Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani.
Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani. (Feed generated with FetchRSS)
Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani. (Feed generated with FetchRSS)
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Makali ya ongezeko la nauli kwa usafiri wa daladala, mabasi ya mikoani na teksi mtandao...
#HABARI: Bodi ya Korosho Tanzania imeanza zoezi la kusambaza viwatilifu vya maji katika Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, huku kipaumbele kikielekezwa kwenye maeneo ambayo korosho huchipua mapema ikiwemo Kata ya…
#MALUMBANO: "Kwa baadhi ya wachezaji na kwa level yetu wanatosha, lakini kwa baadhi ya wachezaji katika level ya Kimataifa bado hawatoshi, hasa katika ushindani..."-Khalid Mtumbuka -Mchambuzi wa Michezo. Powered by…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: APRILI 30, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Timu za Kajuna ya Kigoma na Kahama Madini ya Shinyanga, zimekata tiketi ya kushiriki Ligi Daraja la Pili (First League) msimu ujao baada ya leo Alhamisi, Aprili 30, 2026, kuibuka…
Safaricom imeshughulikia malalamishi ya wateja kwa kueleza jinsi Wakenya wanaweza kuongeza kiwango cha Fuliza, na kutoa suluhu la kuboresha huduma za pesa kwa simu.
Vikundi vya kigaidi vya Azawad Liberation Front pamoja na Al-Qaeda katika Maghreb ya Kiislamu...
Launches 5th Catalytic Funding Call DAR ES SALAAM: The United Nations Development Programme (UNDP), through the FUNGUO Innovation Programme, today successfully concluded the #YouthIgnite Third Cohort Award Ceremony and the…
Ni hatua nzuri, ndivyo unavyoweza kusema ukizungumzia mazungumzo ya kuunda Serikali ya Umoja wa...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ya kutaka kuunganishwa katika kesi ya mgawanyo wa…
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Patrobas Katambi amefunga rasmi kambi ya wakimbizi wa Burundi ya Nduta iliyopo Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma, ambayo imedumu kwa zaidi ya miaka 10…
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi kesho, yanatarajiwa kuambatana na hisia mseto miongoni mwa wafanyakazi wakisubiri kusikia nini kitazungumzwa na Serikali kuhusu maslahi yao. Kufuatia kupanda kwa nauli za…
Benki ya Ushirika (Coop Bank) imeeleza mkakati wa kukuza uchumi jumuishi katika mkakati wa...
Zaidi ya manusura 100 wa vitendo vya ukatili wa kijinsia wamepokewa na kuhudumiwa katika Kituo...
Serikali imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha sekta ya fedha nchini ili kurahisisha...
Idara ya Hali ya Hewa ya Kenya imetabiri kutakuwa na mvua kubwa Siku ya Wafanyakazi katika maeneo ya Kaskazini-Magharibi na Kaskazini-Mashariki.....
Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei amesema kuwa nchi hiyo italinda uwezo wake wa nyuklia kama rasilimali ya taifa, licha ya juhudi za Rais wa Marekani, Donald Trump kutaka kufikiwa…
Hoja ya uhalifu mitandaoni na kusambazwa kwa picha za udhalilishaji ni kati ya hoja zilizotikisa Bungeni mjini Dodoma, ambapo wabunge wameitaka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuanzisha idara…
Huzuni na simanzi zimetanda katika Manispaa ya Morogoro kufuatia vifo vya watoto watatu...
Chama cha Wanasheria wa Afrika (Palu), kimesisitiza wajibu wa wanasheria barani humo ikiwemo...
Wadau wa sekta ya habari nchini wamewasilisha ajenda 15 serikalini wakitaka mabadiliko ya...
Jeshi la Polisi likiwashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili watoto katika...
Serikali imebaini na kufungia jumla ya laini za simu 62,879, pamoja na kuzuia kufanya usajili...
Katibu wa Bunge la Tanzania, Baraka Leonard ametangaza uchaguzi mdogo wa kuziba nafasi za...
Makali ya ongezeko la nauli kwa usafiri wa daladala, mabasi ya mikoani na teksi mtandao...
Serikali ya Marekani imetumia takribani dola za Marekani 25 bilioni (sawa na Sh62.5 trilioni)...
Wizara ya Afya imesema jumla ya hospitali 11 za rufaa za mikoa nchini, zinatarajia kuanza kutoa...
Mabaki ya miili ya watu watatu wa familia moja waliofariki kwa ajali ya moto,inatarajiwa...
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameitaka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) na wadau wa soka nchini kuongeza umakini katika usimamizi wa waamuzi, akisisitiza kuwa nidhamu…
Idadi ya vijana 1,961 walioomba mikopo kupitia mfuko wa vijana na upungufu uliobainika...
KIGOMA; SERIKALI ya Tanzani imeifunga rasmi kambi ya wakimbizi ya Nduta iliyopo wilayani Kibondo mkoani Kigoma, iliyokuwa ikihifadhi wakimbizi wa Burundi. Hatua ya kufunga kambi hiyo imekuja baada ya wakimbizi…
SIKU moja baada ya kikosi cha Yanga kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa watani zao wa jadi, Simba katika fainali ya Kombe la Muungano iliyochezwa Uwanja wa New Amaan…
DAR ES SALAAM; Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP), kupitia Mpango wa Ubunifu wa FUNGUO, limehitimisha kwa mafanikio hafla ya utoaji wa Tuzo za YouthIgnite Awamu…
Mike Sonko ameapa kumlea binti wa mhasibu aliyeuawa Anita Mugweru, akisisitiza hali mbaya ya kifo chake na kuahidi kuisaidia familia yake inayoomboleza.
Siku moja baada ya Gazeti la Mwananchi kuripoti kuwepo kwa hofu miongoni mwa wazazi kufuatia...
GEITA; TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Geita imewafikisha mahakamani watumishi sita wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita kwa tuhuma za ubadhirifu wa Sh milioni…
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori amesema ukiacha kitendo cha kufuruhishwa na namna wachezaji wa timu hiyo walivyopambana na kuichapa Yanga jana, lakini mechi hiyo imewaonyesha bado…
KMC inapigania uhai wake wa kusalia Ligi Kuu Bara msimu ujao ikiwa pia bila kocha mkuu, huku uongozi wa klabu hiyo ukiweka wazi kuwa bado kuna hesabu zinaendelea kupigwa taratibu…
Edwin Sifuna amesema Raila Odinga aliamini ODM kingeng'oa Rais William Ruto madarakani kupitia kura ya cha urais 2027, akitolea mfano kupoteza umaarufu Mlima Kenya
UONGOZI wa Singida Black Stars, umeonyesha nia ya kumuhitaji kiungo mshambuliaji wa Gor Mahia ya Kenya, Mghana, Enock Morrison, ambaye hadi sasa hakuna mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya huko alipo,…
USIKU WA KISASI: Tunazungumza kuhusu ngumi tu hapa EACLC, hapa Ubungo Dar es Salaam. Leo ni kupima uzito na face off ili kesho zichapwe ndondi. Tutakuwa LIVE #AzamSports3HD leo kuanzia…
PIN POINT: ‘Mwamba wa Juu’ @leomusikula_tz kuhusu kile alichofanya kocha wa Simba SC, Steve Barker katika safu ya ulinzi kuhakikisha ulinzi unakuwa imara katika kikosi chake kwenye mchezo wa fainali…
Rais William Ruto amempa Sabastian Sawe KSh milioni 8 baada ya kuwa binadamu wa kwanza kukimbia marathon halali chini ya saa 2 katika Marathon ya London ya 2026
Wakati Tanzania ikiendelea kukabiliana na changamoto za upatikanaji wa huduma bora za afya...
Mazingira ya kisiasa Kisumu yanabadilika huku mgawanyiko wa ndani katika ODM ukidhoofisha ushabiki. UDA kinaibuka huku hali hiyo ikiashiria enzi mpya katika siasa.