Iran na Pakistan zaja na mkakati wa pamoja wa ustawi wa kiuchumi
Kamisheni ya 22 ya Pamoja ya Uchumi (JEC) kati ya Iran na Pakistan, iliyofanya kikao chake hapa mjini Tehran imetilia mkazo suala la kurejeshwa mkakati wa kiuchumi kati ya nchi…
Kamisheni ya 22 ya Pamoja ya Uchumi (JEC) kati ya Iran na Pakistan, iliyofanya kikao chake hapa mjini Tehran imetilia mkazo suala la kurejeshwa mkakati wa kiuchumi kati ya nchi…
NATO imepeleka ndege tatu za kivita za Ufaransa huko Poland Mashariki kwa kile kilichotajwa kuwa ni sehemu ya kukabiliana na Russia. Wachambuzi wengi wanasema kuwa, ni vitendo kama hivyo vya…
Jeshi la Niger limetangaza kuwa, Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya nchi hiyo vimeangamiza magaidi wasiopungua 34 wakati wa operesheni mbili zilizofanywa wiki iliyopita katika mikoa ya magharibi ya Dosso…
Mateka wa zamani wa Israel raia wa Marekani ambaye HAMAS ilimuonea huruma na kumwachilia huru, amethibitisha kivitendo kuwa "Fadhila za punda ni mateke." Ametangaza kuwa anajiandaa kurejea Ghaza kwa sare…
Mkuu wa Majeshi ya kundi la Taliban nchini Afghanistan amesema: "Hatukubali mashinikizo ya Rais wa Marekani kuhusu kuutwaa tena Uwanja wa Ndege wa Bagram (ambao ulikuwa umegeuzwa kuwa kituo muhimu…
Najjat Omar22.09.202522 Septemba 2025 Utafiti wa Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) Tanzania ulibaini kuwa wanawake huchangia zaidi ya asilimia 78 ya kazi za usindikaji wa samaki, uvuvi mdogomdogo, kutembeza watalii…
Wakio Mbogho (HON) / MMT22.09.202522 Septemba 2025 Kufuatia eneo la Kaskazini mwa Kenya kukumbwa na matukio ya mara kwa mara ya wizi wa mifugo, wanafunzi wa eneo hilo wamebuni mfumo…
DIRA.BZ22.09.202522 Septemba 2025 Kikao cha viongozi wa ngazi za juu cha baraza kuu la Umoja wa Mataifa kinafunguwa milango yake leo katika makao makuu ya Umoja wa mataifa mjini New…
Ufaransa na Saudi Arabia kuongoza mkutano wa kilele wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kujaribu kufufua matumaini ya suluhisho la mataifa mawili//Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya…
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Makala yetu Leo, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Baadhi ya mataifa yamepanga kuitambua Palestina kama nchi huru katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa utakaofanyika jijini New York / Mahakama Kuu…
Uingereza, Australia na Canada zimetangaza hii leo kulitambua rasmi taifa la Palestina katika mabadiliko makubwa ya miongo kadhaa ya sera za kigeni za nchi za magharibi na kuchochea hasira kutoka…
Mawaziri wawili wa Israel walio na siasa kali za mrengo wa kulia wametoa wito wa kunyakuliwa kwa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa na Israel kufuatia tangazo la Uingereza, Canada na Australia…
Raia nchini Guinea Conakry wamepiga kura ya maoni kuhusu rasimu ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa kijeshi, aliyechukua madaraka kwa nguvu miaka minne iliyopita, kuwania kiti cha urais.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema vita vya Israel na kundi la wanamgambo wa Hezbollah vimetengeneza uwezekano wa kuwepo kwa amani na nchi jirani za Lebanon na Syria
Kenya imepata ushindi mara mbili katika mbio za 51 za Marathon mjini Berlin kwa upande wa wanaume na wanawake lakini wameshindwa kuvunja rekodi ya dunia.
Chama kikuu cha upinzani cha Uturuki CHP, kimemchagua tena Ozgur Ozel,kuwa kiongozi wake katika mkutano mkuu leo Jumapili huku chama hicho kikipambana na changamoto nyingi za kisheria.
Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer amesema hatua yake inalenga kuleta amani mashariki ya kati na sio kuizawadia Hamas kama inavyodai Israel
Shirika la Amnesty International limeitaka jamii ya kimataifa kuiwekea Israel vikwazo haraka iwezekanavyo kutokana na vita na mauaji ya kimbari yanayoendelea kutekelezwa na utawala huo katika Ukanda wa Gaza.
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limewaonya maadui wa Iran hususan Israel na Marekani kwamba, watakabiliwa na majibu makali na madhubuti ya Jamhuri ya Kiislamu iwapo watafanya makosa…
Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa Majeshi ya Yemen wametahadharisha kuwa nchi hiyo ya Kiarabu ina uwezo na na njia za kutoa vipigo vikai na kuumiza sana kwa adui Mzayuni…
Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameiomba serikali ya Marekani iishinikize Misri ipunguze hatua za kujizatiti kijeshi katika eneo la Peninsula ya Sinai. Hayo ni kwa…
Pakistan imesema, makubaliano ya hivi karibuni ya kiulinzi ambayo hayajawahi kushuhudiwa iliyosaini na Saudi Arabia yanalingana na yale yaliyopo katika Muungano wa kijeshi wa Magharibi wa nchi wanachama wa NATO.
Ukosefu wa usalama wa chakula hautachunguzwa tena nchini Marekani, serikali ya Marekani imetangaza siku ya Jumamosi, Septemba 20, ikiona hatua hiyo kama ya “ya kisiasa zaidi”.
Licha ya shinikizo kali kutoka kwa Marekani na Israel, na bila ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lenye hadhi ya juu, Uingereza na Ureno zitalitambua rasmi taifa la Palestina…
Mashambulizi ya Israel yamegharimu maisha ya watu wasiopunguwa 14 usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi katika Jiji la Gaza, maafisa wa eneo hilo wameripoti. Israel imezidisha mashambulizi yake katika siku za…
Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa notisi likisisitiza kuwa ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA utasitishwa hivi karibuni.
Umoja wa Mataifa unawashutumu viongozi tawala wa Sudan Kusini kwa kujihusisha na uporaji wa kweli wa rasilimali ya mafuta ya nchi hiyo. Ripoti hii ya Tume ya Umoja wa Mataifa…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu msimamo thabiti wa Iran, na kusema Jamhuri ya Kiislamu itashinda vikwazo vinavyochochewa na wale wote wenye nia mbaya na…
Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran (SNSC) limesema Tehran itasitisha ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja…
Qatar imesema kuwa Israel inapasa kuomba radhi kutokana na mashambulizi iliyotekeleza dhidi ya Doha. Imesema Israel inapasa kuomba radhi kama sharti ili kuweza kuanza tena mazungumzo ya amani ya kuhitimisha…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa amesema kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatambua kwa dhati mchango wa madhehebu ya dini likiwemo Baraza Kuu…
Polisi nchini Malawi imewatia mbaroni maafisa wanane wa uchaguzi wanaotuhumiwa kujaribu kudukua matokeo ya uchaguzi wakati zoezi la kuhesabu kura likiendelea kufuatia ucaguzi mkuu wa Jumanne iliyopita nchini humo.
Rwanda inaandaa mashindano makubwa zaidi ya michezo katika historia yake kwa mashindano ya Dunia ya mbio za Baiskeli, yatakayoanza leo Jumapili, Septemba 21. Maandalizi yamekamilika, kwa mujibu wa mamlaka, ambayo…
Tovuti ya Kiingereza ya BBC katikati ya Septemba 2025 katika makala ya kina yenye kichwa cha habari kilichosomeka "Je, Israel Inakabiliwa na 'Hatima ya Afrika Kusini'?" Ilizungumzia suala la kujikariri…
Wananchi wa Guinea wanapiga kura ya ndiyo au hapana kuhusu rasimu ya Katiba mpya. Rasimu hiyo inalenga kuchukua nafasi ya katiba ya mpito inayotumika tangu mapinduzi ya Septemba 21, 2021…
Mwanadiplomasia mwandamizi wa Iran amesema kuwa makubaliano ya hivi karibuni kati ya Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA yaliyofikiwa mjini Cairo yatasitishwa ikiwa vikwazo vya Umoja…
Wanamapambano wa Al-Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, wamewahakikisha Wazayuni kwamba hawatowaona tena mateka wao hivyo wanapaswa kuwaaga kutokana na kuvamiwa Ghaza.
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuchukua hatua kali ambazo hakuzitaja iwapo serikali ya Taliban nchini Afghanistan itakataa kukabidhi kituo cha jeshi la anga cha Bagram, ambacho kilitelekezwa wakati majeshi…
Serikali ya Sudan imewashutumu wapiganaji wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kuwa wameshambulia kwa makusudi Msikiti mmoja huko El Fasher, makao makuu ya jimbo la Darfur Kaskazini na kuua…
Leo ni Jumapili 28 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria mwafaka na 21 Septemba 2025 Miladia.
Nchi za Magharibi zimezuia kupitishwa azimio katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lililopendekezwa na Korea Kusini kuhusu kuongezwa muda wa kuondolewa vikwazo vya nyuklia Iran.
Ghasia na machafuko yanaendelea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, suala ambalo limezidisha maafa na matatizo kwa raia wa kawaida hasa wanawake na watoto wadogo.
Kaimu Waziri wa Polisi wa Afrika Kusini, Firoz Cachalia ametoa mwito kwa wananchi kulisaidia kikamilifu jeshi hilo katika kuweka ulinzi mkali wa kipolisi na uwekezaji wa kijamii ili kuzuia kuongezeka…
Katika hatua ya kihistoria, Ufaransa na nchi nyingine tisa zimetangaza kuwa zitalitambua rasmi taifa huru la Palestina.
Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen huku akipuuzilia mbali vitisho vya waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni ametangaza kuingia kwa silaha mpya katika medani…
Waasi wameshambulia mji mmoja wa mpakani katika jimbo la Borno, kaskazini mwa Nigeria na kuchukua silaha katika kambi ya kijeshi katika eneo hilo huku wanajeshi wakikimbilia usalama wao katika nchi…
Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa alisema Ijumaa jioni kwamba, kurejeshwa kwa vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hakuna uhalali wowote wa kisheria na kwamba waliotia saini…
Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International, limekosoa vikali kura ya turufu ya Marekani dhidi ya azimio la kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, likitaja hatua hiyo kama uungaji mkono wa…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kwamba vitisho vya Israel havipaswi kuzuia kutambuliwa rasmni kwa taifa la Palestina.