Mwigulu: Serikali kushirikiana na sekta binafsi kukuza utalii
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi...
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi...
Vinara wa ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga, Bayern Munich, wamepata pigo la pili mfululizo baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2–2 na SV Hamburg.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki inatoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa "kushughulikia pande hizo mbili za Kisiwa kwa usawa na hatimaye kuanza kutoa juhudi…
Klabu tatu za Tanzania leo zitakuwa na mechi muhimu katika viwanja na miji tofautiilizoshikilia...
Juzi nilikuwa naongea na kijana mmoja, kavuka miaka 30, ananiambia ameanza kuhisi kama vile...
Waelfu kwa maelfu ya watu wamejitokeza mitaani katika nchi kadhaa za Ulaya kushiriki maandamano ya kuunga mkono Palestina, huku wakiushutumu utawala wa Israel kwa kukiuka mara kwa mara makubaliano ya…
#HABARI: Mwili wa mwanaume mmoja ambaye bado hajafahamika umekutwa juu ya njia ya reli inayounganisha Mkoa wa Tabora na Kigoma, katika maeneo ya Kata ya Malolo, mkoani Tabora. Taarifa za…
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohamad Bagher Ghalibaf amelitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kama taasisi ya kipekee zaidi ya kupambana na…
Mke wa Robert Lewandowski, Anna Lewandowski amefichua kuwa mshambuliaji huyo ana uwezekano...
KOCHA wa Ceasiaa Queens, Ezekiel Chobanka amesema baada ya kumaliza vibaya mzunguko wa kwanza, mipango na mkakati wa timu hiyo kwa sasa ni kufanya vizuri mechi zilizobakia.
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Lupa, Mhe. Masache Njelu Kasaka, amebainisha kuwa maadhimisho ya miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kielelezo cha mafanikio makubwa ya kimaendeleo yaliyofikiwa nchini…
TAUSI FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake inaangalia uwezekano wa kumpata aliyekuwa kocha wa zamani wa JKT, Ester Chabruma.
ALIYEKUWA kocha wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema ameondoka kikosini hapo kwa heshima akiiacha timu hiyo ikiwa nafasi nzuri ya nne kwenye msimamo wa ligi.
#HABARI: Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani Mtwara unatarajia kusajili bure kaya 38,000 zisizojiweza ili kunufaika na huduma za afya, huku kipaumbele kikielekezwa kwenye kaya laki mbili…
NI kama vita ya ufungaji bora hadi raundi ya kwanza inamalizika imeachwa kwa washambuliaji wa kigeni wa watani wa jadi Simba Queens na Yanga Princess.
Klabu ya Chelsea huenda ikakumbana na pigo katika safari yake ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada...
MBONGO anayekipiga Port Fouad inayoshiriki Ligi daraja la pili Misri amesema dakika 50 alizocheza akiwa na chama hilo jipya zimempa taswira ya namna gani anapaswa kuwania namba.
Kila familia duniani huota ndoto ya kufikia utajiri, kwani utajiri hutazamwa kama ngao dhidi ya...
SLOVAKIA: THE national security adviser to Slovakia’s prime minister has resigned after documents released by the US showed he exchanged messages about girls and diplomacy with the late sex offender…
Katika barua kwa Umoja wa Afrika, TPLF ilisema iliidhinisha "wito wa kujizuia na mazungumzo."
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania anayekipiga IFC Malaysia, Said Khamis 'Said Jr' amesema amebakiza mabao saba kufikisha malengo aliyojiwekea msimu huu.
Wataalamu wa afya ya akili wanasema wazazi wanapaswa kuwa waangalifu zaidi katika kubaini...
Tofauti na ilivyozoeleka kuwa wanawake wanapenda wanaume wenye miil yenye misuli maarufu...
WALE nyota watatu wa Tanzania waliokiwasha kwenye mashindano ya Mataifa ya Afrika (AFCON), Charles Mmombwa (Floriana FC), Haji Mnoga (Salford City) na Tarryn Allarakhia (Rochdale AFC) wamendelea kukiwasha kwenye klabu…
Mashirika ya ujasusi ya nchi za Magharibi yamesema hakuna dalili yoyote inayoashiria kwamba Iran inarutubisha urani kwa ajili ya "kufikia kiwango cha mabomu," gazeti la New York Times limeripoti, likinukuu…
Zaidi ya wanachama 5,000 wa jumuiya ya michezo ya Iran wametoa taarifa kulaani vitisho na bwabwaja za Rais wa Marekani Donald Trump, wakitangaza uungaji mkono wao mkubwa kwa Kiongozi Muadhamu…
BAADA ya Mbeya Kwanza kukamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani Jesus Ducapel Moloko, kocha wa timu hiyo, Maka Mwalwisi, amesema wapinzani wajipange vizuri katika raundi hii ya…
KIUNGO wa Barberian FC, Muhsin Mlaga, amesema licha ya dili lake la kwenda Simba kushindwa kukamilika dakika za mwisho, ila, jambo la kuhusishwa na kikosi hicho kwake imempa motisha kubwa…
#HABARI: Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Mheshimiwa Anna Makinda, amesema kuwa mafanikio ya mwanafunzi…
KOCHA mpya wa Gunners FC ya jijini Dodoma, Mathias Wandiba, amesema malengo makubwa aliyopewa na uongozi wa kikosi hicho ni kuhakikisha timu hiyo inabakia Ligi ya Championship, licha ya ushindani…
KOCHA Mkuu wa Transit Camp, Shadrack Nsajigwa, amesema kuondoka kwa aliyekuwa mshambuliaji wa kikosi hicho, Adam Uledi ni pengo kubwa kutokana na ubora wake, ingawa usajili wa nyota, Abrahaman Mussa…
MSHAMBULIAJI mpya wa Geita Gold, Raymond Lulendi, amesema licha ya ushindani mkubwa uliopo katika eneo la kikosi hicho msimu huu ila hana hofu, kwa sababu atapambana kadri ya uwezo wake…
Mvutano kati ya Marekani na Jumuiya ya kujihami ya NATO kuhusu eneo la Greenland, imeongeza wasiwasi kuhusu hali ya uchumi duniani.
Tehran inachukua hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Umoja wa Ulaya baada ya umoja huo kulitaja Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi kama "shirika la kigaidi".
Mohammad Baqer Qalibaf, Spika wa Bunge la Iran amesema katika kikao cha hadhara hii leo: "Kwa mujibu wa kifungu cha 7 cha sheria kuhusu hatua za kukabiliana na tangazo la…
Hati hizo pia zinaonyesha Epstein na watu binafsi katika mtandao wake wakijadili Somaliland, iliyojitangazia kujitenga tangu 1991.
MOSHI: THE professional golfers’ category at the 2026 TPC Golf Open delivered a fiercely competitive two-day showdown, with the 36-hole contest concluding on Friday at the scenic TPC Club course…
Nadhani wengi mmeishasikia baadhi ya wanandoa walioshindwa kuimarisha ndoa zao kwa sababu...
Hadithi na simulizi za kusalitiana, ugomvi, hekaheka, kukosa uhuru na amani zinazotolewa katika...
DAR ES SALAAM: THERE is something strangely poetic and downright cruel, about the journey of Tanzanian music. It has travelled far and wide, danced across continents and found fans in…
#HABARI: Serikali imewataka wazalishaji na wabunifu wa teknolojia za nishati safi kuongeza juhudi katika kutengeneza bidhaa zinazomudu gharama za wananchi wengi ili kupanua matumizi yake nchi nzima. Mkurugenzi wa Nishati…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, ameongoza zoezi la usafi katika fukwe ya Dengu jijini Dar es Salaam, huku akikemea vikali utupaji wa taka hovyo, hususan chupa za…
Nimeolewa huu mwaka wa pili, kwa bahati mbaya wakati ninafunga ndoa na mume wangu mama yangu...
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S Standard Gauge Railway (SGR) is quietly reshaping African tourism by turning the country into a regional gateway through cross border tourism in East and Central Africa.…
NAIROBI: Tanzania’s National Insurance Corporation (NIC) has been awarded Superbrand status for the second consecutive year, reinforcing its reputation as one of the region’s most trusted insurance providers and highlighting…
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Mahmoud Ali Youssouf amelaani mashambulizi ya hivi karibuni huko Niger ikiwa ni pamoja na shambulio kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hamani…
Jean-Philippe Mateta amekubali mkataba na AC Milan hadi 2030, Fulham wametoa ofa ya £20m kwa lengo la kumsajili Joe Willock iliyokataliwa na Newcastle, na Michael Carrick anataka Marcus Rashford arejeshwe…
Serikali ya Malawi imetangaza kuibuka virusi vya polio aina ya 2 (cVDPV2) kufuatia kugunduliwa kwa sampuli za mazingira.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) lina jukumu muhimu katika kudumisha amani na utulivu katika eneo la Ghuba…
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu tunakuletea Kipindi cha Tupike Kijapani ambapo tutapika pamoja chakula cha “Hosomaki” hii…