
Afrika Kusini yamfukuza mjumbe wa Israel kwa kumkashifu Rais Ramaphosa
Afrika Kusini imetangaza kuwa mjumbe wa Israel Ariel Seidman, ni mtu asiyekaribishwa nchini humo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo siku ya Ijumaa.