Viongozi wajitokeza maziko ya Kardinali Pengo, Pugu
Ibada ya Misa Takatifu ya mazishi inaongozwa na viongozi wa Kanisa Katoliki, huku maelfu ya...
Ibada ya Misa Takatifu ya mazishi inaongozwa na viongozi wa Kanisa Katoliki, huku maelfu ya...
Kuachiwa kwao kumetokana na Mahakama ya Rufani kubaini kuwa upande wa mashtaka ulishindwa...
KIGOMA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kigoma imesema mpango wa taasisi hiyo kusikiliza kero za wananchi maarufu kama ‘TAKUKURU RAFIKI’ umefanikisha ujenzi wa zahanati kijiji…
Kati ya nyaraka hizo 100,000 hazikutumika, zilizotumika Unguja ni nyaraka za kura 461,000 na...
WATUMISHI wa idara ya afya Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza wamepatiwa mafunzo ya matumizi sahihi na salama ya gesi ya kupikia sambamba na kuelezwa kwa kina madhara yanayotokana…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Haikumtisha. Tayari bibie alikuwa ameshajiweka pembeni. Na zaidi hakuwa Hidaya yule wa Jeff...
Willis Raburu alihudhuria hafla ya Trevor Ombija huko Nyakach ambapo aliwapa changamoto vijana kung'aa na kutoa KSh 20,000 kuwasaidia wanawake kununua gumboots.
Ida Odinga alimvaa jamaa liyekuwa akimrekodi kisiri huku akisubiri uteuzi wake katika Unep. Mitandao ya kijamii imejibu; wasiwasi wa faragha licha ya hadhi yake.
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Youth Innovation Foundation imewakutanisha wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali kutokea Dar es salaam wanaosomea kada Sayansi na teknolojia kwa ajili ya bunifu zinazolenga kutatua matatizo katika…
Israeli imezindua shambulio la mchana katika mji mkuu wa Iran huku wingu la moshi likipanda katikati mwa jiji karibu na ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei.
Rais wa Marekani ametangaza kwamba nchi yake imetekeleza shambulio kubwa dhidi ya Iran. Imechapishwa: 28/02/2026 – 10:15 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata Kwa mujibu wa…
DAR ES SALAAM: MWANAMITINDO nguli wa Kimataifa Mtanzania anayeishi nchini Ufaransa, Miriam Odemba, ametunukiwa tuzo ya heshima na Uongozi wa Shule ya Msingi ya Jeshi la Wokovu iliyopo Temeke Dar…
Dereva bajaji, Msafiri Sanga (40), amekutwa amefariki dunia kwa kile kilichoelezwa kuwa...
Marekani na Israel zimeanzisha mashambulio kuelekea katika Miji mbalimbali likiweo jijini kuu la Tehran nchini Iran. Imechapishwa: 28/02/2026 – 10:02 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Pendekezo la serikali ya Kenya la kuwahamisha watumishi wa umma kutoka masharti ya kudumu na ya kustaafu hadi mikataba inayotegemea utendaji limezua wasiwasi mkubwa.
ZANZIBAR: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Hamad Yussuf Masauni, amewaasa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuelimisha wananchi kuhusu misingi, faida na wajibu wao katika…
Truphena Muthoni alifichua kwamba haelewi kabisa maelezo mahususi kuhusu kazi aliyopewa na Rais William Ruto. Wakenya wameonyesha hisia tofauti kuhusu hali hiyo.
"Tumejipanga hadi ifikapo mwaka 2030 Tanzania itakuwa imerejesha ardhi iliyoharibiwa, hekta...
Rais William Ruto amemchekelea Justin Muturi baada ya UDA kushinda katika Wadi ya Evurore, ambacho ni kituo chake cha kupigia kura, akimaanisha hana nguvu kisiasa.
DAR ES SALAAM: Tanzania inaendelea kupiga hatua katika kujenga uchumi unaotegemea maarifa na ubunifu, kupitia sera na mikakati mbalimbali, huku Serikali ikiweka mazingira yanayowezesha watafiti, wabunifu kukuza mawazo yao na…
Amesema kundi la watumishi wa afya limechaguliwa kwa kuwa ndilo hukutana moja kwa moja na...
Ikulu ya Serikali inatumia KSh123 milioni kwa chakula, mahema na burudani wakati wa kila sherehe tatu za kitaifa, Madaraka, Mashujaa na Siku ya Jamhuri.
Kaulimbiu ya mwaka huu, “Njoo Ukimbie na Mbunge Wako,” inalenga kuimarisha afya za wananchi na...
Milipuko mitatu imesikika katikati mwa jiji la Tehran, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Iran.
Milipuko yaripotiwa jijini Tehran, Israel ikitangaza kuwa imetekeleza shambulio la kombora nchini Iran. Imechapishwa: 28/02/2026 – 08:09Imehaririwa: 28/02/2026 – 08:23 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Kampuni ya Grumeti Reserves Limited imetumia takriban Sh370 milioni kununua vifaa vya elimu...
Msanii wa Hip Hop Bongo, Joh Makini (45), ambaye anayawakilisha vizuri makundi ya River Camp na...
Waziri wa Ulinzi wa Israel Katz anasema shambulio dhidi ya Iran ni la 'kujikinga' na kutangaza hali ya dharura.
Waziri wa Ulinzi wa Israel Katz anasema shambulio dhidi ya Iran ni la 'kujikinga' na kutangaza hali ya dharura.
Mwili wake unatarajiwa kuzikwa leo Jumamosi Februari 28, 2026 katika Kituo cha Hija kilichopo...
"Dola ya Palestina, utambulisho wa Kipalestina, na hata uwepo wa Wapalestina katika ardhi yao ya asili sasa uko hatarini", anasema Sabri Saidam, aliyekuwa Waziri wa Mamlaka hiyo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amezitolea wito nchi mbalimbali kupinga simulizi zinazochochewa na hofu kuhusu suala la uhamiaji, akisisitiza kwamba "uhamiaji si mgogoro".
Shirika la Amnesty International limetangaza kwamba tangu mwezi Disemba mwaka jana, serikali ya Israel imezidisha harakati zake katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu huko Palestina, ikiwa ni pamoja na…
Katika hatua inayolenga kupunguza mvutano, Sierra Leone imesema kuwa Guinea jana iliwaachilia huru wanajeshi na maafisa wake wa polisi 16 waliokamatwa siku ya Jumanne.
Idara ya Polisi ya Kenya imetangaza mipango ya kuunda vikosi maalumu cha kukabiliana na ongezeko la ukosefu wa usalama jijini Nairobi na katika miji mingine mikubwa huku nchi ikielekea katika…
Mwigizaji na mwanamuziki kutoka Marekani, Selena Gomez (33,) ameshauriwa kuachana na mume wake,...
Kadiri matamshi ya kivita yanavyozidi kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, pamoja na baadhi ya maafisa wa utawala wake, wimbi jipya la upinzani dhidi ya uwezekano wa a vita…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imezitaka Pakistan na Afghanistan kuketi kwenye meza ya mazungumzo haraka iwezekanavyo ili kusimamisha mapigano na kupunguza mvutano, huku mapigano ya mpakani kati ya…
DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wakazi wa mkoa huo kuendeleza umoja na upendo miongoni mwao, akisisitiza kuwa mwezi mtukufu wa Ramadhani ni…
Baada ya kubainika kuwa mifungo ya Ramadhan na Kwaresma ingeanza kwa pamoja, mlevi mmoja...
Katika ulimwengu huu wa teknolojia, yaliyokuwa yanaonekana hayawezekani sasa yanawezekana.
Soma zaidi hapa...
Katika utekelezaji wa mradi huo, zaidi ya Sh160 milioni zimetumika kulipia ada za mafunzo na...
Akiwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Beldina...
Mwanafunzi huyo, Daniel Joseph (11) wa darasa la nne katika Shule Msingi Terrat iliyopo Kata...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kwamba, mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani yatafanikiwa tu iwapo Washington…
Kamati ya Utendaji ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeonyesha wasiwasi wake kuhusu vitisho vya hivi karibuni dhidi ya Iran.
Iran imelishutumu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kufumbia macho mashambulizi mabaya yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, ambayo yanakiuka makubaliano ya kusitisha mapigano…
Jeshi la Israel jana lilipeleka idadi kubwa ya wanajeshi katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, hasa katika vituo vya ukaguzi vinavyoelekea katika mji wa Quds (Jerusalem), sanjari na kuimarisha…