Mambo yalivyokuwa BSS 2011 😅 | #BSSNextLevelRevolution
Tunaanza na Mwanza wikiendi hii, La Kairo Hotel Februari 07 na 08, 2026.
Msimu wa 16 wa #BongoStarSearch utaanza kuruka hewani kuanzia Machi 22, 2026 kupitia #SinemaZetuHD chaneli namba 106 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV
#BSS #BSSSeason16 #VipajiHDKuzingatiwa
(Feed generated with FetchRSS)