#HABARI: Askari Polisi wa Jiji la Tanga wakiwa na silaha za moto wamelazimika kuingilia kati kufuatia taharuki za mamia ya wakazi wa eneo la Neema kuingia katika barabara kuu inayounganisha Jiji la Tanga kwenda Wilaya ya Pangani kupinga Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi (TISEZA) kuweka nguzo katika maeneo ya nyumba zao zaidi ya 2000 kwa kuhofia kuwa zitavunjwa.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)