Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani Simiyu, zimeleta adha kwa Wananchi wa Wilaya ya Maswa, baada ya madaraja makubwa matatu yanayounganisha Kata za Ipililo, Senani na Nguliguli kusombwa na Maji, huku Wananchi wa Kata hizo wakiiomba Serikali kufanya jitihada za haraka kurudisha Mawasiliano ambayo yamekatika.
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)