6 Februari 2026

Katika kambi ya Thobo, watoto na wanawake waliokimbia vita na njaa wameishi mwaka mzima bila msaada, wakiwa wamenaswa na kufungiwa nje ya dunia. Lakini licha ya njaa, vita na kukata tamaa, matumaini hayajakufa: elimu imekuwa nguzo yao pekee, ikivutia wahisani na kuamsha msukumo mpya wa msaada kufika Kordofan Kusini.

https://p.dw.com/p/58EHT

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *