KUTOKA ANGOLA: Umekuwa ukisikia watangazaji mbalimbali wa #AzamTV wakiita timu ya taifa ya Angola “Palancas negras”

Katika kupata ufafanuzi wa hilo mtangazaji @mangasore_ ambaye yupo Angola kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Petro Atletico dhidi ya Simba SC.

Hii hapa maana ya Palancas Negras ambalo ni jina la utani la Timu ya Taifa ya Angola.

#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *