Raia wa Burundi wamkaribisha rais wao baada ya kuchanguliwa kuongoza AU
Nchini Burundi hapo jana Jumatatu, maelfu ya watu walihamasishwa mjini Bujumbura kumkaribisha Rais Évariste Ndayishimiye, akirejea kutoka Addis Ababa ambapo mwishoni mwa juma lililopita alikuwa amechukua urais wa mzunguko wa…