Serikali Wilayani Mbulu Mkoani Manyara imepanga kutoa kipaombele cha kugawa Bima za afya bure kwa jamii ya wahardzabe kupitia mpango wa Bima ya afya kwa wote ikiwa ni manufaa yatokanayo na jamii hiyo kutunza mazingira ya asili na kupelekea kupatikana mradi wa hewa ya ukaa katika eneo la bonde la yaeda chini wanakoishi jamii hiyo.
(Feed generated with FetchRSS)