KUTOKA ANGOLA: Mtangaza @mangasore_ akutana na mshangao jijini Luanda Angola hasa kwa upande wa usalama.
Jana ilikuwa ni sikukuu ya mapanga nchini Angola.
Simba SC ipo Angola kucheza dhidi ya wenyeji wao Petro Atletico…ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Mechi ni Februari 7, saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports2HD
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika