Nyimbo za Jux kwa mkewe zina maana gani?
Ikiwa wameadhimisha mwaka mmoja wa ndoa hivi karibuni, Jux ameendelea kutoa nyimbo ambazo kwa...
Ikiwa wameadhimisha mwaka mmoja wa ndoa hivi karibuni, Jux ameendelea kutoa nyimbo ambazo kwa...
Kasmuel McOure alikabiliana na umati wenye uadui ambao haukutaka kusikiliza chochote alichokuwa karibu kusema, walimzomea na kumfukuza, wakimlazimisha kukimbia.
Jitihada zinaendelea ili kutatua mgogoro unaokua ndani ya Chama cha Orange Democratic Movement (ODM), hata kama ushindani wa ndani unatishia kuvuruga chama.
Nyumba za familia ya mchezaji wa Kakamega Homeboyz FC marehemu Silas Abungana zimeteketezwa kutokana na vurugu zilizotokea. Mshukiwa mkuu ni kaka yake mdogo.
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna anakabiliwa na tuhuma kutoka kwa polisi za kuwapa silaha magenge kabla ya mkutano wake wa Kakamega, ili kuchochea mvutano wa kisiasa.
‘Long taimu’ maisha yalikuwa mchekea na watu walishikana. ‘Of coz’ kipato kilikuwa kidogo sana...
Waendesha mashitaka pia walidai kuwa Yoon alijaribu kuichokoza Korea Kaskazini kwa kutekeleza shambulio kusini mwa taifa hilo ili kutetea hatua yake ya kuidhinisha sheria ya kijeshi.
Said ashindwa kueleza alikuwa na nani 😆 Hafsa amemwambia ukweli Mwana kuhusu mumewe na anamuhakikishia Zuh yeye ndiye atabaki kwenye ndoa. Mike amvunjia heshima Wendy wakati ambao Tony anaingia ofisini…
Nilikuwa na rafiki yangu aliyeumbwa na kichwa kisichoota nywele. Kwa imani za zamani, wazee...
Mwaka 1999 akiwa bado binti, alipendelea sana kutazama namna filamu zinavyoandaliwa. Ingawa...
Wakimbizi wamekataa kurejea nchini DRC, kwasababu hawaamini kuwa amani ipo au itarajea tena kutokana na mapigano yanayoshuhudiwa mara kwa mara.
Mwandishi maarufu wa gazeti la Marekani la New York Times, Thomas Friedman, ameonya kwamba waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anamhadaa Rais wa Marekani, Donald Trump, na makundi ya jamii…
Francesca Albanese, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu, amesema hatajiuzulu wadhifa wake huo licha ya mashinikizo yanayotolewa dhidi yake na serikali za nchi…
Mkuu wa Baraza la Utawala la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, amesema hakutakuwa na usitishaji mapigano mpaka pale Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF) vitakapojiondoa kwenye kile alichokieleza kuwa ni maeneo…
Mahakama ya Morocco imewahukumu mashabiki 19 wa soka kifungo cha mwaka mmoja jela kwa vitendo vya kihuni walivyovionesha wakati wa mchezo wa fainali ya AFCON 2025 kati ya Morocco na…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Sergey Lavrov amesema Moscow inaunga mkono kufikiwa suluhisho la kisiasa na kidiplomasia litakaloheshimu…
Wimbi la upinzani limeibuka miongoni mwa Wabunge wa Marekani dhidi ya sera za Rais Donald Trump zinazochochea vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Leo ni Jumamosi 3 Ramadhani 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 21 Februari 2026 Miladia.
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania…
Wanajichanganya wenyewe, ila Sofia na Ulugan haziiivi kabisa (Feed generated with FetchRSS)
DAR ES SALAAM; IKIWA ni muendelezo wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Oryx Gas imezindua kampeni ya msimu wa mwezi wa Ramadhan na Kwaresma inayoitwa Pishi…
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema kuwa hajaridhishwa na uandikishwaji wa watu...
Video ya mlofa mmoja wa Nairobi akipiga mayowe ya "wantam" katika msafara wa Rais Ruto yapepea, na kuibua vicheko na hisia kutoka kwa Wakenya wengi wakimuunga mkono.
Serikali kupitia mpango mkakati wa kupambana na ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto na wanawake...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewataka wananchi wa Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro kuacha...
Dar es Salaam: Tanzania and India have discussed ways to further strengthen cooperation in various strategic areas, including defence and security. The discussions took place during a meeting between Vice…
Ni mwendo wa zimamoto. Hatimaye dirisha la uchukuaji na urejeshaji fomu limefunguliwa kwa...
Wakazi mbalimbali wa Pugu wameelezea namna walivyoguswa na msiba wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, kilichotokea usiku wa tarehe 19 Februari…
kuadhimisha siku ya kiamataifa ya haki za kijamii, huku serikali ikiwahimiza wananchi kuzitumia haki hizo na kutakiwa kutunza miundombinu inayowezesha kupatikana kwa haki za kijamii. #kilichoborakabisa (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mvua iliyonyesha kwa muda mfupi katika baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam imesababisha adha kubwa kwa watumiaji wa barabara ya Mandela, hususan katika eneo la Sokota. Maji mengi…
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amemuhakikishia Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) kuwa Wizara ya Maji haitakuwa kikwazo katika utekelezaji wa Mradi wa Maji kwa kutumia chanzo…
Shahidi wa 14 katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi ametembelea msibani kwa Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa...
Askofu wa Kanisa la Ufunuo Tanzania, Paul Bendera ametoa ufafanuzi kuhusu umuhimu wa fungu la kumi kwa waumini, akisisitiza kuwa sadaka hiyo ya kiimani haipaswi kuhusishwa na fedha za mikopo.…
#KIPIMAJOTO: MIRADI YA MAENDELEO ILIYOKWAMA KWENYE HALMASHAURI KUSUBIRI VIONGOZI WA KITAIFA KUIKWAMU, JE, VIONGOZI KWENYE NGAZI HIYO WANATOSHA?
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umemtambulisha rasmi mkandarasi atakayetekeleza mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji 474 vya Mkoa wa Kagera, ambapo utekelezaji wake unatarajiwa kuanza Februari 2026 hadi Februari 2029.…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 20, 2026 -MWILI WA KARDINALI PENGO KUZIKWA PUGU, DAR ES ALAAM
Hatimaye mwili wa mfanyabiashara maarufu wa madini jijini Arusha, Abdilah Mussa maarufu kama...
#HABARI: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na wananchi katika utoaji wa fursa…
Tanzania sasa ina uwezo wa kuzalisha jumla ya megawati 4,400 za umeme, huku matumizi ya sasa yakiwa megawati 2,071, hali inayotoa ziada ya umeme inayoweza kuimarisha sekta ya viwanda na…
Gavana Orengo aonya dhidi ya njama za kutatiza mkutano wa Linda Mwananchi Kakamega akithibitisha kujitolea kwa urithi wa Raila na utekelezaji wa ripoti ya NADCO
KIGOMA: NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema maendeleo ya mradi wa ukarabati wa Meli ya MV Liemba mkoani Kigoma yanaridhisha na utekelezaji wake umefikia zaidi ya asilimia 55. Kihenzile…
Watuhumiwa saba wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wakikabiliwa na mashtaka ya kujihusisha na dawa za kulevya aina ya mirungi. Kwa mujibu wa taarifa za mahakama, kesi…
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linaendelea na uchunguzi kuhusu kifo cha Abdilah Musa maarufu kwa jina la Banjo, kilichotokea Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP…
Efe Efeturi alishiriki furaha yake mtandaoni alipomkaribisha mtoto wake wa kwanza na mkewe, miongo miwili baada ya kufunga ndoa, hatua iliyowafurahisha wengi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Heart Team Africa Foundation iliyo chini ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Mussa Azan Zungu amesema Serikali inachangia asilimia 70 ya gharama…
KIGOMA: THE Deputy Minister for Transport, David Kihenzile, has confirmed progress on the rehabilitation of the MV Liemba ship in Kigoma Region, saying its works are 55 percent complete. Kihenzile…
Mbunge wa Viti Maalumu (Chaumma) Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo amehoji kusuasua kwa ujenzi wa...
DODOMA: THE Permanent Secretary in the Ministry of Agriculture, Gerald Mweli, has met and held talks with the World Bank Manager for Food and Agriculture, Frauke Jongbluth, at his Mtumba…