TANZANIA PRISONS vs MASHUJAA FC: “Ni jambo la kuhuzunisha haifurahishi…”
Kocha mkuu wa Tanzania Prisons, Zedekiah Otieno amesema hawafurahishwi na matokeo ya hivi karibuni hasa katika mechi za ugenini, amesema wamefanyia kazi mapungufu ya makosa yaliyopita na anaamini ushindi utakuwa upande wao.

Naye mchezaji wa klabu hiyo Lambert Sabiyanka amesema wamejiandaa vizuri na wanatarajia kupata ushindi wa alama tatu muhimu.

Mechi ni kesho saa 10:15 jioni LIVE #AzamSports1HD

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *