KUTOKA MOROCCO: Kocha wa Yanga Pedro Goncalves yupo anasema timu yake ipo tayari kuikabili AS FAR katika Uwanja wao wa nyumbani na kupata matokeo mazuri yatakayowasaidia kufuzu hatua ya robo fainali kutokana na kiwango bora walichoonesha msimu huu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).

Kocha huyo pia ameonesha kusikitishwa kwa mechi ya kesho kukosekana mashabiki huku akishauri mashabiki kuulinda mpira wa Afrika ambao kwa sasa umekuwa na heshma ulimwenguni.

Mechi ni kesho Jumaosi saa 4:00 usiku LIVE #AzamSports2HD

#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #Yanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *