Kikundi cha waasi cha M23, kimesema kilihusika la shambulio hilo lililotokea mwishoni mwa juma, katika uwanja wa ndege wa Kisangani.

Kulingana na tume hiyo, shambulio hilo lilihatarisha usalama wa raia na ni ukiukwaji mkubwa wa sheria za kimataifa za haki za kibinadamu.

“Shambulio hilo ni sawa na kitendo cha kigaidi,” ilisema tume kupitia ukarasa wa X.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *