🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JUNI 30, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JUNI 30, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: JUNI 30, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amewaahidi vinyozi na wasusi kuwa anakwenda kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ili awape mikopo. Makonda amesema hayo…
Mwili wa aliyekuwa Mhariri Mtendaji Msaidizi wa UTV, Wiltrudies Mutembei umezikwa leo katika kijiji cha Mkombole, Kibosho wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro.��Mwenzetu Enos Masanja ameshiriki maziko hayo na kuandaa taarifa ifuatayo.…
Ingawa Mwalimu Yusuf Ibrahim ni mlemavu wa miguu lakini utaalamu wake na mbinu anazozitumia katika kutekeleza majukumu yake ya kukuza taaluma kwa wanafunzi wa shule za msingi ikiwemo michezo zimeendelea…
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, SACP Safia Jongo amewataka wananchi kujiweka mbali na propaganda za mitandaoni na badala yake wajikite katika kuilinda na kuitunza amani ya nchi. Akizungumza mkoani…
Wafugaji na wakulima mkoani Njombe hususani hususani katika wilaya ya Wang’ing’ombe wameomba msaada wa usimamizi bora wa ardhi ili kukabiliana na tishio la ukame ambalo linaweza kuharibu mazao na mifugo…
Wamiliki na waendeshaji wa biashara ya nyumba za kulala wageni mkoani Shinyanga wameiomba Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kusambaza kwa wingi vitambulisho hivyo ili wamiliki wanapotumia huduma za nyumba…
🔴MCHEZOSUPA: KWA NGUVU YA BUKU USIKAE KINYONGE: JUNI 30, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
RAIS wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan amepokeo gawio la Sh.bilioni 15 kutoka Kampuni ya Kuhifadhi Mafuta Tanzania (TIPER) ikiwa ni sehemu ya gawio la Shilingi bilioni 30 lilitolewa na kampuni…
Dar es Salaam. Halmashuri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma( Chaumma), imemng'oa aliyekuwa...
DAR ES SALAAM; SHANGWE la ubingwa. Yanga wakishangilia baada ya kukabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2025/26 kufuatia ushindi wa mabao 0-3 walioupata leo…
Waziri wa Nishati, Deogratias Ndejembi amemuagiza mkandarasi anayetekeleza mradi wa ukarabati...
MABAO mawili yaliyofungwa na Jean-Jacques Ngita dakika ya 66 na Nathaniel Chilambo dakika ya 89 dhidi ya Dodoma Jiji, yameifanya Azam kumaliza msimu kwa ushindi huo ikikomaa nafasi ya tatu…
YANGA imebeba bingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya tano mfululizo, baada ya kuichapa JKT Tanzania mabao 3-0, ikijihakikishia ufalme huo siku ya mwisho ya kufunga msimu ikikusanya pointi…
Serikali ya Canada imesema itaendelea kushirikiana na Serikali za Tanzania katika sekta...
Mahakama ya Wilaya ya Mtwara imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, Said Nayopa (30), mkazi wa...
NI vita nyingine mpya. Ndivyo unavyoweza kusema kuelezea mtifuano wa kukwepa kushuka daraja kati ya ndugu, Tanzania Prisons na Mbeya City.
NTSA inachunguza madai kwamba malipo ya faini za trafiki yanaonekana kwenda kwenye akaunti ya mtu binafsi baada ya wasiwasi uliotolewa na wakili Donald Kipkorir.
Mfanyabiashara maarufu Big Joe raia wa Nigeria alipigwa risasi na kufariki, na kusababisha huzuni na hofu kuhusu chuki dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini.
ARUSHA: A VETERAN Tanzanian environmentalist, Petro Paul Ahham whose work helped to shape environmental policy, community development and governance over more than three decades, has died in Arusha. Ahham’s death…
Upelelezi wa kesi ya wizi wa lita 2,800 za mafuta ghafi inayomkabili msimamizi wa tanki la...
Tamthilia ya Noma imeendelea kuvuta hisia kubwa katika tasnia ya burudani Tanzania baada ya...
ILIPOISHIA Nikawaza nikimtilia kwenye chakula haitafaa kwa sababu chakula hicho tunakula sote. Nikawaza tena labda nimtilie kwenye mchuzi kwa vile kila mmoja anakuwa na bakuli lake la mchuzi. Nikaona kwenye…
DAR ES SALAAM: THE Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPER) has delivered a total dividend of 30bn/- to its shareholders for the 2025 financial year, reflecting strong financial performance driven…
BAADA ya kuchezea vipigo kwenye fainali mbili mfululizo za Kombe la FA Zanzibar, Chipukizi imesema itajipanga vizuri msimu ujao ili kuondoa hali hiyo na hatimaye kubeba ubingwa.
LICHA ya New King kushuka daraja msimu wa 2025-2026 ilipomaliza nafasi ya 13, lakini Khatma Khamis Mwalimu maarufu Betina, ameandika historia ya kuwa kocha mkuu wa kwanza wa kike kufundisha…
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeitaka Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) isibweteke...
Mkazi wa Mkoa wa Kusini Unguja, Masoud Othman Nzengi ameachiwa huru na Mahakama ya Rufaa...
Serikali imepokea gawio la Sh221.9 bilioni kutoka ubia wa Kampuni ya Barrick Mining Corporation...
Chama cha ACT Wazalendo kimeanza mchakato wa kufungua shauri mahakamani kupinga vifungu vya...
Serikali, mashirika ya kiraia na wadau wa maendeleo Wilaya ya Karatu mkoani Arusha wamezitaka...
*Rais Samia: Hatutavumilia uzembe, ubadhirifu wa mali za umma* Rais Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na kuyapongeza mashirika yanapofanya vizuri, hatavumilia uzembe na matumizi mabaya ya fedha za umma atakapobaini.…
DAR ES SALAAM: Prime Minister Mwigulu Nchemba has reaffirmed that the Sixth Phase Government under President Samia Suluhu Hassan continues to place its trust in young people by appointing them…
Watu sita wameuawa kwa kupigwa risasi katika kituo cha ustawi wa watoto katika mji wa Stade...
Mwanaharakati Davis Lichuma alipatikana akiwa mahututi baada ya madai ya kutekwa. Familia yake ilisimulia mateso yake siku chache baada ya kufiwa na dada yao.
Shirika la Reli Tanzania na Zambia (Tazara), limeelezwa ni muhimu kuzilinda barabara kwa kubeba...
DAR ES SALAAM: THE Minerals Minister Anthony Mavunde has today, June 30, 2026, met with the Managing Director and owner of the Steel Balls Manufacturing Factory, Hou Songcun, to discuss…
Serikali imeendelea na mkakati wa kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha uzalishaji wa bidhaa...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imeendelea kuwa kinara wa kutoa gawio kati ya...
ZANZIBAR: THE President of Zanzibar, Dr Hussein Ali Mwinyi, has urged the People’s Bank of Zanzibar (PBZ) to continue investing in modern technologies, financial system security, product and service innovation,…
Licha ya kutambua wajibu wao wa kuzingatia sheria za usalama barabarani, mazingira wanayofanyia...
Kituo cha Utengamao cha CCBRT Moshi, kinachohudumia mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Tanga na...
HARARE: THE Permanent Secretary in the Ministry of Finance, Dr Natu El-Maamry Mwamba, has led the delegation of the United Republic of Tanzania at the Southern African Development Community (SADC)…
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has urged public institutions to shift decisively from routine administration to results-oriented performance, warning that Tanzania’s development ambitions will only be realised through…