Mashambulizi ya Israel yawaua zaidi ya Wapalestina 50
Shirika la habari la Palestina WAFA limeripoti zaidi ya watu 50 wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na Israel tangu Jumamosi Alfajiri wengi wao wanawake na watoto. Watu 27 kati ya hao…
Shirika la habari la Palestina WAFA limeripoti zaidi ya watu 50 wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na Israel tangu Jumamosi Alfajiri wengi wao wanawake na watoto. Watu 27 kati ya hao…
⚽ Matukio Muhimu ya Mchezo
Mamlaka za Syria zimetoa Waranti wa kukamatwa kwa Rais wa zamani Bashar al-Assad. Anakabiliwa na tuhuma za kupanga mauaji, kutesa watu hadi kifo na kufanya uchochezi uliokusudia kuanzisha vita vya…
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema Marekani iliitaka nchi yake isalimishe madini yake yote ya urani iliyoyarutubisha ili iepuke kuwekewa vikwazo kwa kipindi cha miezi mitatu.
Wizara ya ulinzi ya Denmark imesema droni zimeshuhudiwa katika baadhi ya kambi zake za jeshi usiku wa kuamkia Jumamosi. Droni hizo zimeonekana siku chache baada ya droni nyingine tatu zilizoshuhudiwa…
Raia wa Ushelisheli wamepiga kura Jumamosi 27.09.2025 ili kumchagua Rais na wabunge katika uchaguzi mkuu. Rais Wavel Ramkalawan wa chama cha Linyon Demokratik Seselwa anatafuta kuchaguliwa katika mhula wa pili.
Aliyekuwa makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, anakabiliwa na kesi mahakamani kwa mashtaka yanayojumuisha mauaji na uhaini, hali inayochochea hofu ya kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe…
Katika hotuba yenye msisitizo na maono ya mbali mbele ya wajumbe wanaoshiriki Mjadala Mkuu wa mkutano wa 80 wha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje…
Zaidi ya watu 30 wameuawa Ukanda wa Gaza usiku wa kuamkia Jumamosi kutokana na mashambulizi ya jeshi la Israel. Kulingana na watoa huduma za afya miongoni mwa waliouawa ni watu…
Urusi imesema droni za Ukraine zimeishambulia miundombinu ya mafuta katika mkoa wake wa Chuvashia. Gavana Oleg Nikolaev amesema mashambulizi hayo yamesababisha mitambo ya mafuta kwenye kituo kilicholengwa kusimama.
Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri katika houba aliyoitoa katika Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa madai yake ya uwongo na yasiyo na msingi…
Iran imewarejesha nyumbani mabalozi wake katika nchi za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ili kufanya mashauriano kuhusu mgogoro wa mchakato wa Umoja wa Mataifa ulioanzishwa na nchi hizo wa kuirejeshea tena…
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani Alexander Dobrindt amesema serikali nchini humo inataka kufikia makubaliano na Syria mwaka huu, ili kuwarejesha waomba hifadhi ambao maombi yao yalikataliwa.
Waziri Mkuu wa Mali Abdoulaye Maiga ameishutumu Algeria mbele ya Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kwa kile alichokiita kuunga mkono "ugaidi wa kimataifa" baada ya kuidungua droni ya jeshi…
Ikiwa mzazi au ndugu yako wa karibu ana tabia ya kuongea usingizini, kuna uwezekano mkubwa nawe ukaipata'', Dkt. Tareq Gharaibeh, mtaalamu wa magonjwa ya kifua na usingizi aeleza.
Katika taarifa yake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Jenerali Nilforoshan na Sayyed Hassan Nasrallah, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi SEPAH limesisitiza kuwa litaendelea kuwa pamoja na imara na…
Katika taarifa yake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Jenerali Nilforoshan na Sayyed Hassan Nasrallah, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi SEPAH limesisitiza kuwa litaendelea kuwa pamoja na imara na…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imemlaani Benjamin Netanyahu na hotuba yake iliyojaa uongo kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, lengo la uongozo huo…
Shehena kuu wa setilaiti ya Nahid-2 ya Iran, ambayo ilizinduliwa mwezi Agosti, kwa sasa inafanyiwa majaribio katika obiti. Shehena hiyo ina jukumu muhimu katika kuanzisha mawasiliano ya satelaiti.
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran ambaye amewasili Beirut kuhudhuria kikao cha Baraza la Kumbukumbu za Mashahidi wa Muqawama wa Hizbullah amesema kwamba, utawala wa Kizayuni…
Rais Andry Rajoelina wa Madagascar amelaani matukio ya vurugu yaliyotokea hasa katika mji mkuu Antananarivo na kuwataka wananchi wote wa Madagascar kuwa watulivu.
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametoa mwito kwa taasisi za kimataifa kufanya mageuzi ya maana ambayo yatashughulikia changamoto zinazoukabili uchumi wa dunia.
Kutotambuliwa rasmi kunaweza kuzuia taifa kushiriki katika mashirika ya kimataifa, kushiriki mazungumzo ya kidiplomasia, au kufanya mikataba ya kibiashara.
Alikwenda mbele ya kaburi hilo akachutama na kusoma kibao kilichowekwa mbele ya kaburi hilo ambacho kilikuwa na jina la marehemu. “Ndiyo hili hili. Jina lake limeandikwa hapa. Thomas Christopher,” akaniambia.
Afisa upelelezi aliponiuliza hivyo, tulicheka sote. “Ni kama hivyo, lakini huyu mtu inaonekana yupo, kwa sababu alama ya dole anayoiweka katika karatasi anazoziacha kwa marehemu ni yake.” “Kweli, huo ni…
Jinsi gani bakteria aina ya E. coli walivyokuwa chombo muhimu kwa wanasayansi na je, kuna kitu kitakachoweza kubadilisha
Katika hatua inayoonekana kama kuunga mkono wazi wazi mauaji ya kimbari ya Wapalestina huko Gaza, Marekani imetangaza kuwa itafuta visa ya Rais wa Colombia, Gustavo Petro, kutokana na kauli aliyotoa…
Wajumbe wengi walitoka nje ya ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kama ishara ya kupinga hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, wakati wa kikao cha 80…
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera za rais wa Marekani ziko kwenye mkondo wa kuibua mabadiliko makubwa na vurugu katika eneo lote la Asia ya Magharibi, akionya…
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zimesaini mkataba wa dola bilioni 25 kwa ajili ya kujenga mitambo minne ya nishati ya nyuklia, kama sehemu ya makubaliano ya muda mrefu…
Meya wa jiji la London, Sadiq Khan, amemjibu kwa ukali Rais wa Marekani Donald Trump, akimtuhumu kuwa “mbaguzi wa rangi, jinsia, wanawake na mwenye chuki dhidi Uislamu” baada ya Trump…
Hali ya dunia leo inabaki changamoto na yenye mabadiliko makali. Umoja wa Mataifa umeanza mjadala wa kihistoria juu ya uwezekano wa kuwa na Katibu Mkuu wa kwanza wa kike baada…
Mashariki ya Kati inaendelea kuwa kitovu cha mivutano ya kisiasa na kijeshi huku juhudi za kutafuta amani zikionekana kupata kasi mpya. Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme…
📰 Mpangilio Mpya wa Dunia: Viongozi Wakuu Wapanga Hatima ya Kisiasa, Kiuchumi na Kijeshi Dunia ipo katika kipindi cha mageuzi makubwa huku mataifa makubwa yakichukua hatua muhimu zinazoweza kubadilisha mwelekeo…
Mkataba wa Gaza karibu kufikiwa — TrumpRais Donald Trump ameeleza kwamba makubaliano ya kuimaliza vita huko Gaza yako karibu, ingawa hakutoa maelezo zaidi. RT India yanikana madai ya Mkuu wa…
Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, raia zaidi ya 100 walitekwa nyara katika mkoa wa Ituri katika shambulio la wanamgambo wa Codeco jioni ya Jumatano, Septemba 24, 2025,…
Kuna wagombea 12 watakaoshiriki katika uchaguzi wa urais wa Oktoba 12, 2025 nchini Cameroon. Miongoni mwao, Rais anayemaliza muda wake Paul Biya, aliye madarakani tangu mwaka 1982, anawania muhula wa…
Nchini Gabon, zaidi ya wapiga kura 900,000 wanaitwa kupiga kura leo Jumamosi, Septemba 27, kwa ajili ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa wabunge na duru moja ya uchaguzi wa…
Vikwazo vikubwa vya kiuchumi na kijeshi dhidi ya Iran vilivyoondolewa chini ya makubaliano ya kihistoria ya kimataifa kuhusu mpango wake wa nyuklia miaka 10 iliyopita vinatarajiwa kurejeshwa Jumamosi
Vuguvugu la maandamano nchini Madagascar limeenea katika miji kadhaa nchini kote siku ya Ijumaa Septemba 26, pamoja na Diego Suarez, ambapo makabiliano makali yaliripotiwa kati ya waandamanaji na vikosi vya…
Kurejeshwa tena kwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran siku ya Jumamosi kuhusiana na mpango wake wa nyuklia sasa ni jambo lisiloepukika, kufuatia kukataliwa siku ya Ijumaa, Septemba…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, juhudi za mataifa matatu ya Ulaya ya Uingereza, Ufaransa, na Ujerumani za kuhuisha vikwazo vya Baraza la Usalama…
Real Madrid wanafuatilia kandarasi ya mlinzi wa Liverpool na Ufaransa Ibrahima Konate.
Makamu wa Rais wa Tanzania Philip Mpango amesisitiza msimamo wa muda mrefu wa bara la Afrika wa kudai kuwa na angalau viti viwili vya kudumu vyenye kura ya turufu katika…
Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair yuko kwenye majadiliano ya kuongoza mamlaka ya mpito katika Ukanda wa Ghaza, ikiwa ni sehemu ya mpango unaoungwa mkono na Marekani wa…
Shirika la Intelijensia na Usalama la Somalia (NISA) limetangaza kuwa limetekeleza operesheni ya mashambulizi iliyowalenga viongozi wa kundi la kigaidi la Al-Shabab na kuua magaidi 24 akiwemo kiongozi wa kundi…
Waziri wa Vita wa Marekani Pete Hegseth, amewaamuru mamia ya majenerali na maadmeri wa Pentagon walioko kila pembe ya dunia kuripoti kwenye kambi ya Marine Corps iliyoko Quantico, Virginia, wiki…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, mgogoro wa Ukraine ulipangwa na nchi za Magharibi kwa sura ya vita dhidi ya Russia vinavyopiganwa na Kiev.
Nchi tatu za Kiafrika zimetangaza kuwa zimehitimisha unachama wao katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
Leo ni Jumamosi tarehe 4 Mfunguo Saba Rabiul-Thani 1447 Hijria Qamaria, sawa na tarehe 5 Mehr mwaka 1404 Hijria Shamsia, inayosadifiana na tarehe 27 Septemba 2025 Miladia.