Kitambo hicho, DC @ggondwe akisherehesha BSS 2010 | Sasa ni msimu wa 16 #BSSNextLevelRevolution

Tunaanza na Mwanza wikiendi hii, La Kairo Hotel Februari 07 na 08, 2026.

Msimu wa 16 wa #BongoStarSearch utaanza kuruka hewani kuanzia Machi 22, 2026 kupitia #SinemaZetuHD chaneli namba 106 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV

#BSS #BSSSeason16 #VipajiHDKuzingatiwa

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *