Moto ambao chanzo chake hakijafahamika ulioanza majira ya saa tisa usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Januari 26 umeteketeza maduka na karakana ya mbao katika eneo la Moshono jijini Arusha.
Kwa mujibu wa mashuhuda moto huo ulienea kwa kasi kutokana na uwepo wa mbao nyingi na vifaa vinavyoshika moto kwa urahisi katika eneo la tukio.
Mhariri @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)