma ya kinabii iliendelea hata baada ya Yesu. Biblia ndani…
Mmiliki wa Arsenal awatambua mashabiki wa Arsenal Kenya baada ya kushinda Ligi Kuu ya Uingereza
Ushindi wa Arsenal unamaliza ukame wa miaka 22, ikisherehekea Kenya huku mwenyekiti Josh Kroenke akilenga ushindi wao wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya PSG.
#HABARI: Ujenzi wa Kituo cha Mbegu za Miti ya Miombo kinachogharimu zaidi ya shilingi milioni 500 katika Wilaya ya Kaliua mkoan…
#HABARI: Ujenzi wa Kituo cha Mbegu za Miti ya Miombo kinachogharimu zaidi ya shilingi milioni 500 katika Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora umekamilika, hatua itakayochochea uzalishaji wa miti imara inayosaidia…
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesisitiza kuwa Serikali haitomuongezea muda Mkandarasi M/s China Civil Engineering Construction…
#TWPL Imemalizika bila bao…
#TWPL Imemalizika bila bao…. kwa matokeo haya, Yanga Princess imejiengua rasmi kwenye mbio za ubingwa msimu huu...... ...wamesalia Simba Queens na JKT Queens pekee.. FT: Yanga Princess 0-0 Fountain Gate…
Serengeti Boys kusaka fainali AFCON U17
TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Tanzania ‘Serengeti Boys’ itaweka rekodi mbili ikiwa itapata ushindi katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mataifa…
“Mr Speaker Sir, you must go”: Gen Z aliyejitoma bungeni wakati wa maandamano atoka mafichoni
Chama alikuwa miongoni mwa mamia ya vijana waliowashinda nguvu timu ya usalama ya mashirika mengi iliyotumwa kulinda bunge na kupata nafasi ya kuingia kwa nguvu.
Serikali yapigia makofi wazo la Marekani kuweka kituo cha karantini ya Ebola Kenya: “Tuko tayari”
Kenya inaunga mkono mpango wa Marekani wa kuwatibu Wamarekani walioathiriwa na Ebola, kwa kuanzisha kituo cha karantini chenye madaktari waliofunzwa na Marekani.
Mbarali yatarajia kuvuna tani 430,452 za mpunga, masoko yatajwa
Kufuatia uwekezaji wa Serikali katika kuboresha miundombinu ya sekta ya kilimo, Halmashauri ya...
Mgunda akiri presha matokeo mabovu
KOCHA wa Namungo FC, Juma Mgunda amesema matokeo ambayo wamekuwa wakiyapata yamewaweka kwenye presha kubwa kutokana na kushindwa kufanya vizuri katika mechi za Ligi Kuu Bara.
Kahama yasaini mkataba mpya umaliziaji barabara, onyo latolewa
Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imesaini mkataba wa umaliziaji wa ujenzi wa...
Kizimbani kwa kuingiza magari bila utaratibu
DAR ES SALAAM: WAFANYABIASHARA watatu wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, Kinondoni Dar es salaam wakikabiliwa na mashitaka tisa yakihusisha kuingiza magari yenye namba za usajili za Afrika…
Barcelona yakaribia kumnasa Gordon, Rashford kikaangoni
Barcelona imefikia pazuri katika mpango wake wa kumnasa winga wa Newcastle United, Anthony...
TPA yawataka wadau kujipanga utekelezaji tozo mpya
Tanga. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imewataka wadau wa sekta ya usafirishaji...
Ayatullah Khatami: Trump ana jeni ya kusema uongo
Imamu wa Swala ya Idul Adh'ha iliyofanyika mapema leo mjini Tehran amesema: "Maadui wanatamani taifa la Iran lichoke, lakini kwa neema ya Mungu, wataingia kaburi na matarajio hayo."
Ambassador Matinyi presents credentials to Algeria FM
Algiers, Algeria: Tanzania’s Ambassador to Algeria, Mobhare Matinyi, presents copies of his credentials to Algeria’s Minister of Foreign Affairs, Ahmed Attaf, in Algiers on Tuesday. Ambassador Mobhare Matinyi arrived in…
Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashtaka tisa…
Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Jijini Dar es Salaam, wakikabiliwa na mashtaka tisa yakihusisha kuingiza magari yenye namba za usajili za Afrika Kusini na kuyatumia nchini…
Fei Toto ateseka na majeraha aking’ara Azam
NYUMA ya kile anachokifanya Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika kufunga mabao na kuasisti ndani ya Ligi Kuu Bara, hivi sasa kuna maumivu anakabiliana nayo lakini hana budi kuipambania timu kufikia…
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya afya baada ya Dkt
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya afya baada ya Dkt. Livin Peter Mumburi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kufaulu kuwa daktari bingwa wa magonjwa wa mfumo wa chakula…
June Mosi Mwaka huu, msimu mpya wa ununuzi wa zao la ufuta kwa Mwaka 2026, unatarajiwa kuanza rasmi mkoani Lindi, ambapo zaidi y…
June Mosi Mwaka huu, msimu mpya wa ununuzi wa zao la ufuta kwa Mwaka 2026, unatarajiwa kuanza rasmi mkoani Lindi, ambapo zaidi ya tani 50,000 za ufuta na tani 6000…
Pointi za Simba zamliza beki Dodoma
BEKI wa Dodoma Jiji, Andy Bikoko, ameonekana kuhuzunishwa vikali jinsi kikosi hicho kilivyopoteza mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba kwa kufungwa bao 1-0.
Fikiri apania heshima Coastal
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Fikiri Elias amesema licha ya mwanzo wake mzuri na kikosi hicho tangu alipojiunga nacho, kwa sasa sio muda wa kuangalia suala la mkataba mpya, bali…
Ibenge anahesabu nne tu Azam
HESABU za kocha wa Azam FC, Florent Ibenge ni kukusanya alama nne kuanzia sasa akibakisha mechi tano za Ligi Kuu Bara kwani anaamini zinamtosha kukata tiketi ya kushiriki mashindano ya…
Singida BS ilivyoipitisha tanuru la moto Mbeya City
PAMOJA na kubaki na pointi tatu nyumbani, Singida Black Stars imeweka rekodi na historia kwa Mbeya City kwa kuvuna mabao 13 katika michezo mitatu waliyokutana msimu huu.
Prisons yakusanya ‘kijiji’ kubaki salama Ligi Kuu
USHINDI wa mabao 3-2 walioupata Tanzania Prisons dhidi ya Pamba Jiji umeonekana kuwapa matumaini na nguvu mpya wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki wa timu hiyo, wakitamba kuwa haijaisha hadi…
Landilodi asimulia jinsi mpangaji anadaiwa kumvamia na kumwacha kipofu kufuatia deni la KSh 50k
Martin Kimani alishiriki tukio la kutisha maisha ya kupoteza kuona baada ya shambulio la mpangaji kwa KSh 50k akifichua safari yake ya kupona na usaidizi wa familia
Mwanga kwa waombaji mikopo TASAF, HESLB wakitoa elimu
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB)...
Kwa nini Trump anataka Pakistan iwe na uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel?
Chanzo kimoja cha habari cha Pakistan kimeripoti kuhusu upinzani wa wazi wa Islamabad dhidi ya ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kuitaka nchi hiyo ijiunge na mchakato wa…
Mwenendo wa biashara, historia ya miamala kuwezesha kupata mkopo
Katika hatua inayolenga kuimarisha upatikanaji wa mitaji na kuchochea ukuaji wa sekta ya...
Dili iliyokufa -2
Tulipokubaliana na afisa huyo ndipo tukaenda katika ukumbi ilikoandaliwa sherehe ya kukabidhiwa hundi yangu. Hapo watu walikunywa soda na keki na kucheza mziki kidogo kisha nikakabidhiwa hile hundi. Baadaye nikapeana…
Dili iliyokufa – 1
Ullikuwa mwaka 1980. Wakati huo nilikuwa bado mshamba ninayeishi kijijini. Nilikuwa ninaishi katika kijiji cha Kibanda kilichoko wilaya ya Muheza, mkoa wa Tanga.
Huyu Ndiye Fikirini Jacobs, katibu mchanga zaidi katika serikali ya William Ruto
Kutana na Fikirini Jacobs, Katibu kijana zaidi Kenya akiwa na umri wa miaka 28, aliyesifiwa na Ruto kwa kutetea uongozi wa vijana na kubadilisha uchumi wa ubunifu.
Where it all began: Why Tanzania was always the right choice
DAR ES SALAAM: THE idea of the Great Lakes regional organisation was born in Dar es Salaam in 2004. More than twenty years later, Tanzania is welcoming the region home,…
Wataalamu wataja utafiti, ushirikishwaji wa jamii kukuza uchumi wa buluu
Licha ya sekta ya uchumi wa buluu kuwa na fursa nyingi, ili ziweze kufikiwa, imeelezwa kuwa...
Pacha wa Kakamega Melon Lutenyo atangaza anafanya harusi baada ya kumkaribisha mtoto wa pili
Melon Lutenyo wa pacha wa Kakamega atangaza tarehe ya kufunga ndoa na Willys Odhiambo, iliyopangwa kufanyika Septemba 18 katika Kanisa la ACK St Philips Eldoret.
Smart planning shields Tanzania from urban explosion risks
DAR ES SALAAM: ACROSS Sub-Saharan Africa, cities are increasingly under pressure from rapid urbanisation, with expanding populations often outpacing infrastructure, planning systems, and service delivery. Many urban centres are already…
UWT chairperson inspires young women to pursue higher education
DAR ES SALAAM: CHAMA cha Mapinduzi Women’s Wing (UWT) Dar es Salaam Regional Chairperson, Mwajabu Mbwambo has earned a Doctor of Philosophy (PhD) in Education from the University of Dar…