Wafanyabiashara wa soko la Mkuyuni lililopo wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza wamelalamikia ugumu wa biashara katika soko hilo kufuatia kufungwa kwa barabara ya Mwanza – Shinyanga kwa zaidi ya mwaka mmoja kufuatia ujenzi wa daraja katika eneo hilo.

Innocent Aloyce ametembelea soko hilo.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *