#KariakooDerby: Mtangazaji wa soka @ngodaalwatan amzuia Sauti ya Radi @baraka_mpenja ambaye alitaka kujitosa katikati ya Bahari ya Hindi akitaka kuonesha umwamba wake wa kuogelea.
Unadhani Ngoda kaona nini?
Ni hekaheka kuelekea #KariakooDerby
‘Mbungi’ yenyewe ni Machi Mosi pale New Amaan Complex, Zanzibar na itakuwa LIVE #AzamSports1HD
Ujue hii #Haikwepeki
#KariakooDerby DabiYaKariakoo YangaSC SimbaSC NewAmaanComplex Zanzibar
(Feed generated with FetchRSS)