ZANZIBAR KASKAZI CUP 2026: “Ni mchezo ambao umekuwa ukivutia sana soko la utalii hapa Zanzibar”

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii Zanzibar, Aboud Suleiman Jumbe amesema mchezo wa vishada umekuwa ukiwavutia wachezaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania na umekuwa sehemu ya kuchochea utalii visiwani humo.

Katibu Mkuu huyo ametoa takwimu za wachezaji walioshiriki mwaka jana huku akitangaza kuwa mashindano ya mwaka huu yataanza Februari 7.

Mashindano yatakayoanza ni ya #KaskaziCup2026 na baadae yatafanyika ya #KusiCup2026.

#Vishada #KitSurf

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *