KMC vs MASHUJAA: Kocha wa Mashujaa FC, Salum Mayanga amesema matarajio yake ni kwamba kesho watapata matokeo mazuri mbele ya KMC.
Kwa ipande wake mchezaji Seif Karihe anasema hawana shida baada ya kupelekwa Ruangwa katika dimba la Majiliwa baada ya uwanja wa KMC Complex, kufungiwa.
Mechi ni kesho saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#NBCPL