CAFCC: “Lazima tukaweke historia pamoja”
Katibu wa Mashabiki wa Azam FC, Ahmed Jobenyo ametoa wito kwa mashabiki wa timu hiyo kuwasiliana nae ili kupata maelekezo ya namna gani wanaweza kwenda Zanzibar kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya AS Maniema.
Mechi hiyo itapigwa Jumaosi ya Februari 7, saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports3HD
#CAFCC #AzamFC