Bado Watatu – 43
Tulishirikiana kulifukua kaburi hilo hadi tukalipata sanduku lililokuwa ndani, ambalo lilikuwa limeshaoza lakini maiti iliyoanza kuharibika ilikuwemo ndani. Kitu ambacho kilitushitua ni kuwa kwenye dole gumba lake la mkono wa…
Tulishirikiana kulifukua kaburi hilo hadi tukalipata sanduku lililokuwa ndani, ambalo lilikuwa limeshaoza lakini maiti iliyoanza kuharibika ilikuwemo ndani. Kitu ambacho kilitushitua ni kuwa kwenye dole gumba lake la mkono wa…
๐ข YANGA SC โ Player Ratings (2-0) DJIGUI DIARRA โ 7Kipa wa kimfumo, alidhibiti mipira ya Wiliete bila tatizo kubwa. Alitoa usalama kwenye lango lake. KIBWANA SHOMARI โ 6.5Imara katika…
๐ข YANGA SC YAENDELEA KUIMBA UKALI WAKE โ 5-0 JUMLA, WAPATA NYUZO MBILI NYUMBANI ๐ฎ Matokeo Yanayofuata Uchanganuzi:Yanga SC inaonyesha umuhimu wa ushindi mfululizo, kudumisha kizingiti cha kutoruhusu mabao na…
Hapa kuna uchambuzi wa mechi za leo za kimataifa za timu za Tanzania (Simba SC na Azam FC) kwa Kiswahili: ๐ด Simba SC vs Gaborone United ๐ฎ Utabiri wa mechi:…
๐ UCHAMBUZI WA INTER MIAMI โ SARE YA 1-1 DHIDI YA TORONTO FC Inter Miami walikosa kurekebisha faida ya mapema na kumaliza kwa sare ya 1-1 dhidi ya Toronto FC,…
๐ UCHAMBUZI WA WAENDELEZAJI WA REAL MADRID โ KIPIGO CHA 5-2 KATIKA DERBY YA MADRID Real Madrid walipata kipigo chungu cha 5-2 dhidi ya Atletico Madrid kwenye derby iliyochezwa RiyadhAir…
Hii habari inazungumzia mwendelezo wa hatua za awali za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2025/26) ambapo mechi za marudiano zimeamua nani anaingia roundi ya pili ya mchujo. Hapa…
Baada ya Septemba kuanza kwa wasiwasi kufuatia kupoteza mechi mbili mfululizo za EPL (dhidi ya Tottenham na Brighton), Manchester City ya Pep Guardiola imejibu kwa nguvu kubwa na sasa imepata…
Hii ilikuwa derby ya kihistoria, yenye msisimko wa kila aina na matukio makubwa yaliyogeuza uso wa La Liga msimu huu. Atletico Madrid walifanikiwa kufunga mabao matano dhidi ya Real Madrid…
Ayatullah Sayyid Ali Khamenei Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ameitaja Israel kama utawala unaochukiwa zaidi duniani.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeiwekea tena Iran vikwazo vilivyokuwa vimendolewa huko nyuma kwa mujibu wa makubaliano ya nyuklia ya 2015 katika hatua iliyochochewa na mataifa ya Ulaya…
Kaizer Chiefs (vigogo wa Afrika Kusini) wameonyesha uthabiti na uzoefu baada ya kutinga Raundi ya Pili ya Awali ya Kombe la Shirikisho la CAF (2025/26) kwa ushindi wa penalti 5โ4…
Michuano ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (TotalEnergies CAF Champions League) imeendelea kushuhudia vigogo mbalimbali wa soka barani wakipiga hatua kuelekea hatua ya makundi. ๐ฅ Orlando Pirates (Afrika Kusini)…
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdulmalik al-Houthi amesemam kuwa kiongozi wa muqawama wa Lebanon shahidi Sayyid Hassan Nasrallah bado ni jinamizi kwa Israel ingawa aliuawa na utawala huo…
Lamine Zeine Ali Mahaman Waziri Mkuu wa serikali ya mpito ya Niger ameikosoa Ufaransa nchi mkoloni wa zamani wa nchi hiyo akisema kuwa nchi hiyo ya Ulaya inatumia ugaidi kudhoofisha…
Watu zaidi ya elfu tatu jana waliandamana katika mji wa Cape Town Afrika Kusini wakiitaka nchi hiyo kukata uhusiano wa kibiashara na kidiplomasia na Israel, ikiwa ni pamoja na kufunga…
Urusi imerusha “mamia ya ndege zisizo na rubani na makombora” dhidi ya Ukraine usiku wa Jumamosi, Septemba 27, kuamkia Jumapili, Septemba 28, kulingana na Waziri wa Mambo ya Nje wa…
Vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran vimerejeshwa rasmi siku ya Jumapili, Septemba 29 usiku wa manane, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo na nchi za Magharibi, ambazo zinadai kuhakikishiwa juu…
Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem, amehutubia maadhimisho ya mwaka wa kwanza wa kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashem Safi al-Din huko Beirut na kumhutubu…
Rais Masoud Pezeshkian WA Jamahauri ya Kiislam7u ya Iran amesema kuwa, taifa hili lingependelea kurejeshwa kwa vikwazo kuliko kutii matakwa "yasiyokubalika" ya Marekani ya kukabidhi akiba yake yote ya urani…
Kwa akali Wapalestina 40 wameuawa shahidi katika Ukanda wa Gaza tangu alfajiri ya Jumamosi.
Takribani watu 100 wanahofiwa kufariki dunia baada ya kufukiwa na vifusi vya mgodi wa dhahabu katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Serikali ya Indonesia imesisitiza kuwa, inafungana kikamilifu na malengo matukufu ya Palestina.
Raia zaidi ya 100 wametekwa nyara katika mkoa wa Ituri katika shambulio la wanamgambo wa Codeco. Raia waliotekwa nyara walikuwa wakirejea kutoka soko la Bule.
Kufuatia kuongezeka mashinikizo ya kimataifa kwa serikali na taasisi za Ulaya ili kutoa jibu kali kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza, Shirikisho la…
Leo ni Jumapili tarehe 5 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1447 Hiijria mwafaka na tarehe 28 Septemba 2025 Miladia.
Hamas yapoteza mawasiliano na mateka wawili kutokana na mashambulizi ya Israel +++ Mataifa ya Magharibi yasema Iran kurejeshewa vikwazo si mwisho wa diplomasia +++ Starmer aonya chama cha Labour Uingereza…
Iran yalaani hatua ya kurejeshewa vikwazo na Umoja wa mataifa +++ Vifaru vyazidi kuingia ndani ya vitongoji vya Gaza, wengi wakwama +++ Moldova yachagua bunge jipya katika mtihani wa mwelekeo…
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
โฝ Muhtasari wa Mchezo Mechi ya leo, Jumamosi, Septemba 27, 2025, ilimalizika kwa Yanga SC kushinda 2โ0 dhidi ya Wiliete SC, na kuifanya jumla ya magoli (agg) kuwa 5โ0 baada…
Shirika la habari la Palestina WAFA limeripoti zaidi ya watu 50 wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na Israel tangu Jumamosi Alfajiri wengi wao wanawake na watoto. Watu 27 kati ya hao…
โฝ Matukio Muhimu ya Mchezo
Mamlaka za Syria zimetoa Waranti wa kukamatwa kwa Rais wa zamani Bashar al-Assad. Anakabiliwa na tuhuma za kupanga mauaji, kutesa watu hadi kifo na kufanya uchochezi uliokusudia kuanzisha vita vya…
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema Marekani iliitaka nchi yake isalimishe madini yake yote ya urani iliyoyarutubisha ili iepuke kuwekewa vikwazo kwa kipindi cha miezi mitatu.
Wizara ya ulinzi ya Denmark imesema droni zimeshuhudiwa katika baadhi ya kambi zake za jeshi usiku wa kuamkia Jumamosi. Droni hizo zimeonekana siku chache baada ya droni nyingine tatu zilizoshuhudiwa…
Raia wa Ushelisheli wamepiga kura Jumamosi 27.09.2025 ili kumchagua Rais na wabunge katika uchaguzi mkuu. Rais Wavel Ramkalawan wa chama cha Linyon Demokratik Seselwa anatafuta kuchaguliwa katika mhula wa pili.
Aliyekuwa makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, anakabiliwa na kesi mahakamani kwa mashtaka yanayojumuisha mauaji na uhaini, hali inayochochea hofu ya kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe…
Katika hotuba yenye msisitizo na maono ya mbali mbele ya wajumbe wanaoshiriki Mjadala Mkuu wa mkutano wa 80 wha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje…
Zaidi ya watu 30 wameuawa Ukanda wa Gaza usiku wa kuamkia Jumamosi kutokana na mashambulizi ya jeshi la Israel. Kulingana na watoa huduma za afya miongoni mwa waliouawa ni watu…
Urusi imesema droni za Ukraine zimeishambulia miundombinu ya mafuta katika mkoa wake wa Chuvashia. Gavana Oleg Nikolaev amesema mashambulizi hayo yamesababisha mitambo ya mafuta kwenye kituo kilicholengwa kusimama.
Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri katika houba aliyoitoa katika Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa madai yake ya uwongo na yasiyo na msingi…
Iran imewarejesha nyumbani mabalozi wake katika nchi za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ili kufanya mashauriano kuhusu mgogoro wa mchakato wa Umoja wa Mataifa ulioanzishwa na nchi hizo wa kuirejeshea tena…
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani Alexander Dobrindt amesema serikali nchini humo inataka kufikia makubaliano na Syria mwaka huu, ili kuwarejesha waomba hifadhi ambao maombi yao yalikataliwa.
Waziri Mkuu wa Mali Abdoulaye Maiga ameishutumu Algeria mbele ya Baraza kuu la Umoja wa Mataifa kwa kile alichokiita kuunga mkono "ugaidi wa kimataifa" baada ya kuidungua droni ya jeshi…
Katika taarifa yake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Jenerali Nilforoshan na Sayyed Hassan Nasrallah, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi SEPAH limesisitiza kuwa litaendelea kuwa pamoja na imara na…
Katika taarifa yake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuuawa shahidi Jenerali Nilforoshan na Sayyed Hassan Nasrallah, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi SEPAH limesisitiza kuwa litaendelea kuwa pamoja na imara na…
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imemlaani Benjamin Netanyahu na hotuba yake iliyojaa uongo kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, lengo la uongozo huo…
Shehena kuu wa setilaiti ya Nahid-2 ya Iran, ambayo ilizinduliwa mwezi Agosti, kwa sasa inafanyiwa majaribio katika obiti. Shehena hiyo ina jukumu muhimu katika kuanzisha mawasiliano ya satelaiti.
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran ambaye amewasili Beirut kuhudhuria kikao cha Baraza la Kumbukumbu za Mashahidi wa Muqawama wa Hizbullah amesema kwamba, utawala wa Kizayuni…
Rais Andry Rajoelina wa Madagascar amelaani matukio ya vurugu yaliyotokea hasa katika mji mkuu Antananarivo na kuwataka wananchi wote wa Madagascar kuwa watulivu.